UTAMU WA JIRANI (14)

0
Mwandishi: Dismas Godfrey

SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
"Mmmh kweli umefundwa ukafundika" nilimsifu miranda ambae hakuonekana kujari na kile nilichokuwa nimemwambia

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Mahaba niue haya yananimaliza mtoto wa kilugulu"niliongea tena kauli iliyomfanya ahachie tabasamu pana lililopelekea kuleta vitobo pembeni ya mashavu yake
tulizidi kuogeshana hadi tulipohakikisha miili ipo safi ndipo tukafunga maji ambayo yalikuwa yakitililika pindi tulipokuwa tunaoga
tukakaushana maji kisha tukatoka bafuni huku mimi nikiwa nimetangulia mbele na yeye nyuma
babe kesho ntakuja tena maana ulichonipa leo nataka na kesho nikipate tena kiwe kimezidi mara mia "aliniambia miranda huku akiitoa simu yake kwenye ka handbag alichokuja nacho

nilimsindikiza miranda hadi getini kwani sikuwa na uwezo wa kutoka nje kwakuwa nilivaa taulo
baada ya kumuaga miranda sikuingia ndani kwa mda huo zaidi nilikaa pale getini takribani dakika 5 kwa nia ya kushuhudia kimzigo cha miranda
mtoto ana bonge la zigo utazani amejiumba mwenyewe bwana"nilijiongelea huku nikitoka pale getini na kuingia ndani kisha nikajitupa kochini na kupeleka mikono yangu kichwani

daah yani kesho akija nitampa mambo ambayo hatokuja kuyasahau mpaka anitajie jina la babu yangu ndiyo nitamuacha"nilizidi kupata mawazo mbalimbali juu ya miranda ambae sasa ametokea kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana
nikiwa katika ile hali ya mawazo nikashitushwa na simu yangu ambayo ilianza kuita mfululizo nikanyanyuka na kuangalia pale kochini lakini sikuiona
nikatafuta pale sebuleni lakini sikuiona

mmmh itakuwa wapi sasa hii simu"nilijikuta nikijiuliza huku nikinyanyua mito
ebu angalia kwenye uvungu wa makochi"lilipita wazo likiniambia hivyo nami nikasikiliza wazo lile nikainamisha shingo chini ya kochi nikaikuta ikiwa ina missed call kama nne ivi alafu ya namba ngeni
nikabonyeza vitufe kadhaa kisha nikaipeleka simu sikioni ambapo dakika chache tangu nipige namba ile ikapokelewa huku sauti ya kike ikichombeza kutokea upande wa pili wa simu ile

hallow"
yes niambie"
za kunitupa"
mmh kwani naongea na nani maana imetokea namba tu kwenye simu"niliuliza
frola"
frola frola frolaaaa wawapi"
tulikutana mgahawani then nikaja kupata ajali ya pikipiki ukanisaidia"
aaaah daah mambo vipi mwanamke mzima wewe"
mimi mzima hofu kwako mwanaume"
mimi wa afya tele "

bhasi ni heli "
usijali sana upo wapi sasa hivi maana siku ile haukunitajia jina lako wala namba yako"
teh teh teh mawazo mwanaume nipo home capripoint"
mmmh unakaa capripoint?"
ndio huamini "
unajua watu wanaokaa kule msosi wa drafti yani mambo safi"
teh teh usijali bwana"
haya nitakutafuta baadae kidogo maana nina kashughuli ka kupika"
wifi hayupo"
aaah wifi huna labda nije kuoa mtoto wako sababu wewe nimekukosa"
unamaneno wewe umenikosa kivipi"
kwani hujui si tayari unamtu wako"
hamna bado sijaingia kwenye mambo hayo"

mmh kweli mtoto mzuri"
yanini nikudanganye"
kama ndiyo hivyo bhasi ndoto zangu nilizokuwa naota kila siku zitatimia"
ndoto?"
ndiyo ndoto kwani wewe hujui ndoto mpaka unashangaa"
nazijua ndoto ila ndoto uliyoniambia wewe sidhani kama zile za usiku "
unataka nikwambie ndoto gani"
ndiyo tena kwa hamu kubwa"
bhasi chagua mahala tukutane kwa siku ya kesho ili nikwambie"
mmh kesho nitakuwa chuo"
upo chuo gani"
nipo sauti"
anahaaa bhasi ntakuelekeza mahala uje sababu namimi naishi hukuhuku nyegezi"
ok jioni njema mwanaume"
nawe pia mwanamke"

