SORRY MADAM (19)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... “Wee acha tuu yaani nilisaa la tatu tumekaa hapa na hiyo foleni hapa hadi tuimalieze ni shughuli” “Ndio tatizo la nchi yetu kukitokea jambo kama hili basi wahusika wataanza kujivuta vuta usishangae hapa tunakaa zaidi ya masaa kumi” “Kweli na hapa mtu huwezi kusema utahairisha safari kwani nyuma yetu kuna foleni mbele huko ndio usiseme” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Kuna biashara zangu nilitaka kuziwahi ila hapa nimesha chelewa itanilazimu kulala Arusha kitu nilichokuwa sijakipanga kabisa” “Ulitaka urudi le oleo?” “Ndio ila kwa hali hii nahisi hapa kuna kulala” “Wewe ni mfanya biashata?” “Ndio ninachukua mizigo ya nguo za wanawae na watoto kutoka Dar na kwenda kuiuza Arusha” “Ahaa hivi hiyo biashara inalipa?” “Ina lipa pale mtu unapokuwa mchakarikaji ila ukiwa goi goi utaiacha kazi…..Vipi wewe uanashughulika na nini?” “Mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha tano ” “Ahaaa ila si …