MUUZA UBUYU (8)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... "...niliamua kuandika barua nikamkumbushia ile ahadi ndo unaona hawa wakina sam leo maana nilimpenda monica na sikutaka kumpoteza japo sikuwa na pesa kama yule jamaa ila nilikuwa na msimamo na nilijua kusimamia ahadi zangu wewe jiukize kenya airway kuna warembo wangapu niwaache nimfatilie binti wa kijijijni?" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Wote tulicheka ila ule ujumbe kwetu ulihusika mno nilimkanyaga sam akaniangalia na kunikonyeza, tuliongea mengi mpka muda wa kulala ulipofika tukaenda kulala. ********"""""""""""""""********** Siku zilikatika elly akarudi tukawa bega kwa bega akitoka hapa nipo nikitoka hapa nipo ila kuna kipnd nilikuwa naangalia nikipata nafasi nachomoka namtafuta sam tunaenjoy kisha ratiba nyingine zinafata. Nakumbuka siku hiyo nilimpigia salma simu na kumueleza ratiba zangu &quo…