Baada ya kumaliza kuongea na simu ile nikakata huku nikianza kuvuta picha nipo na mtoto tena kwenye 6 kwa 6
huku matiti yaliyo chongoka yakinichoma kifuani na kunipa mushikeli wa kumzamisha naniliu kisawasawa
daah maisha haya yani yakinyooka yamenyooka nimeanza na witi,nikaja kwa mama mwenyenyumba,mara pendo,sijakaa vizuri manager,sijapumua miranda eeeh na huyu frola nae anataka"nilijikuta nikicheka kwa kejeri kisha nikajizoa pale kochini na kuelekea chumbani ambapo nilipitiliza hadi kabatini na kuchukua nguo kadhaa kisha nikazivaa
mungu anipe nini jamani"nilijitupia misifa baada ya kuona nguo niliyovaa ikinikaa sawia
mmh sasa na miranda itakuwaje kama akija harafu sina hata namba zake
"nilijikuta nikijipa swali gumu ambalo lilinifanya nipoteze asilimia chache ya furaha yangu .....

Tililika....niliendelea kujilaza pale kitandani kiuvivu huku nikifikila mambo niliyotoka kuyafanya na miranda
yani manager angekuwa kama miranda nisingeitaji michepuko"nilijisemea kimoyomoyo huku nikijichekea mwenyewe
dakika zilizidi kusonga hadi pale manager alipoludi mda huo nilikuwa sebleni nikiangali series ya merlin
unapenda sana series"aliongea manager huku akipeleka macho yake kwenye tv
kiasi siunajua upweke unapelekea kufanya chochote ilimradi ujisikie amani"nilimjibu huku nikinyanyuka na kumfata pale mlangoni alipokuwa amesimama na bila kusubiri nikambeba juujuu na kumpeleka chumbani kisha nikambwaga kitandani
umeniumiza huko"aliongea manager kwa sauti ya chini huku akitoa tabasamu
wapi babe wangu"
hapa"alipeleka mkono wake kunionyesha
mmh"

mbona umeguna paombe msamaha"
haya mama ngoja niwai kumuomba msamaha kabla hajakasilika na kesho kuninyima"nilimwambia huku nikiishusha taratibu suruali aliyokuwa amevaa
nilitambua alichokuwa anakihitaji nami sikutaka kumkosesha furaha hivyo nikataka kumuomba msamaha kama alivyokuwa anahitaji

niliishusha jeans ya manager hadi ikafikia nusu mlingoti ambapo nikapeleka mdomo wangu hadi eneo la jeraha lakini kabla sijamalizia nikakutana na hali tofauti kidogo
babe upo kwenye siku zako"nilimwambia manager huku nikinyanyua sura kumuangalia
kitendo cha kumwambia manager kuwa yupo kwenye siku zake kilileta furaha kwake japo hakutaka kuniambia hadi nilipombembeleza sana
babe ninafuraha sana leo kuziona siku zangu kwani nina miezi kama mitatu mfululizo  sijaziona"aliongea manager huku akinyanyuka na kuelekea bafuni kujisafisha

baada ya dakika chache akatoka bafuni kisha akapitiliza kwenye sink na kunawa mikono
alafu nilitaka kusahau nimekuja na chakula"aliongea manager huku akielekea kwenye kamfuko kadogo alichokuwa amekuja nacho kisha akatoa chips na nyama ya kuku
Namna hii nisinenepe labda nitakuwa nimelogwa" nilijisemea kimoyomoyo huku nikinyanyuka pale kitandani.

Karibu chakula babe wangu"alinikaribisha chakula manager huku akichukua chips mbili na kunilisha
babe kuna kitu nataka kukwambia ninaimani utakubaliana na mimi"aliongea manager kwa makini huku akivichezesha vidole vyake
niambie"
nahitaji kuzaa na wewe na leo ndiyo siku nzuri tafadhali usinikatalie"
mda bado honey"
najua tumekaa mda mchache hatuja zoeana sana ila naomba iwe hivyo"alilalama manager huku akipeleka mkono wake kwa asikali wangu aliyetoka kupiga gwaride mda mchache uliopita

baada ya bembeleza ya muda mrefu hatimae nikakubaliana na manager hivyo ndani ya mda mchache mbele tukawa katikati ya safari ambayo ilitarajiwa kuleta manufaa kati yetu
babe aaah mmmh aaa
alilalama manager kwa utamu hadi pale nilipotangaza kupasua nazi naye akawa tayari kupasua wote hivyo katika mechi ya siku hiyo tukawa tumetoka bilabila
babe unajua nakupenda sana na sipo tayari kukupoteza niahidi utakuwa nami hautakuja kuumiza moyo wangu"

