SORRY MADAM (81)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (81)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA ILIPOISHIA... Jasho halikuacha kunitiririka japo kuwa ndani ya chumba hichi kuna baridi nzuri yajutosha, jamaa akamuomba mtu wake azitume picha za gari na mwanamke hukyo makao makuu ya polisi kupitia mtandao(internet), ili kuzidi kuwarahisishia kazi askari polisi NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “eddy usiwe na wasiwasi, kama tukio limefanyika kwenye hoteli hii basi, muhalifu aliye mteka mke wako atapatika tu” “ila mke wangu atakuwa amesha fariki” Nilizungumza huku machozi yakinilenga lenga, twasira za sura ya mke wangu masaa machache ya nyuma yaliyo pita zikaanza kunisumbua kichwani mwangu, nikajikuta nikianza kujilaamu nikwanini nilitoka chumbani kwangu na kumuacha phidaya wangu akiwa amelala peke yake, jamaa akasogea pembeni na kuzungumza na simu, sikujua anazungumza na nani, baada ya muda akarudi tulipo “eddy nilikuwa nikizungumza na baba yako, na yupo njiani anakuja” “baba ya…