SORRY MADAM (113)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (113)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Maelezo ya Pretty yalijitosheleza vizuri hadi kuyaelewa. "Umechukua hatua gani juu ya hizu video?" "Sijafanya lolote kutokana sijui lakufanya juu ya hizo video" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Alafu John anafunga lini ndoa yake" "Zimebaki siku kama tatu" "Ahaaa" "Kuna kazi nitahitaji unisaidie" "Kazi gani" "Nitakuambia" *** Mchana mida ya saa saba, nikampigia simu John, akaniambia nimtembelee kwenye chumba chao wanapo ishi na mke wake. Kutokana chumba chao kinatazamana na chumba cha Pretty nikamuomba Pretty kwenda naye. Tukagonga kwenye mlango wao, Sheila akatufungulia, akafurahi sana kutuona. Akakumbatiana na Pretty. Tukaingia ndani na kumkuta John akiwa sebleni akitazama katuni. "Ohooo karibuni sana wapendwa" John alitukaribisha huku akiwa na furaha sana. "Asante kaka"…