SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Baba akanipa simu mbele ya mwalimu wa nidhamu japo sheria za shule haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu
“Sasa Eddy uwe makini na simu yako ili waalimu wengine wasiione wakakupokonya kwa mimi ninakuruhusu kuwa nayo”
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Mwalimu wa nidhamu alizungumza huku akiwa anajichekesha chekesha baada ya kupewa laki moja na baba ila sikujua ni ya nini.Baba akaniombea ruhusa ya kwenda na mimi nje ya shule.Baada ya kuipata ruhusa hiyo tukaondoka shule na kwenda katika hoteli moja iliyopo karibu na shule.Tukanunua chakula tukiwa na dereva wa baba tukaanza kula huku mara kwa mara mzee akinihusia kusoma kwa juhudi huku akinipondeza kwa kumbishia mwalimu
“Wale waalimu wenu wanaonekana wana tabu sana.Ila wakikuzingua kwa kosa ambalo utaona hawakutendei haki wewe wazingue.Ila wakiniletea kesi ambayo ni ya kijinga jinga kama umekamatwa na demu sijui umegoma kufanya mtihani jua nikirudi nitakuvunja kiuno tume elewana?”
“Sawa baba”
Baba akaniomba nimpeleke katika hospitali ya shule akamuone Madam Mery.Tukafika katika hospital ya shule tukamkuta Madam Mery akiwa na kaka Lucka ambaye baada ya kumuona mzee akampigia saluti.Wakazungumza na Madam Mery huku mazungumzo yao akimuhimiza anifwatile sana katika masomo yangu huku awe anampa taarifa kwa kili kitu nitakachokuwa ninakifanya
Tukatoka hospitalini mida ya saa moja kasoro usiku baba na dereva wakanipeleka nyumbani kwa Madam Mery kuchukua madaftari na vitabu vyangu kisha wakanirudisha shuleni na kuagana nao wakaondoka mimi nikaelekea zangu bwenini.
“Oya Eddy kuna kiji message chako hapa”
“Kimetoka kwa nani?”
“Aliye nipa ameniambi nisikuambie”
Baraka akanipa kikaratasi nikakifungua na kukuta ujumbe ulio andikwa kwa mwandiko wa kike
{Naomba tuonane kabla ya prepo kwenye kordo ya madarasa ya Arts ‘S’}
Nikatambua kuwa ni Salome kwani tulipanga tuonane katika muda kama huo.Nikajiandaa haraka haraka na kumpa taarifa John anayeonekana kuto kuamini kwa kitu ninacho kizungumza.Tukafika katika madarasa ya Arts tukawakuta Salome na rafiki yake wakiwa wanatusubiria.Tukasogea pembeni na Salome na kuwaacha John akiwa amesimama na Claudia
“Salome nashukuru kwa kukubali ombi langu la kuonana na mimi hapa”
“Eddy hauna haja ya kushukuru wakati hata mimi ninapaswa kukushukuru kwa msaada wako wa pesa ulionipatia majuzi kwani bila wewe wala nisinge weza kushiriki mashindano ya umiss na kushinda”
“Hakuna tabu vile ni vitu vy kawaida…..Salome na….”
Kabla sijazungumza kitu nikamuona mwalimu wa zamu akija eneo tulilo simama na ikabidi tubadilishe mada
“G.S(General study) sijaandika naomba uniadhimishe daftari lako”
Salome akafungua begi lake na kujifanya anatoa daftari la somo nililo muomba huku tukimsubiria mwalimu wa zamu apite
“Eddy nenda darasani kwenu muda wa kujisomea sasa acheni stori”
“Sawa ticha hapa nimekuja kuazima daftari la G.S”
Mwalimu akapita na kutuacha na kutuacha tumesimama na Salome.
“Salome kama huto jali njoo class kwetu mida ya saa tatu tatu”
“Powa nenda na hili daftari ili nipate kisingizio cha kuja Class kwenu”
Tukaachana na Salome kila mtu akaelekea darasani kwao
“Eddy nimempiga Sound Claudia amenikubalia”
“Wee”
“Chezea mimi,dogo ameniambia kesho tunane”
“Haya mwaya”
“Vipi na wewe huyo miss wako amekukubalia?”
“Yule kwangu haruki mimi ndio Eddy mwengine photocopy”
“Mmmmm unaweza ukawa una jiproud bure kumbe domo zege”
“Haya mimi si domo zege utaona”
“Nitaona nini sasa?”
