SORRY MADAM (57)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (57)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA HAMSINI NA SABA ILIPOISHIA... “Hii roho ya kikatili umeitoa wapi?” “Kwenye kazi zangu huwa sihitaji kuingiliwa,Ondoka kabla sijafanya maamuzi mabaya kwako” “Eddy,mimi ndio nilikuwa ninakupunguza hasira zako.Hakuna mwanamke ambaye aliweza kufanya hivyo kama si mimi au mama yako” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Mama anakutaka uende nyumbani,amekutafuta kwa kipindi pasipo mafanikio yoyote.Nakuomba twende sote kwa mama leo” Nikayatazama macho ya Sheila na kuyaona yanamaanisha kitu anacho kizungumza. “Rudi ndani?” “Unataka kuufanya nini huo mwili?” “Rudi ndani usiniulize chochote” Sheila taratibu akasogea pembeni yangu.Pasipo kuwa na haruma nikaanza kuucharanga kwa kishoka mwili wa Derick,Nikaufanya mwili wa Derick kuwa katika vipande vipande.Nikaliwasha jiko kubwa lenye visahani vinne vya kupikia.Nikaviingiza vipande vya mwili wa Derick. “MUNGU ninaomba unisamehe katika hili” Niliomba sala ya msamaha kwa…