SORRY MADAM (99)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA TISA ILIPOISHIA... "Na huku mgongoni umefanyaje?" Manka akanitandika swali jengine, nikiwa naingia mlango wa bafuni. Nikaingia haraka haraka kuepuka kujibu, hata hamu ya kuoga ikaanza kuniishia. 'Nikimueleza ukweli, nitaharibu kila kitu' NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... 'Sasa leo nitamuepuka vipi huyu Manka?' 'Kwenye jina, nahisi nimevuruga, au sio Manka?' 'Ndio yeye bwana, isije nao wakawa wawili kama mimi na Fredy?' Niliendelea kujiuliza maswali, mengi pasipo kujipatia jibu. Huku maji ya bomba la mvua yakiendelea kushuka mwilini mwangu, yakiitotesha boksa yangu ninayo ogopa kuivua. "Yameanza lini kuoga na boksa?" Sauti ya Manka, ikazidi kumistua, kwani hata alivyo ingia humu bafuni sikuweza kumsikia, kutokana na msongo mkubwa wa mawazo. "Eheee" "Fredy, mbona leo sikuewi. Nimekuuliza maswali yangu, hukanijibu nakuja huku naku…