Notifications
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…

SORRY MADAM (51)

SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Nikaivuta kamba yangu hadi sehemu yenye umbali kidogo na eneo lenye ufa na kuokota mawe mwili ya mwamba na kuanza kuyagonganisha kwa nguvu.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Kila ninavyo endelea kuyagonganisha ndivyo jinsi msichana anavyo nisumbua kwa kunishika mkono na kunionyesha kwa ishara umbo la binadamu na kudai kuwa lipo kwenye sehemu ya pili ya sehemu ninayo ipasua.Japo ninamuelewa ila sikuwa na haja ya kusikiliza sana na nikazidi kujitahidi kuyagonganisha mawe yangu kwa nguvu na kasi ya kubwa hadi chche zikaanza kutoka na kwabahati nzuri cheche baadhi zikanasa kwenye kamba yenye mafuta ya petrol na kwa kasi ikaanza kuwaka huku ikielekea sehemu yenye kidungu cha maputa.Msichana anakigeuza ili nisome kitu alicho kiandika sehemu ya ukutani kwenye mwamba kwa kutimia jiwe.Nikakutana na maandishi yenye herufi kubwa na zilizo kaa bila mpangilio zinazosomeka

{MAMA ULIYE MTETEA SIKU ZILEEEE YUPO SEHEMU YA PILI YA SEHEMU AMBAYO UNAPASUA HUO MWAMB…..}

Kabla sijamalizia kusoma maandishi hayo nikastukia mlipuko mkubwa ulio sababisha mwamba kupasuka na kuanza kudondosha mawe makubwa ambayo yameanza kuwaangukia watumwa wezangu pamoja na kuta za ofisi zilizopo juu kuanza kumeguka taratibu na kuporomoka chini

Mawe yakazidi kuporomoka huku vilio na kelele zikitawala kwenye pango zima,Binti niliye naye akanishika mkono na kuniomba nimfwate huku tukijaribu kuyakwepa mawe yanayo endelea kuanguaka,tukafanikiwa kufika kwenye moja ya kijiuchochoro na tukapita na kutokea kwenye moja ya kijimlango cha mbao na akaniomba nichungulie ndani kupitia nondo mbili zilizopo kwenye mlango.Nikamuona mama akiwa amelala chini huku panya na wadudu wengi wakiwa wanamtambalia, hali yake imedhoohofika sana mimi kidogo ninanafuu.Nikatafuta kipande cha jiwe kikubwa na kuanza kupiga kwenye mlango huu ambao ni wa mbao.Nikaendelea kusaidiana na binti niliye kuwa naye na tukafani kiwa kuipasua mbao moja ya mlango,kutokana na wembamba wangu nikafanikiwa kupennya ndani na kumkuta mama akikoroma sana akiwa anaelekea kwenye hatua za mwisho mwisho za maisha
“Mama…..mama mama”

Nimuita mama na akayafumua macho yake taratibu na kunitazama na hakuamini kama ni mimi ndio ninaye muita,akaachia tabasamu pana nikamnyanyua na kuanza kumpitisha kwenye kijiuwazi japo ni kwashida sana ila ikanilazimu kufanya hivyo.Tetemeko la ardhi likaanza kutikisika na woga ukazidi kunitawala,nikafanikikiwa kimtoa mama kwenye kijiupenyo cha mlango kisha na mimi nikaanza kupenya ila kabla sikamalizia kutoka nikajikita nikipiga kelele ya uchungu hii ni kutokana na jiwe lenye ncha kali kutua juu ya mguu wangu wa kushoto.Mama na msichana mdogo wakaanza kunivuta nje japo kwa mama kidogo hakuwa na nguvu sana.

Nikatoka nje ya kijishimo na kuutazama vizuri mguu wangu na kuundua kuwa umetobolewa vibaya maeneo ya kigimbi na kipande kidogo cha jiwe kimekatikia ndani ya mguu.Kila nilipo jaribu kunyanyuka nikajikiya nikishinda na kukaa chini.Tetemeko kubwa la ardhi likaendelea kutetemesha kila eneo na mawe yakazidi kuanguka
“E…ddy…mwan…gu jiiikazeee”

Maneno ya mama yakanipa matumaini mapya ya kujiokoa,nikasimama wima huku meno yangu nikiwa nimeyang’ata nikisikilizi maumivu jinsi yanavyo vuta kwenye mguu wangu.Tukaanza kusikia mlio mkubwa wa maji na gafla tukastukia maji mengi yakija nyuma yetu kwa kasi kubwa na moja kwa moja nikatambua kuwa sehemu ambayo tupo kuna mwamba wa maji umepasuka.Mama akanikumbatia kwa nguvu na binti mdogo niliye kuwa naye ananing’ang’ania mkono na sote maji yakatunyanyua na tukaungana na watu wengi waliobebwa kwenye maji haya.