“Twende darasani tuachane na hizo mada”
Tukaingia darasani na kila mmoja akakaa sehemu yake na tukaanza kusoma huku akili yangu ikihesabu masaa ya Salome kuja darasani kwetu kuchukua daftari alilo nipa.Mida ya Saa tatu kasoro Salome akaingia darasani kwetu na kuwafanya watu wengine kushangaa huku wengine wakimpongeza kwa ushindi nikawa najiuliza kwani siku zote hawakumuona ili wampe pongezi
Salome akafika katika meza yangu,Nikachukua kiti ambacho hakina mtu na kmuwekea pembeni.Salome akakaa na kumfanya John akibaki akisikitika huku akinikonyeza
“Eddy unasoma nini?”
“Nisome wapi hapa nilipo nilikuwa ninahesabu muda wa wewe kuja”
“Acha kunichekesha Eddy unataka kuniambia saa zote hujasoma kitu hata kimoja?
“Kweli sijasoma hapa pia nashukuru kukuona hapa”
Salome akaanza kucheka kwa sauti ya chini hapo ndipo nikapata fursa ya kumchunguza vizuri na kukubali kimoyo moyo kwamba Salome ni mzuri kwani kila kitu kilichokaa katika mwili wake kimekaa kwa mpangilio
“Eddy mbona unanitazama sana?”
“Salome si siri wewe ni mzuri yaani mpaka unafanya moyo wangu unauma”
“Eddy wewe muongo”
“Kweli yaani kila nikikuangalia mwili wangu unasisimka”
“Asante ila hata wewe pia ni mzuri.”
“Mzuri wapi best”
“Wewe hujioni ila sisi tuna kuona ndio tunajua wewe ni mzuri”
“Salome kusema ukweli ninakupenda japo wewe upo na kaka mkuu”
“Hapana yule si mpenzi wangu”
“Ila ni nani yako?”
“Yule jamaa alinitongoza ila kwa muda mrefu sikumpa jibu lake”
“Mmmm haya sisi yetu macho”
“Kwa nini yenu ni macho?”
“Sisi tulio wabaya tutaishia kufaidi tu kwa mimacho yetu”
“Ila usijali mbina hata wewe unaweza kuf……”
Kabla Salome hajamaliza kuzungumza kitu chochote gafla umeme ukakatika na watu wakaanza kushangilia.Salome akanisogelea na kunipiga busu la haraka la mdomoni na kunifanya mwili wangu kusisimka kwa raha
“Eddy twende zetu huku”
Salome akanishika mkono na kuanza kutoka darasani huku kukiwa na giza totoro ila wenye tochi zao waliombwa kuzizima na watu wenye kufanya yao na mademu zao.Tukafika katika vyoo vya shule na kuingia katika vyoo vipya ambavyo havijaanza kutumika.Tukaanza kunyonyana denda huku kila mmoja akionekana kuwa na humu na mwenzake japo kuna giza ila nikajikuta nikijiamini.Nikaipandisha sketi ya Salome juu na kumvua nguo yake ya ndani huku na yeye akinivua suruali yangu kwa haraka
Kidole changu kimoja nikakiingiza katika mgodi wa Salome na kuanza kukichezesha na kumfanya Salome kuanza kutoa miguno ya raha huku naye akijitahidi kuanza kuichua karoti yangu,Sikutaka kupoteza muda nikaunyanyu mguu wake na kuushika na mkono mmoja kisha karoti yangu ikazama ndani ya mgodi na kuanza kuuchimba.Salome akanza kutoa miguno huku mara kwa mara nikimnyonya denda ili kuepuka kelele zake zisikike nje japo vyoo hivyo vipo mbali kidogo na madarasa.Nikazidisha kasi ya kuchimba kisima na kumfanya Salome alie kama mtoto mdogo
Gafla tukajikuta tunakatisha zoezi baada ya kusikia mtu akifungua milango ya vyoo vya mwanzo na hapo tulipo ni choo cha tano kutoka choo cha kwanza.Salome akaanza kutetemeka huku akianza kuvaa nguo zake.Nikapandisha suruali yangu haraka haraka na sote tukaanza kuskilizia ni nani anafungua katika vyoo tulivyopo.Tukaanza kuuona mwanga wa tochi kwa kupitia uwazi wa mlango ukija katika choo tulichopo huku miguu ya mtu huyo ikizidi kusogea karibu na choo tulichopo.Tukasikia mtu huyo akigusa kitasa cha mlango wa choo tulichopo na kuanza kukivuta
Mapigo ya moyo yakazidi kunienda mbio na kujikuta nikianza kuomba sala ya kuniepusha na kukamatwa kwetu kwani ni muda mchache ulio pita baba alitoka kunionya kwa ujinga kama huo.Nikamtazama Salome na taratibu nikamuona mwenzangu akilegea kabla hajaanguka nikamuwahi kumkumbatia ili asianguke chini na kunifanya nizidi kuchanganyikiwa
Nikaendelea kumshikilia Salome ambaye anahema Kwa pumzi za taratibu kutokana na giza sikujua kama ameyafumba macho yake.Mlango ukatingishwa kidogo kama mtu anayetaka kufungua na kuingia.
