Notifications
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…

MAHABA NIUE (40)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA AROBAINI
ILIPOISHIA...
Yalikua ni maongezi ya maaskari hao wakiwa ndani ya deffender yao, kweli walifanya kazi iyo kwa hali ya umakini wa juu sana kutokana na vitisho walivyo pewa kutoka ngazi za juu,
na kufanya waanze kuhaha kupita kiasi, huku nyuma kukiwa kuna deffender nyingine kweli ulikuwa msako wa kutisha sana ambapo nyuma ya msako huo kulikua na mkono mkubwa kutoka serikalini ,

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Nyuma ya gari hilo ili fuatiwa na gari ya kway akiwemo LOydah na Joylah.

gari zote zili simama pembeni ya kituo cha tandale kwa tumbo, na mmoja wa maskari kushuka na kifaa kidogo mithili ya simu, ambacho kilianza kumuongoza simu waliyokua wakiitafuta ilipo,

waliamini kuwa waki mpata huyo mtu wata jua kivyovyote vile Ramsey alipo. hayo ndiyo yalikua mawazo yao katika kila kichwa cha askari,
"oyaa mkush! umeona pila lile,"?
aliongea mmoja wa mateja huku akimwambia mwenzake, huku akiji kuna kuna mkono wake juu ya mshipa wa damu, walikua wamekaa juu ya magogo ya mti huku wakiwa wana vuta bangi.
.
"alafu jamaa ana kuja hii site yetuuuu, tuinue kisha nuu... kisha nuka, mi natoa nduki"

kweli baada ya askari yule kutaka kukaribia , wote walisambaratika na kuanza kukimbia huku na kule waki tawanyika kama kuku au vifaranga vilivyoona mwenye, kila mtu alikimbia kivyake, alipoona pana mfaa,

ila kwa askari yule alikuwa akimkimbiza mmoja tu kati ya wale, alivyo ruka ukuta na askari yule aliruka ukuta na kuanza kumkimbiza sambamba hakutaka kumkosa hata kidtogo!
, katika kitendo cha kushangaza alimuona teja yule ana vuka bara bara na kugongwa na basi kubwa lililokua lina toka kasi sana,

bila kujali alikimbia mpaka pale huku watu wakizidi kuku sanyika maeneo yale, moja kwa moja aligusa mapigo ya moyo ya teja yule na kugusa mshipa wake wa mkononi. na kuona hakuna kina choendelea
"vipi afande?"
"jamaa , kadanja"
"sasa ita kuaje?"
"nashindwa kuelewa"

tayari teja yule aliku fa pale pale na kufanya maskari wale wazidi kuchanganyikiwa, walichukua ile simu waliyo kuwa wakiita futa na kuondoka nayo, habari zile zina zidi kuwa umiza kichwa Loydah na Kway hawa kuelewa ni wapi watampata Ramsey, kila mtu alibaki akiwaza sana.

*****

Tangazo la kupotea kwa RAmsey lina zidi kumchanganya Mr, Mwasha akiwa ofisini kwake jioni hiyo, alichukua bastola yake na kuikoki kwa nia moja tu, kumpiga risasi RAmsey ili amuuwe na kumtupa baharini ili

kupoteza usha hidi pia alitaka amuuwe na jOsephine ili kupoteza usha hidi, kweli alijua kesi ile ita kua ya moto sana, sababu ya watu wazito kuuingilia kati,

hakuwa na lingine zaidi ya kuwaza kuwauwa Ramsey na JOsephine mke wake akiamini kuwa kufanya jambo lile ataishi kwa amani sana rohoni, aliingia ndani ya gari haraka haraka na vijana wake, na safari moja tu kuanza, kumfata Ramsey ili akamuuwe na wala si vinginevyo.

kweli roho ya ukatili ilimuimgia na kutaka kuuwa, alikimbiza gari kupita kiasi na tayari kufika nyumbani kwake na kutoa bastola, ila cha kushangaza alivyoingia stoo hakumkuta RAmsey wala Josephine ndani.

"Dully vipi?"
"aah sielewi, shemeji kani piga na chuma, sikuelewa kinachoendelea"
"shiit"

Mwasha alionekana kuchanganyikiwa sana, aliiingia ndani ya gari kulitoa nje kama mwenda wazimu, akiwa bara barani kwa mbali anaona jopo la watu hakuelewa nini kime tokea,ila alichoelewa yeye kulikua kuna ajali, alisimamisha gari na kuanza kupepesa macho

