SORRY MADAM (50)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (50)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI ILIPOISHIA... Jamaa akagonga meza yake na wakaingia majamaa nilio kuja nao kisha wakaninyanyua kinguvu na kunivua shati langu na kubakiwana suruali yangu kisha wakanitoa ndani ya ofisi huku wakiwa wemeibeba juu juu.Wakanikabidhi kwa askari mmoja ambaye anaonekana ndio mkubwa wa humu ndani na moja kwa moja askari niliyo kabidhiwa kwake akanipeleka kwenye mango jengine huku akiwa amenibebe begani NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikakuta msari mrefu wa watu wakiwa wamepanga mstari na jamaa akaniangushia nyuma ya mtu wa mwisho kwenye mstari huu kisha akaondoka. Nikachungulia mbele na kuwaona watu hawa ambao kidogo wanaonekana ni wapya kama mimi.Nikaanza kuona kusikia kelele za watu waliopo mbele wakiaza kupiga kelele wakionekana kupata maumivu makali ikanibidi niweze kuchungulia mbele kuona ni kitu gani kinachoendelea, nikawaona watu wawili wakiwa wanalazimishwa kulishwa vitu vinavyofanana…