“Eddy…..Eddy”
Nikasikia ni sauti ya chini ya John ikiniita nje ya mlango, Nikawa na wasiwasi huenda atakuwa yupo na walinzi au mwalimu ili iwe rahisi kwa kunikamata endapo nitaitiaka.Akarudia kuniita tena ila nikakausha kimya nikamsikia akiendelea kufjngua fungua vyoo vingine na baada ya muda sikumsikia tena.
“Salome Salo”
Nilimuita Salome huku nikimtingisha taratibu ila mwenzangu hakunijibu kitu chochote.Nikakumbuka baba alinipa simu nikaitoa mfukoni na kuiwasha nikammulika Salome nikakuta mwenzangu macho yake yamebadilika na kiini cheusi cha kati kati ya jicho sikukiona na kulifanya jicho lake lote kuwa jeupe.Mwili mzima ukaanza kunitetemeka huku taratibu nikihisi umoto moyo kwenye mapaja yangu na kuifanya suruali yangu kulowana nikajua moja kwa moja mtu mzima nimesha limwaga mbele ya Salome ambaye sielewi amepatwa na nini.
Kwa jinsi miguu inavyotetemeka nikashindwa kuizuia hali ya kulimwaga kojo ambalo linachuruzika kwenye mapaja kwa kasi huku likiwa la moto moto na mbaya zaidi nimetoka kuchimba mgodi muda si mrefu na sikufiki mwisho wa uchimbaji.Kwa uzito wa Salome na kukosa kangu muhimili wa kusimama nikajikuta nikianza kushuka chini taratibu huku mgongo ukiwa una buruzika ukutani hadi nika kaa chini,Nikaendelea kumnong’oneza Salome ila mwenzangu hakuitika sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kumkumbatia huku kichwa chake akiwa amekilaza juu ya kifua changu,cha kumshukuru Mungu ni vyoo tulivyopo hakuna hata kimoja ambacho kimetumika kwani ndio kwanza vipya vinamsubiria diwani aje kuvizindua siku mili mbeleni.Nikaanza kumlaani John kwa masihara yake nikahisi kwamba ilikuja kunitania na utani wake umweniachia majanga ambayo sijui niyamalize vipi kwani hata kusimama ninashindwa kwa jinsi suruali yangu ilivyo lowana na mbaya zaidi mwili mzima unanitetemeka
Nikatazama saa ya kwenye simu nikakuta ni saa tano kasoro usiku,nikaendelea kusubiri huku mara kwa mara nikiwa ninamtingisha Salome ili azinduke.Baada ya masaa mawili kupita huku nikiwa nipo macho gafla Salome akaiga chamfya nikaiwasha simu na kummulika Salome usoni nikakuta anaanza kufumbua fumbua macho na matumaini ya kuto kulala chooni yakaanza kunijia kwani nilishakata tama nikajua ni lazima nitalala chooni.
“Salome”
“Mmmm”
“Unajisikiaje”
“Mmmmm”
“Unajisikiaje….?”
“Kidogo afadhali”
“Unaweza kusimama?”
“Mwili hauna nguvu”
Ikanilazimu kusubiri ili Salome nguvu ziweze kumrudia.Masaa yakazidi kukatika huku kila nikimuuliza Salome juu ya kurejewa na nguvu anadai bado.Nikaanza kupata wasiwasi kwani hadi sasa hivi imesha timu saa tisa usiku.Kijimwanga kikaanza kuchomoza na kuingia katika uwazi wa chini katika choo.Nikashangaa Salome akikurupuka na kusimama kama mtu aliyekuwa akiota ndoto mbaya
“Eddy tupo wapi?’
“Chooni”
“Tupo chooni Eddy…..bwenini kwetu hawajachukuliwa rollcal?”
Swali la Salome sikujua nilijibu vipi kwani hata mimi mwenyewe sikujua kama bwenini kwetu watu wamehesabiwa namba
“Salome cha msingi wewe uende mbwenini kwenu sasa hivi mambo mengine tutazungumza baadaye tukionana”
“Kwani ni saa ngapi Eddy?”
“Saa kumi na mbili kasoro”
Nikafungua mlango wa chooni nikachungulia nje,nikaona kupo salama hakuna mtu nikampiga busu Salome kisha nikatoka na kuelekee kwangu bwenini kwa ajili ya kujiandaa kwa ajili ya msomo.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com