PENZI LA DADA (1)

Zephiline F Ezekiel
PENZI LA DADA (1)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA KWANZA Jina langu naitwa John O'conner naishi ktk mji wa chicago soon baada ya kumaliza chuo nimejiunga na kampun ya John and Bertty tawi la Chicago nikafanikiwa kupanda cheo hadi kua meneja mauzo wakati nipo hpo nilikutana na msichana mrembo anaitwa Tatiana alikua ni mrefu mweny umbo la kuvutia lips zake mda wote zimeloa akitabasam hata kama una hasira ...na ww utatabasam naam huyo ndio Tatiano msichana aliyetokea jimbo la Texas wakati tupo ktk majukumu ya kazi cku zote tulipenda kufanya kazi pamoja kwa kushirikiana hali iliyoleta ukaribu mkubwa kati kadri cku zilivyozid kwenda nilijikuta naanza kumpenda sana Tatiana ambaye ofisini watu wengi tulipenda kumuita Tayna kwa upole, ucheshi na upendo wake nilijitahid kuficha hisia zangu lakin cku moja nikajikuta nimezidiwa na kumuomba kama itawezekana twende tukapate kahawa baada ya kazi haikua rahisi ila nilikua jasir kusema bahata nzur alikubali kwahyo tukapanga tukutane kweny mgahaw…