SORRY MADAM (111)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (111)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... "Lile ndio gari lako?" "Ndio twende tukapande" Prety akanishika mkono hadi kwenye kagari hako. Akanifungulia mlango nikaingia, kisha yeye naye akaingia. 'Mungu wangu hiki kikipata ajali hatutoki humu' NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilijisemea kimoyo moyo. "Unakwenda wapi?" Nikamtajia hoteli ninayo kwenda, akaonekana kufurahi. "Mimi ninakaa hoteli ile ya pili yake. Nina mwaka sasa ninaishi pale" "Una kazi gani inayo kufanya ukae pale kwa kipindi chote hicho?" "Ohoo mimi ni mtaalamu wa mambo ya mtandao, chochote unacho hitaji kwenye mtandao ninaweza kukutafutia" Prety ni muongeaji sana, kiasi kwamba nikajikuta nikiwa ninamshangaa. "Kabla hatujafika kwako, twende ukapaone kwangu kisha ndio uende kwako" "Kwa nini?" "We twende tu" Nikaanza kumtilia mashaka huyu Prety, isije ak…