SORRY MADAM (115)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (115)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Huku mkono wake mwengine akiwa ameshika bomu lakutega. "Pretty...!!!" Sheila aliita huku akimshangaa, Ptetty aliye simama mbele yao. "Haya wewe kidume kizima kujikojolea humu ndani ni nini?" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Pretty aliuliza, huku akiwa na anamcheka John . "Hawezi kukujibu, sasa hivi" "Hahaa, haki ya Mungu kumbe ubane wa bure" "John rafiki yangu, Sheila mke wangu wa zamani niwaulize kitu" Sheila akajibu kwa kutingisha kichwa akiashiria niulize tu. "Munapenda niwakate kate, kate vipande vigogo vidogo kama nyana. Au mufe kwa bomu hili, litakalo wachangua vipande vidogo vidogo" Sheila badala ya kujibu, akaangua kilio likubwa kilichonifanya nimtandike ngumi nzito ya shavu, hadi taya ikapinda, huku meno baadhi yakianguka chini. "Ahaaaaa fu**" John alijikuta akitukana kwa kitendo nilicho mfan…