usijali mama watoto mimi ni wako peke yako na hakuna mwenzako"
nashukuru kwa maneno yako"
tulizidi kuongea mambo mengi zaidi hadi pale tulipopitiwa na usingizi
babe chai ipo tayari"nilimsikia manager akiniamsha kwenda kunywa chai
nilijinyanyua kitandani kizembe hadi bafuni ambapo sikuchukua mda mrefu nikawa nimekwisha maliza kuoga na kuswaki
ambapo nikaelekea mezani kujumuika na mke wangu mtarajiwa kwa kunywa chai

kila jua linapochomoza na kila jua linapozama huwa thamani yako inazidi katika moyo wangu na kuanzia sasa nitakuita my precious yani mwenye thamani sana"nilimwambia huku nikichukua kikombe na kupiga funda kadhaa za maji
mmh mimi kuwa precious"
haswa wewe ndio my precious"
hakika mausiano yetu yalizidi kupamba moto huku siku nazo zikizidi kukauka hatimae wiki zikapita miezi ikapita hadi pale ikaja kufikia mwezi wa tatu ambapo ujauzito wa precious ulianza kujitokeza dhahili

inabidi muwe mnaudhulia clinic mara kwa mara ili kupata maendeleo ya mama na mtoto"ilisikika sauti ya doctor edward akitupatia ushauri tukiwa ofisini kwake
baada ya mazungumzo ya muda tukatoka ofisini pale na kuanza safari ya kurudi nyumbani ambapo tulikutana na baadhi ya wazazi waliokuja kuangalia maendeleo ya ujauzito
babe natamani awe mtoto wa kike"
usijali utapata ila na mimi natamani awe wa kiume"nilimwambia precious huku tukipanda gari na kuondoka pale clinic
mapenzi yalizidi kupamba moto kati yangu na precious hata michepuko nikaanza kuisahau kwa mda huo

sikutaka kumuumiza precious endapo atanifumania hivyo njia sahihi ambayo niliiona inaweza ikapunguza ghasia kwangu ni kubadilisha namba ili michepuko isinipate kwa urahisi
maisha yalizidi kusonga huku ujauzito wa precious ukizidi kukuwa na mtoto akiendelea vizuri tumboni kwani alishafikia hatua ya mwisho kwenye kugeuka
d ilisikika sauti nyuma yangu kipindi hicho tulikuwa tukitoka ofisini kwa dokta edward
niligeuka nyuma kuangalia nani aliyekuwa ameniita
ulijifanya mjanja kunikimbia si ndio"
kivipi na hiyo mimba vipi"

Tililika nayo.....Na hiyo mimba ya nani"
si ya kwako "
mmmh"
unaguna nini"
hamna vipi lakini maisha yasemaje"
hivyohivyo mbona umetukimbia?
Maisha ndugu yangu si unajua kutafuta"
aaah kutafuta gani huko hadi unasahau majirani zako"
ila usijari nitawatembelea siku si nyingi"
haya, naona umekuwa baba kijacho"
wewe na we mbea"
nimekuwa mbea sababu haujanitambulisha"
haya njoo umuone wifi yako"nilimshika mkono mery na kuanza kwenda nae mahala nilipokuwa nimepaki gari

wakati huo precious alikuwa ameshaingia ndani ya gari na kunisubili mimi tuondoke
babe huyu ni rafiki yangu anaitwa mary alikuwa mpangaji mwenzangu"
nashukuru kukufahamu mary"aliongea precious huku akimuangalia na kumpa mkono
da mary huyu ndiyo wifi yako mama kijacho anayenifanya nijione ninakila kitu kwani uwepo wake ni amani moyoni mwangu"
nami pia nashukuru kukufahamu wifi
baada ya kuwatambulisha mary aliniaga na kuondoka mahala pale kwani alidai kuwa mmewake alikuwa akimsubili kwa doctor
baada ya kuingia kwenye gari nikaliwasha kisha nikaondoka huku mkono wangu wa kushoto ukitembea juu ya tumbo la precious

"Haikuchukua muda mrefu sana tangu tutoke hospital ya Nyakahoja tukawa tumeshafika nyumbani
leo nitaingia mwenyewe jikoni" nilimwambia precious kisha nikamuachia busu kwenye paji lake la uso na kuingia jikoni
ambapo nilipanga kupika mtori wa nyama kama alivyokuwa akitaka

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)