SORRY MADAM (109)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (109)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA NA TISA ILIPOISHIA... Nikamfwata Phidaya alipo, akanionyesha video aliyo rekodi, goli lililo pita katikati ya miguu yangu "Mwanao amekupiga tobo" "Huyu mtoto, ananguvu za miguu kama hadi ananiogopesha, skija golini" "Ndio hivyo tumepata mchezaji, mzuri tusubirie atakaye kuja sijui atakuwaje" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Huyo naomba awe wa kike" "Kweli ehee" "Au wewe unataka aweje?" "Vyovyote Mungu atakavyo tubariki, nenda uwanjani wamesha rudi na mpira" Mechi ikaendelea huku mipira mingi ikielekezewa golini kwetu, baada ya wachezaji wangu kuchoka sana. Ikanikazimu mara kadhaa nikaiokote mipira inayotoka nje ya goli letu. Mpira mmoja ukapigwa na mchezaji wa timu ya Junio, ukaenda mbali kidogo. Nikaanza kuukimbiza kwa bahati mbaya ukagonga glasi mbili za juisi zilizo wekwa kwenye kijimkeja, huku pembeni yake akiwa amela…