SORRY MADAM (114)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (114)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Sheila akashindwa kustahimili kusimama, akadondoka chini na kutulia akazidi kumchanganya John, aliye livua koti lake kwa kuchanganyikiwa. John amampokonya kipaza sauti mchungaaji "Wewe mshenzi uloye ziweka hizi video zitoe kabla sinakuua" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... John alizungumza huku mishipa ya shingo ikiwa imemsimama, huku jasho jingi likimwagima kama maji. Video zikabadilika na kuionyesha sura yangu, halisi, huku chini kukiwa na maandishi makubwa R.I.P EDDY, ikaja picha ya Victori, akiwa na John. Huku maandishi yakiandikwa R.I.P VICTORIA. John akabaki akiwa ameitumbulia macho tv hiyo. Akaifwata Tv na kuinyanyua, akaibamiza chini. Gafla taa zote za kanisani zikazima, huku kagiza kwa mbali kakitanda ndani ya kanisa. Watu wakaanza kuchanganyikiwà mara baada ya moshi mkali, wa mabomo ya machozi kuanza kutapakaa ndani ya kanisa. Nakuzidi kumchang…