SORRY MADAM (65)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SITINI NA TANO ILIPOISHIA... Sauti ya Mzee Godwin iliendelea kusikika kwenye simu akizungumza kwa sauti iliyo jaa dharau “Do you know, who will be the next to die?”(Je una unajua, ni nani atafwata kufa?) “Hhahaahaaaa is your Sheila, na leo nimepata tunda lake kwa mara nyingine tena, Yupo so mwaaaaaaaaaa”(Hhahaahaaaa ni Sheila wako, ........) NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Enjoy your day, mr Eddy”(Furahia siku yako, bwana Eddy) Simu ikakatwa, nikashindwa kuyazuia machozi yangu, kwa mara nyingine Mzee Godwin anawateka watu wangu wa karibu. Dorecy akanishika mkono na kunikalisha kwenye sofa, hasira taratibu ikaanza kupanda na kujikuta mwili wangu wote, ukianza kunitete, Dorecy akanitazama kwenye macho yangu.Mlango wa kuingilia ndani ukafunguliwa na kujikuta nikichomoa bastola yangu na kumuelekezea mlinzi aliye fungua mlango “Ohooo, ni mimi kaka” Alizungumza huku akiinyanyua mikono yake juu, huku mko…