SORRY MADAM (101)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA NA MOJA ILIPOISHIA... Masanduku yenye pesa yakaanza kunishiƱda nguvu, ikanilazimu kuyaachini, yakazidi kwenda chinni. Taratibu nikaanza kujilegeza mwili wangu na kuanza kw, hadi nikatolea usawa wa bahari. Nikailuta meli ikiendelea kuteketea kwa moto mkali, nikatazama sehemu nilipo waacha Amina na wezake ila sikuzioa gari mbili zilizo kua zimewabeba. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Wasiwasi wangu, ukawa juu ya Phidaya, ikanilazimu kuogelea kuelekea ukingoni mwa bahari. Kitendo cha kufika ukingoni mwa bahari, kundi la watu si chini ya saba, wamesimama mbele yangu huku wakiwa na bunduki mikononi mwao. Nikajikuta nikiishiwa ujanja nisijue nini nifanye "Toka nje ya maji" Jamaa aliye valia kilemba kichwani mwake aliniamrisha niweze kufamya alicho agiza. Nikawatazama vizuri, nikagundua hawa ni miongoni mwa wale wali mteka mke wangu Phidaya. Nikatoka huku mwili wangu wote ukiwa umelow…