Notifications
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…

SORRY MADAM (50)

SEHEMU YA HAMSINI
ILIPOISHIA...
Jamaa akagonga meza yake na wakaingia majamaa nilio kuja nao kisha wakaninyanyua kinguvu na kunivua shati langu na kubakiwana suruali yangu kisha wakanitoa ndani ya ofisi huku wakiwa wemeibeba juu juu.Wakanikabidhi kwa askari mmoja ambaye anaonekana ndio mkubwa wa humu ndani na moja kwa moja askari niliyo kabidhiwa kwake akanipeleka kwenye mango jengine huku akiwa amenibebe begani

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Nikakuta msari mrefu wa watu wakiwa wamepanga mstari na jamaa akaniangushia nyuma ya mtu wa mwisho kwenye mstari huu kisha akaondoka.

Nikachungulia mbele na kuwaona watu hawa ambao kidogo wanaonekana ni wapya kama mimi.Nikaanza kuona kusikia kelele za watu waliopo mbele wakiaza kupiga kelele wakionekana kupata maumivu makali ikanibidi niweze kuchungulia mbele kuona ni kitu gani kinachoendelea, nikawaona watu wawili wakiwa wanalazimishwa kulishwa vitu vinavyofanana na makaa ya moto huku midomo yao ikiwa imeminywa na mijitu mikubwa myeusi ambayo kusema kweli yanatisha kupita maelezo.Mapigo ya moyo yakazidi kwenda mbio na kila muda ulivyo zidi kwenda ndivyo jinsi mstari ulivyo zidi kusogea mbele na kusema kweli sikuweza kuona sehemu yoyote ya kutoreka kwa maana katika kuta zote za pango kuna vibanda vya askari wakiwa na bunduki mikononi mwao na kila aliye jaribu kukimbia alizawadiwa zawadi ya risasi na huo ndio unakuwa mwisho wa masha yake.Wakasalia watu watano kutoka mimi nilipo na wengine wote walio pita wakawa tayari wamelishwa makaa ya mawe na wamepelekwa kwenye moja ya chumba ambacho sikujua ni nini kinacho endelea

Tukabaki watu wawili kwenye mstari nakamshuhudia mtu aliyopo mbele yetu akachiruzikwa na na mikojo kiasi kwamba mwili wake mzima ukawa unatetemeka kiasi kwamba hali ya kutokwa na haja ndogo ikaamia na kwangu na bila ubishi nikashindwa kujizuia na mimi nikajikuta nikilowanisha suruali yangu.Gafla tukasikia filimbi zikipigwa kwa nguvu kutoka sehemu ambayo tuliwaacha watu wanao fanyishwa kazi,ikawalazimu mijamaa wanao walisha watu makaa ya mawe kutuacha na kukimbilia sehemu zinapotoka kelele za filimbi.Kwa haraka na nikachunguza sehemu zenye vibanda vyenye askari nikagundua wapo bize katika kwenda sehemu zinapo tokea kelele.Nikakimbia kuelekea sehemu zenye kelele na kwabahati nzuri sikuweza kukutana na askari yoyote.Nikakuta hali ya mvurugano kati ya askari na watu wanao tumikishwa humu ndani ya pango,Miili mingi ya watumwa ikawa imelala chini ikiwa inavuja damu kutokana na kupigwa risasi na askari waliopo ndani ya pango hili.

Watumwa wengine waoga wakaanza kulala chini huku mikono yao wakiwa wameiweka kichwani,Nikashuhudia mwanamke mmoja akiwa amelazwa chini akipigwa kipigo kikali na askari walili wanao onekana kuwa na hasira kali sana.Roho ya huruma ikaniingia na kujikuta nikianza kukimbia na kuwakumba watu waliopo mbele yangu na kujikuta nikisimama gafla huku macho ni kiwa nimeyatoa kiasi kwamba hasira ikazi kunipanda hii ni baada ya kumkuta ni mama yangu ndio anaye pigwa na askari hawa wanao onekana hawana huruma kabiasa wa watumwa walipo ndani ya hili pango.

