SORRY MADAM (112)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (112)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... "Karibuni mabibi na mabwana kwenye mnada wetu wa uzinduzi wa gari ambalo nilakipekee" Sauti ya dada huyo ilizungumza huku picha ya gari hilo kikionyeshwa kwenye Tv kubwa, iliyopo mbelw yetu. "Hili gari, sifa ya kwanza haliingii risasi, hwala likipigwa bomu halilipuki" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Si mimi tu niliye guna, bali hata wapembeni yangu aliguna. "Gari hii niyakisasa, kwani unaweza kuigeuza na kuwa katika muundo wa ndege, na likapaa angani kwa umbali wa mile nne kwenda juu." "Mmmmm" Na spidi yake likiwa angani linakwenda kwa mwendo kasi kama wa ndege za jeshi Jet " Mwanadada huyo aliendelea kutupa sifa za gari hilo lililo zidi kutushangaza sote tuliopo ndani ya ukumbi huu. Kila alicho tueleza ndicho kilicho kuwa kikionyeshwa kwenye tv hiyo kubwa, jinsi gari hilo linavyo fanya kazi. Kusema ukweli lilinivutia,…