SORRY MADAM (51)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (51)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA ILIPOISHIA... Nikaivuta kamba yangu hadi sehemu yenye umbali kidogo na eneo lenye ufa na kuokota mawe mwili ya mwamba na kuanza kuyagonganisha kwa nguvu. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kila ninavyo endelea kuyagonganisha ndivyo jinsi msichana anavyo nisumbua kwa kunishika mkono na kunionyesha kwa ishara umbo la binadamu na kudai kuwa lipo kwenye sehemu ya pili ya sehemu ninayo ipasua.Japo ninamuelewa ila sikuwa na haja ya kusikiliza sana na nikazidi kujitahidi kuyagonganisha mawe yangu kwa nguvu na kasi ya kubwa hadi chche zikaanza kutoka na kwabahati nzuri cheche baadhi zikanasa kwenye kamba yenye mafuta ya petrol na kwa kasi ikaanza kuwaka huku ikielekea sehemu yenye kidungu cha maputa.Msichana anakigeuza ili nisome kitu alicho kiandika sehemu ya ukutani kwenye mwamba kwa kutimia jiwe.Nikakutana na maandishi yenye herufi kubwa na zilizo kaa bila mpangilio zinazosomeka {MAMA …