Nikajirusha juu ya mwili wa mama yangua na kumkumbatia kitendo kilicho zidisha hasira ya askari hawa na wakaanza kunishambulia mimi kwa kunipiga,Sikaanza kusikia uzito mwengine ukija juu yangu na nikagundua kuwa watumwa wengine wamepatawa na roho ya huruma na wao mwaneamua kufanya kama nilivyo fanya mimi na kwa umoja wetu ikawalazimu askari kusitisha zoezi lao la kutupiga.Wakatuamuru tuweze kurudi kwenye kazi za kuvunja miamba,nikamnyanyua mama taratibu huku uso wake ukiwa umejawa na damu zilizo changanyikana na machozi mengi.Nikamshika mama huku akiwa hatambui ni nani aliye mshika na kabla sijamsemesha kitu cha ina yoyote askari mmoja anisukuma ili nimuechie mama kisha akamshika mama mkono na kuanza kumburuza kitendo kilicho zidi kunipandisha hasira ila kabla sijhamfwata nikastukia nikichapwa na fimbo aina ya mkia wa taa iliyo jizungusha kwenye tumbo langu na kunirudisha nyuma baada ya askari aliye nichapa kafanya hivyo bila ya huruma

Nikamshuhudia mama akipotelea gizani kwenye pango pamoja na askari aliye mchukua na sikuwa na lakufanya zaidi ya kuendelea kupokea kichapo cha kuchapwa nikiamrishwa kwenda kufanya kazi upasuaji wa mame.Nikaokota moja ya nyundo huku nikiwa na hasira na uchungu mwingi na kuaza kuvunja mwamba amabao wenzangu wanaendelea kuuvunja.Kitu ambacho nimegundua ni kwamba watu wengi waliomo humu ndani wamelishwa makaa ya mawe moto ambaya sio rahisi kwa mtu kuweza kuzungumza chocheta zaidi ya kutoa miguno.Hali ya maisha ikazidi kuwa ngumu kwa upande wangu kadri ya siku zinavyo zidi kwenda sikuweza kumuona mama yangu japo ninaendelea kufanya juhudi ya kuchunguza ni wapi alipo mama na sikuwa ninafahamu kama yupo hai au tayari amesha fariki,mwili wangu ukazidi kudhohofika kutokana na chakula finyu tunacho pewa asubuhi na jiono,Asabuhi tunakunywa kikombe kidogo cha uji usio na kadha ya aina yoyote na usiku tunapewa viazi viwili vilivyo chemshwa na huo ndio mlo wa siku moja na mbaya zaidi chakula ni chakugombani usipo fanya hivyo unaweza kukaa siku mbili hadi tatu pasipo kula

Watu wengi wanazidi kufa kutokana na njaa inayo andamana na kazi ngumu kwa upande wangu kifua kianza kuniuma sana ikafikia hatua nikaanza kukohoa na makohozi yangu yamechanganyikana na damu nyingi,
“Hapana siwezi kufa humu ndani”
Nimawazo ambayo yakawa yanajirudia rudia kichwani kwangu kadri siku zinavyo zidi kwenda,mbaya zaidi sikuweza kujua upi ni usiku na upi ni mchana hii ni kutokana na muda wote tuliopo ndani ya pango mataa makubwa yanawaka,Kila ninapo jitazama mwili wangu ninajikuta nikimwagikwa na machozi kwani mbavu zangu unaweza kuzihesabu,mikono na miguu yangu imekondeana sana.Nyele zangu zimekosa uhusiano mzuri kichwani vidonda vingi ambavyi vingine vimefikia hadi hatua ya kutoka na funza vikaendelea kunitesa mwili wangu.

“Mungu wangu ninaomba unipe nguvu na juhudi katika hili”
Nikaanza kufanya kazi ya kutafuta ni wapi ninaweza kupata njia ya kutokea na kwa bahati nzuri katika uvunjaji wangu wa miamba nikaona sehemu yenye ufana wenye kijisihimo kidogo,nikawatazama askari waliopo ndani humu na hakuna aliye nifwatiliza nikapiga hatua za taratibu na kuchungulia kwenye shimo na kuona mwanga kwa mbali na akili yangu ikatambua utakuwa ni mwanga wa jua.Kengele ya kwenda kupata chakula cha jioni ikagongwa na nikatupa sururu niliyo nayo chini na kuchomoja kwa kasi kuwania chakula ambacho nikikosa leo itakuwa siku yangu ya pili kukosa chakula.Japo mwili wangu umedhohofika nikajikaza katika kugombani viazi na kupata viazi vitatu,Nikakaa kwenye sehemu ambayo siku zote huwa ninapenda kukaa na kuanza kuvisakamia viazi kwa fujo

Nikastukia nikiguswa mguu na binti mdogo na akaniwekea mkono kwa ishara ya kuniomba kiazi kimoja ambacho nimebaki nacho mkononi.Nikamtazama kwa jinsi alivyo kondeana hadi sura yake imejaa vishimo shimo vilivyo kosa nyma kwa kukondeana.Taratibu nikampa kijikiazi nilicho nacho na chote akakiweka mdomoni na kuanza kukitafuna kwa haraka na inavyo onyesha ana njaa kuliko mimi.Akanishukuru kwa kuikutanisha mikono yake kwa pamoja huku akiinama na akanyanyuka taratibu na kuondoka

Tukuruhusiwa kwenda kulala kwenye mapango yetu ambayo milango yake ni ya chuma na katika chumba kimoja cha pango tunalala watu si chini ya thelathini na tangu niingie kwenye hili pango sikuwahi kuona hata siku moja watu wakienda kuoga kwahi maji tunayo kunywa ni machafu sana na yapo kwenye kijikisima kimoja kidogo.Harufu ya uchafu wa miili yetu siku zote inanikusesha raha ya kulala na hususani loe kidogo ninajambo la kuliwazia kichwani kwangu kutokana na ufana nilio uona ninaimani utanisaidia katika kutoroka ndani ya hili pango.

