PENZI LA DADA (2)

Zephiline F Ezekiel
PENZI LA DADA (2)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Usiku ulitia nanga na time ilienda sana nikajikuta nakosa usingizi Tayna akigubika mawazo yangu nilichukua simu na kumpigia kisha nikamweleza jinsi gani namkumbuka akaniambia ahsante bt lala mapema kesho tunahitajika kazini mwishowe nililala huku nikiombea jua lichomoze haraka niende kazini ili nimuone TAYNA. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Basi asubuhi na mapema nikaanza kujiandaa kuelekea ofisini ambako mm na Tayna tunafanya kazi kufika ofisini baada ya kumuona Tayna alipokua amekaaa nilishindwa kujizuia na kwenda hadi alipokua amekaa kisha nikamsalimia hukiu tukiwa tunaangalia si kama ijumaa wakati tunaenda kuanza weekend bali tulirudi wapya kila mtu akimuangalia mwenzie kila wakati kuna mfanyakazi mwenzetu anaitwa Mrs Haris aligundua kilichokua kinaendelea kwani alikua akituaangalia jinsi tulivyokua tunaibia kuangaliana na kupigiana simu mara kwa mara...... baada ya kila mtu…