Ikawa ni kazi ya kumuomba Mungu tunapo elekea tusikutane na kitu ambacho kitaweza kutudhuru.Mama wala binti mdogo hakuna aliye niachia na kila mmoja akajitahidi kwa uwezo weke kunishikilia kwa nguvu zake zote.Ikawa ni kazi yangu kujitahidi kupata muhumili wa kuendana na maji haya kwani watu wengine waliojiachia walijikuta wakikigonga vichwa kwenye mawe ambayao yanaendelea kupasuka na ikawa ni safari ya maisha yao japo miili yao iliendelea kuendelea kupelekwa na maji kama tunavyo pelekwa sisi.Maji yakazidi kutupekeka kwa kasi cha kumshukuru Mungu nikafanikiwa kushika maja ya jiwe lililo simama kama nguzo,Kila nilipo mtaza mama usoni nikajikuta nikipata moyo wa kuuendelea kumsaidia mama kwa moyo mmoja na wakaendelea kunishikilia japo ninapata maumivu kwenye viganja vyangu ambaco hadi kwa sasa vimeota sugu kutokana na upasuaji wa mawe ila nikajikaza kama mwanaume.
“Bora nife mimi ila si mama yangu”

Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijitahidi kuikanza mikono yangu ili maji yasizidi kutupeleka mbele zaidi,Kwa bahati mbaya mwili wa mtu ukaja kutua kwenye jiwe nililo lishikikilia na kuvigandamiza viganja vyangu kwa nguvu hadi nikajihisi vidole vinaweza kukatika na taratibu nikajikuta nikachina na safari ya maji ikaanza kutupeleka huku tukiwa tumetanguliza miguu.Nikaanza kuona mwanga kwa mbali kidogo ambapo ndipo maji yanapo tokea.Wasiwasi mwingi ukaanza kuniingia na nikiwa katikati ya mawazo hayo nikastukia tukuchomolewa ndani ya pango na kuanza kwenda chini ambapo ndipo maji yanapo elekea.Nikagundua sehemu tunayo kwenda kuangukia ni kwenye bahari

Sote tukaingia ndani ya bahari na kushuka chini kidogo na nikajihisi wepesi na nikaanza kuogelea kurudi juu,hadi ninatokeza kwenye usawa wa bahari nikajikuta nipo peke yangu sikumuona mama wala msichana mdogo.Baridi kali ikazidi kunitesa na mbaya zaidi sehemu kubwa ya bahari imezungukwa na milima mingi.Nikavuta pumzi nyingi ya kutosha na kurudi ndani ya maji na kuangaza kila sehemu ila sikuweza kumuona mama wala masichana mdogo.Nikarudi tena juu na kumuona msichana mdogo akinywa maji kwa mkupuo,kwa haraka nikaanza kuogelea hadi sehemu alipo na nikamuacha kudogo nguvu zimuishie ndipo nikaipitisha mikono yangu chini na kuushika mgongo wake ili aelele juu kidogo na macho yangu yakawa na kazi ya kutazama ni wapi alipo mama.Nikamuona mama akiibuka kwenye maji kwa mbali kidogo na kutokana na kuchoka sana sikuwa na hata na uwezo wa kumuita kwa sauti yajuu.Mama akaanza kupiga mbizi taratibi hadi nillipo mimi na akanisaidia kuipitisha mikono yake chini na ikakutana na mikono yangu kwa chini na tukashikana tukiwa hatujua nini cha kufanya kwa maana sehemu tuliyopo ni mbali sana kinho za bahari

Jua likaanza kuzama taratibu huku baridi ikizidi kuongezeka na kwabahati nzuri tukaona boti ndogo inayo kwenda kwa kasi ikipita maeneo ya karibu nasi.Kwa hungu nikapiga kelele za kuomba msaada huku nikisaidiana na mama,Ikatupita na kujikuta tukinyamaza tukiiangalia jinsi inavyo tokomea kwenye maji na matumaini ya kuokolewa ikakata
“Kama MUNGU aliye tusaidia tukatoka pangoni na kutufikisha hapa ninaimani yeye pia atatusaidia kupata msaada”