Muda wa kuamshwa ukawadia na tukatoka ndani ya vyomba vyetu na kuelekea sehemu za utendaji wetu wa kazi na kitu cha kwanza kufika kwenye sehemu yangu nikawa na kazi ya kuvujunya ufa nilio uona,ugumu wa mwamba huu hakunifanya nife moyo zaidi ya nilicho kifanya ni kuendelea kuvunja hadi ikafikia kipindi matumaini yakaaza kuja,Filimbi ya dharura ikapangwa na tukakusanyika kwenye eneo la moja na askari wakaanza kutupanga mistari mitatu na tukasubiria nini tunacho taka kuambiwa.Nikawaona watu wanne walio valia vizuri na nikamgundua mmoja wao ambaye ni baba yangu mkubwa Mzee Godwin akiwa ameongozana na watu wengine watatu ambao sikuwajua.Mukuu wa askari wa eneo hili akawapokea kwa unyeyekevu mkubwa na kuanza kuwapitisha kwa kwenye mistari mmoja baada ya mwengine kama vile raisi anaye kagua gwaride la wanajeshi.

Sura yangu nikaiinamisha chini ili asiweze kunijua kwa haraka na kabla ya kunifikia mimi akahamia kwenye mstari wa nyuma yetu na kuendelea kuwatazama watumwa wezangu tuliopo kwenye eneo hili,Wakamaliza kazi hii na wakapanda kwenye ofisi ya mkuu wa eneo hili huku wakizungumza na kucheka kwa furaha.Uchungu na maumivu makali yakaendelea kuutesa moyo wangu ila sikuwa jinsi,tukarudi kwenye sehemu zetu na kuendelea na kazi hata kengele ya uji ilivyo gonga sikuwa na haja ya kwenda kugombania uji.Nikaendelea kupasua mwamba huu na kugundua mawe haya nikiyagonganisha kwa pamoja yanaweza yakazalisha moto kutokana na chechezake.Nikawaona askari wanao tusimamia wakielekea walipo kwenda baba na wezake wakionekana kujawa na furaha hapa ndipo nikaamini kuwa baba mkubwa ndio mmiliki wa hili eneo.

Kwa bahati nzuri nikaona kamba moja ambayo hutumia katika kubutia mawe makubwa,Nikaichukua na kwenda moja kwa moja kwenye mapipa yenye mafuta ya petrol ambayo yanatumika kuendeshea majenereta yanayo washa taa za humu ndani,Kwa haraka nikaichovya kamba kwenye pipa lenye mafuta na kabla sijaondoka eneo lenye mapipa nikaona kidungu kidogo cha maji ya lita moja na nusu.Nikakiokota na kuchota mafuta nusu na kurudi katika eneo lenye ufa,kwa uzuri ni kwaba sehemu yenye ufa juu yake ndipo zilipo ofisi za wakuu wa hii sehemu na haikuw ni raisi kwa wao kuniona kutokana nipo chini shana na pameingia ndani.

Wezangu tayari wamesha toka kunywa uji na wanaendelea na kazi zao za upasuaji wa mawe na kelele za upasuaji wa mawe zikazidi kunipa moyo wa kwamba sio rahisi kwa maaskari kuweza kusikia kitu cha aina yoyote.Nikaiingiza kamba kwenye mdomo wa kidungu nilicho kiokota japo kamba ni nene kiasi ila nikajitahidi kuigandamiza hivyo hivyo na ikaingia kiasi kidogo.Nikakichomeka kidungu sehemu yenye ufa na kabla sija ondoka kwenye eneo hili msichana aliye niomba kiazi jana usiku akanifwata na kunigusa mkono na kwa ishara akaanza kunielekeza kitu ambacho haikuwa si raisi kwa mimi kuielewa

Nikaivuta kamba yangu hadi sehemu yenye umbali kidogo na eneo lenye ufa na kuokota mawe mwili ya mwamba na kuanza kuyagonganisha kwa nguvu.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
36 Simulizi Sorry Madam
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni