SORRY MADAM (61)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SITINI NA MOJA ILIPOISHIA... “Yangu ni hayo kaka” Nikamchagua mwengine na akasimama “Kaka Eddy kwa niaba ya wezangu,kwanza tunakuomba urudi shule.Pili tunakuteua kuwa kaka mkuu wa shule kuanzi sasa hivi” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Ukumbi mzima ukanyanyuka kwa furaha,Sikuamini na ukorofi wangu wote kama ipo siku nitakuja kukubalika shule nzima.Mwalimu wa nizamu akabaki kimya asijue nini cha kuzungumza “Jamani asanyti kwa uchaguzi wenu.Ila swali langu ni Je nitaruhusiwa kurudi shule?” “Ndiiooooo” Lengo la swali langu,alijibu mwalimu wa nazamu ila nikashangaa wakijibu wanafunzi wezangu.Nikamgeukia mwalimu wa nazamu akabaki akiduwaa “Ndio....ndio....ndio.....ndio” Wanafunzi wezangu walipiga kelele za ‘NDIO’.Mwalimu wa nizamu akakubali kwa kunijibu Ndio “Ila siku utakayo rudi uje na mzazi wako” “Sawa” Ratiba nzima ikavunjika,kama kaka mkuu mpya wa shule nikamuomba DJ kufungulia mziki na wanafunzi wakaa…