SORRY MADAM (52)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI ILIPOISHIA... “Kuna tangazo lilikuwa linatolewa kwa mtu atakaye fanikisha kukupata wewe atapewa dola milioni mbili za kimarekani na baba yako na sasa ni mwezi wa tatu ndio sisi tumekupata” Nikatabasamu ila ikawa ni tofauti kwa mama ambaye nahisi kuwa anajua ni mume wake mzee Godwin “Eddy waambie wanipige risasi ili nife sipi tayari kurudi tena mikononi mwa baba yako” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Mama sio baba wa Tanzania ?” “Unataka kusema wewe baba yako yupi huyo mwenye roho ya kibinadamu atakaye toa pesa yake ili amzawadie mtu?” “Mama sio baba unaye mjua wewe…tambua kuwa ukweli wote ninauju na ninamshukuru Mungu kuwa nimempata baba yangu ambaye yeye ndio damu yeke japo amepitia yaliyo mengi ila ninamshukuru Mungu yupo hai” Mama akabaki kimya huku macho yake yakiwa chini akimtazama mtoto tuliye mlaza chini,Tukaona boti nyingine kubwa ikija na kusimama karibu na sehemu ilipo bo…