SORRY MADAM (35)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (35)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... “Kipo wapi mkuu tukushuhulikie?” “Kipo huku juu twendeni mukaking’oe” Nikaingia jikoni na kujibanza kwenye mlango na wakapita bila kuniona na kuingia chumbani kwa mama na nikatoka na kushuka kwenye ngazi kwa haraka na kutoka nje na kuanza kukumbia na kabla sijafika getini nikaisikia sauti ya baba NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Wewe mpumbavu hapo getini mkamate huyo mshenzi” Sikusimama na askari wa getini akanipisha na sote kwa pamoja tukatoka getina na tukaingia kwenye taksi na kumuomba dereva aondoke kwa kasi. “Mbona hujanikamata?” “Siwezi kufanya hivyo kwa maana mama yako amanisaidia kwenye mengi na nikifanya hivyo nahisi hata mbinguni sinto kanyaga” “Nashukuru ndugu yangu” Nikafungua begi langu kutoa noti kumi za dola mia mia na kumpa askari wa getini akanishukuru kupita maelezo kwa muonekano wake tangu azaliwe hakuwahi kushika kiasi cha pesa nilicho mpatia kwa …