SORRY MADAM (100)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA ILIPOISHIA... Manka akanyanyuka na kuingia ndani, kwa Amina. Amina akamfwata kwa nyuma kwenda kuzungumza naye. Nikawasha Tv, ila nikaikuta tarifa hiyo ikiwa imekwisha, nikajaribu kuitafuta kwenye chanel tofauti, pia sikuipata. "Oya mtu wako amekataa bwana, tujiandae twende tukapachunguze, kisha usiku twende" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Poa" Tukajiandaa, nikavaa miwanani pamoja na kofia, tukaingia kwenye gari la Amina na kuondoka. "Hilo begi lina nini?" Nilimuuliza Amina, àliye beba begi la mgongoni, alilo liweka siti ya nyuma. "Lifungue" Nikalichukua, nikalifungua. Nikakuta kamera moja aina ya Canoon, bastola tatu, magazine kumi na mbili, na mabomu manne yakurusha kwa mkono. "Mmmmmm" "Mbona umeguna?" "Kazi leo ipo" "Ahaaa ulizani nimchezo, hii ni Somalia bwana, kuingia nirahisi ila kutoka ni ngumu" Amima alizum…