SORRY MADAM (102)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (102)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILI ILIPOISHIA... Kumbukumbu za wanakijiji walio vamiwa na John, na kuuliwa watoto wao kikatili, wasio na hatia yoyote. Ikapita kichwani mwangu kwa haraka, nikajikuta nikomuonea huruma binti huyu ambaye hastahili kifo kwa wakati huu. uzuri wa binti huyu, kidogo unaendana na Phdaya wangu, Macho yake, pua yake, midomo yake ni kama Phidaya. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikawa katika dimbwi zito la kumtathimi binti huyu, nikastukia kuona mtu aliye valia sutlruali ya jeshi, akiingia ndanj ya chumba hichi, huku akimfokea binti huyu, akimuuliza mbona anachelewa kutoka. Nikafyatua risasi kadhaa kwa jamaa, huyu na akaanguka chini. Binti akajribu kuchukua bunduki yake, ila nikawahi kujirusha na kuisukumia pembeni. Jamaa waliopo sebleni, wakaanza kufyatua risasi nyingi katika chumba tulichopo. Nikamnyanyua binti huyu aliye chamganyikiwa na kumsukumiza kwenye ukuta usio pitisha risasi. Ni…