SORRY MADAM (95)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (95)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA TANO ILIPOISHIA... "Eddy kwa nini, hukua mkweli kwangu, kwa nini uliamua kuzaa na mwanamke mwengine wakati unatambua mimi nipo?" Sheila alizungumza huku akiwa ameishika simu yangu, na kunisogezea karibu na uso wangu ili nimuone mtoto huyo, ambaye kila kitu amefanana na mimi. Hata mama akimuona hata kua na haja ya kuuliza huyu ni mtoto wa nani. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikaikwapua simu yangu, kutoka mkononi mwa Sheila, na kukaa kitandani huku nikiendelea kumtazama mwanangu huyu mwenye mvuto wa kila aina. "Eddy, ni kosa gani nilikufanyia lakini, hadi ukaamua kunisaliti ehee?" "Au kwasababu mimi ni muafrika, ukaona ukazad na huyo muarabu?" "Au sikua mwanamke sahahi kwenye maisha yako si ndio?" Sheila alizungumza huku akiendelea kulia kwa uchungu, huku akinitazama usoni mwangu. Kwa upande mmoja, nifaraja kumuona mwanangu japo kwa picha ila kwa u…