SORRY MADAM (106)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (106)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA ILIPOISHIA... "Nakupenda mume wangu" "Nawapenda wote" Tukaendelea kukumbatiana kwa furaha. "Eddy muda" Shamsa alininong'oneza baada ya kuona tunakumbatiana sana. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Tukanyanyuka, nikambeba Junio wangu ambaye kwa sasa anatarajia kufikisha umri wa miaka mitano. "Nitakufanyia sherehe kubwa siku ya kuzaliwa kwako" Nilimuambua Junio, huku tukielekea kwenye ofisi kukamilisha taratibu zote za kuwachukua Phidaya na mwanangu, na kuwa mikononi mwangu. "Kweli baba" "Ndio unataka ifanyikie wapi?" "Mama kule kwa kina yule mchezaji uliye ninunulia mpira wenye jina lake ni wapi?" " Brazil " "Ndio, dady nataka huko huko na mimi nikawe mchezaji mpira" "Usijali mwanangu, unaweza kucheza mpira?" "Ndio baba nataka niwe kama Ronaldo " "Sawa mwanangu utakuwa, tena kabl…