SORRY MADAM (56)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (56)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI NA SITA ILIPOISHIA... Nikamtazama machoni kwa macho ya dharau,kisha nikaupitisha katikati ya miguu yangu na akabaki akinitazama, Nikaizungusha miguu yangu na kuusababisha mkono kutoa mlio wa kuvunjika mifupa iliyopo kwenye mkono wake. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Dericka akaendelea kulia huku akigaragara chini.Nikaibaeba sahani yenye vidole hadi jikoni,nikaweka kikaangio kwenye jiko la gesi na kuliwasha,nikamimina mafuta mengi ya kula kisha nikavidumbukiza vidole vyote kwenye kikaangio na kuongeza moto ili viive haraka na kurusi sebleni. Sheila akanitazama huku machozi yakimwagika,Mlio wa simu kutoka kweney mfuko wa suruali ya Derick ukaanza kusikika.Nikaitoa simu yake ikiita na kukuta ni madam Mery ndio anapiga simu kwani imeandikwa ‘wife’ na pembeni kuna picha yake.Nikamtazama Sheila na kumfwata,nikamshika nywele za kichwa chake “Sikia wewe Malaya,zungumza na huyu mjinga mwenzako.J…