SORRY MADAM (49)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (49)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI NA TISA ILIPOISHIA... Nikabaki mdomo wazi huku nikimuangalia baba kwa macho ya mshangao hulu machozi yakinitiririka. “Eddy anacho kifanya yule mwanamke ni haki yake…..tangu mimi nimchukue sijawahi kufanya naye chochote….Ndio maana mara ya kwanza nikakuambia kuwa mama yako ni katili sana na mimi ninajua kila kitua anacho kifanya mke wangu” “Oohh baba kwanini eeehee umemchukua wa nini sasa yule mwanamke?” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilizungumza kwa sauti ya chini iliyo jaa unyonge wa hali ya juu “Eddy nilihitaji kuficha aibu yangu kama mtu mwenye pesa zake” Nikajukuta ninakosa la kuzungumza na kumfanya kunyanyuka kwenye kiti alicho kaa kilichopo pembezoni mwa kitanda changu cha hospitali kisha akanifwata kwenye kitanda nilicho kaa kisha na yeye akakaa “Eddy nakuomba unitunzie siri hii ambayo sipendi mtu yoyote aijue zaidi ya yako wewe na yule mwanamke” “Nitakutunzia baba yangu lakini na…