SORRY MADAM (98)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA NANE ILIPOISHIA... "Vipi Eddy mbona kama una wasiwasi?" "Kaka nina matatizo makubwa sana" Nikanza kumuadisia Smith, tukio moja baada ya jengine, sikumficha kitu cha aina yoyote. "Eddy nakuahidi hakuna kitakacho haribika, nitakusaidia kaka yangu" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Pesa yote hiyo utaitoa wapi Smith, wakati bado upo Tanzania ?" "Njoo uone" Tukaingia ña Smith kwenye moja ya chumba, ambapo tukakuta Mtu anaye fanana na mimi kila kitu. "Huyu nane ni nani?" "Tumemtafuta mtu wa kufanana na wewe, ili aweze kurekebisha baadhi ya vipande, tulijaribu kukupigia simu ila hatukukupata" Hapa ndipo nilipo amini duniani watu ni wawili wawili, Jamaa hadi kuzungumza anafanana na mimi. "Umaitwa nani?" "Fred" "Duuu jamaa anafanana na mimi" Nilizungumza huku nikiwa ninacheka kwani sikuamini kukutana na mtu…