Mama alizungumza huku akiutasama usawa wa biti ilipo elekea kisha akanigeukia na mimi huku machi yakianza kumlenga lenga.Unene wa kiasi wa mama yangu umepota wote,uzuri na taswira yake ya kuvutia imepotea na sura yake imeingia uzee wa gafla huku akiwa amekondeana sana
“Haki ya Mungu nikirudi hai lazima nilipize kisasi kwa Mzee Godwin”
Nilijiapiza kimoyo moyo huku nikimuangalia mama kwa huruma sana,msichana mdogo hali yake ikaanza kuwa mbaya.Mwili wake ulianza kutetemeka huku kmapovu mengi yakimwagika mdomoni
“Mama ana nini huyu”
“Ni kifafa hambe jikaze kidogo mikono yako mimi ninaachia”

Nikafanya kama mama anavyo nihitaji na nikaikaza mikono yangu na mama akaitoa mikono yake na kuushika mdomo ya mtoto mdogo na kuanza kuziachanisha taya zake ili asiung’ate ulimi wake,Gafla kwa mbali sana nikaanza kuona kitu kikija kwa kasi huku kikiwa kimejitokeza upanga mmoja na kwaharaka nikatambua ni papa
“Ma…”
“Nini?”
“Ona huko nyuma”
Mama akatizama nyuma na nikastukia akiacha alichokuwa akikifanya kwa msichana na kwa haraka akaniomba niogelee na nimuache msicha.
“Mama”
“Fanya kama nilivyo kuambia okoa maisha yako kwanza huyo binti muache”

Mama alizungumza huku akiendelea kupiga mbizi akielekea upande mwengine,roho ya huruma ikanijaa moyoni mwangu na ninakafikiria mambo machache aliyo nifanyia huyu binti kwani isinge kuwa ni yeye nisingeweza kumuona mama na kwa haraka nikamuweka mgongoni kisha nikaivua suruali yangu iliyo chakaa na kubakiwa kama nilivyo zaliwa na kumfunga vizuri ili asianguke na kuanza kuogelea kuelekea kwa haraka alipo mama.Japo kuna uzito ila nikaendelea kujikaza kama mwanaume.Na jinsi ninavyo ogelea mbele ndivyo jinsi papa aliyozidi kunikaribia na safari hii akajitokeza vizuri na kuhakikisha kweli ni papa samaki mwenye meno makali ya kumrarua binadamu anaye ingia kwenye kumi na nane zake ndio anaye nifwata kwa mwendo wa kasi na kujikuta nikipiga picha ya jinsi atakavyo nirarua pamoja na huyu msichana mdogo

Gafla nikasikia milio mingi ya risasi iliyoanza kunichanganya hata mfumo wa kuogelea ukabadilika nikatamani maji ya bahari yabadilike na kuwa mchanga ili miguu yangu ipate uwezo wa kukimbia ila hikuwa hivyo zaidi ya milio kuzidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu na kwakiweza sikujua hata ni wapi inapo tokea,Maji yakabadilika na kuanza kuwa na rangi nyekundu nikageuka nyuma na kukutana na boti iliyo wabeba watu wapatao wanne wenye bunduki na pembeni nikamuona papa aliyekuwa akinifwata akielea elea juu ya maji akiwa amekufa.Jamaa wenye boti yao wakaisogeza hadi pembeni na kunitazama kwa muda kisha wakanipa mkono na kunivuta kwa nguvu huku buinti mdogo akuwa mgongoni,wakanipa kitaulo cha kujifunga na kunza kumfwata mama ambaye tayari alisha fika mbali kutoka sehemu ambayo nilikuwepo mimi.Jamaa mmoja alizungumza na simu na sikuielewa luga yake kutokana anazungumza kikabila kisha akakata simu.Wakaisogeza boti yao hadi alipo mama na wakamvutia ndani ya maji.Nikawaona jamaa wakinong’onezana na kisha wakagongeana mikono ikatubidi mimi na mama tutazamane

“Asanteni ka masaada wenu”
Mama alizungumza huku akiwatazama usoni
“Musijali kwa hilo”
Jamaa wakaonekana kutawaliwa na furaha ambayo hadi wakati huu sikujua ni ya nini
“Mbona munafurahi?”
“Tunafurahi kwa maana tumesha kuwa ni matajiri”
“Matajiri wa nini?”
“Kuna tangazo lilikuwa linatolewa kwa mtu atakaye fanikisha kukupata wewe atapewa dola milioni mbili za kimarekani na baba yako na sasa ni mwezi wa tatu ndio sisi tumekupata”
Nikatabasamu ila ikawa ni tofauti kwa mama ambaye nahisi kuwa anajua ni mume wake mzee Godwin
“Eddy waambie wanipige risasi ili nife sipi tayari kurudi tena mikononi mwa baba yako”

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
36 Simulizi Sorry Madam
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni