SORRY MADAM (60)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi : Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SITINI ILIPOISHIA... “Eddy,japo mimi ni katili ila wewe umezidi” “ Manka naomba hiyo mada uiache” “Eddy hata kama.Mwili wa binadamu mwenzako unaukausha kama nyama nya ng’ombe” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikaanza kumuadisia Manka kuanzia mwanzo wa ugomvi kati yangu mimi na Derick .Hadi ninamaliza kumuadisia Manka akabaki kimya.Tukakaa nyumbani wa Madam Mery hadi mida ya saa moja waote wanne tukapata chakula cha usiku kilicho pikwa na Manka japo Madam Mery anapata tabu sana ya kula.Mimi na John tukaondoka na kwenda shule nikiliacha gari la kwa Madam Mery. “ Leo kuna welcome form five ” Kawaida kwenye shule yetu kila wanafunzi wa kidato cha tano wanapo jiunga na shule yetu huwa hufanyiwa sherehe wiki tatu baada ya kujiunga na shule.Wezangu ambao nilipotezana nao kwa kipindi kidogo wakaonekana kunifurahia.Mida ya saa mbili tukaingia ukumbini huku nikiwa nimevaa swete lenye kofia.Tuliongozana wanafun…