SORRY MADAM (53)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI NA TATU ILIPOISHIA... “Ahaa sawa” “Yule uliye kuwa unampiga ni nani?” “Si ni mke wa baba” “Ahaa na yule mwengine aliye pigwa risasi?” “Ni mshenzi mwenzake ambaye walikuwa wakitembea pamoja na kumzunguka baba” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Tukiwa katika mzungumza ya kawaida tukazishuhudia gari mbili za polisi pamoja na gari moja za wagonjwa zikiingia kwenye geti kuu la jumba la baba na kusimama sehemu ya magari ya kusimama,Wakaingia ndani na baada ya muda madaktari wakatoka wakiwa na kitanda cha matairi na juu yake wakiwa wamemlaza mke wa baba na kumuingiza kwenye gari lao na wakaondoka huku wakiwa wanapiga ving’ora.Askari wawili wakatufwata sehemu tuliyo simama na mama na kutusalimia kwa utaratibu “Tunaimani na nyinyi ni miongoni mwa wahusika kwenye hii nyumba?” Askari mmoja alizungumza huku akituangalia usoni na mama akanitizama kisha akajibu “Ndio labda tuwasaidie nini?” “Kwa jina ninaitw…