*******

"Gebo una taka kufanya nini?"
"kusepa Raymond, nisha ua. mi naamsha!"
"si una jua ume gonga mtu tayari?"
"kwaio tubaki au"?
"sio tubaki, kuwa muungwana broo, ina bidi tumpeleke hospitali, hata kama ame kufa,!"
"hapana, mi nawahi kwenye harusi uki taka shuka, mi nasepa,yaani hapa tuki shuka tuna kufa"

yalikua ni maongezi ya watu wawili ndani ya gari hiyo aina ya NIssan Murano, watu hao walionekan kama wana wahi sehemu au wana enda kwenye harusi usiku huo, sababu walikua wame vaa suti nyeusi na kunyonga tai shingoni,
zilizo wakaba vizuri kooni

"kaka Gabriel, naomba tuka msaidie, sio kitu kizuri"

sauti ya kike ili sikika kutoka kiti cha nyuma ya gari hilo, kwa haraka haraka, walikua ni ndugu wa damu, sababu walikua waki fanana, wote watatu hata unge bahatika kuwaona, usinge bisha kwa lolote lile.
"nawewe Florence una taka tushuke"?
"ndio, just imagine, mimi ndo nime gongwa mdogo wako, alafu mtu aliye nigonga ana kimbia,. unge furahi kaka"?
"sikieni, nyie shukeni, mi nawahi kwenye harusi, SWAI kasha piga simu mara kibao, ana uliza tume fika wapi, alafu na nyie mna taka kuni changanya nyie shukeni, mi naamsha"
aliongea Gabriel alionekana yeye ni mkubwa kuliko wote, ivyo alifoka huku akipiga piga usukani,
kwa hasira.

kitendo cha kumgeuka vile mdogo wake, Raymond ambae alikua siti ya mbele kushoto alichomoa funguo za gari na gari kuzima baada ya kuona hawa elewani, jopo la watu lilianza kuzunguka gari lile na kuanza kulizonga huku wengine wakianza kugonga gonga vioo vya gari hilo.

kwa ujasiri wa ajabu, Raymond alishuka na kuanza kuwa tuliza huku akiomba wamsaidie kumpakiza mtu waliye mgonga mara moja, kweli kitendo kile kili fanyika mara moja huku Ramsey akiwa anavuja damu nyingi sana kupita kiasi.

"huyu sidhani kama ata fika hospitali"

aliongea mmoja wa wasamaria kati ya wengine ishirini, kila mtu alitamani kumuona RAmsey kama unavyo jua wabongo! hawa kubali kuadithiwa, matumaini ya kupona kwa Ramsey hakuna hata mmoja alidhani, kila mtu hakufikiri kama Ramsey ange pona .
alikua kama nyama, uso wake haukujulikana tena hata kidogo, sababu alilowa damu nyingi sana, huku nyingine zikiwa zina mtoka puani na mdomoni, hakika haikuwa picha nzuri machoni mwa watu!

"sogea niendeshe, kaa kushoto Gabriel"

alifoka RAymond huku akilegeza tai yake iliyo kua shingoni, alipakiwa ndani ya gari na watu wengine watatu kuingia wakiwa kama wasaidizi,

kwa kasi ya ajabu sana huku taa za mbele zikiwa FULL huku honi iki pigwa kwa fujo, kitendo kile kilia shiria kuwa gari hiyo ina dharura, bahati nzuri magari yalikua yakiwa pisha bara barani na kumfanya Raymond Masue azidi kutoa kasi, ili awaishe maisha ya Ramsey ambae alikua hamfahamu,

ila aliamini kuwa ata pata baraka kutoka kwa Mungu, hiko ndicho alicho funzwa kutoka kwa MAMA yake mzazi kuwa siku zote awe na moyo wa huruma na kuwa saidia wengine hasa wakiwa na shida, ndo ndilo alilo lishika kichwani.

alizidi kutoa kasi, na kufanya ndani ya dakika ishirini kufika hospitali . walishuka haraka haraka na kumshusha RAmsey, kila muuguzi alibaki kushika mdomo baada ya kumuona RAmsey akiwa ameshushwa ndani ya gari, walimvamia na kumuweka juu ya machela,
na kuanza kuitembeza machela ile,

"huyu vipi,?kagongwa na gari?"
alihoji nesi mmoja huku akimuangalia RAymond
"ndio"
"gari gani"?
"lile tuli lokuja nalo"
"haiwezekani hata kidogo"

Kweli jambo lile lilizidi kuwa shangaza wauguzi wale, ambao walioinekana kuwa na haraka huku wakiikimbiza machela ile aliyo lala Ramsey, pengine walihani aligongwa na LOri kubwa la matera au mafuta

RAmsey kwa wakati huo alikua haelewi nini kina endelea chini ya jua, hakuelewa alipo,
kila mtu hakuweka matumaini kuwa RAmsey angepona, sio wauguzi hata watu waliomleta ila jambo hilo walimuachia Mungu, Florence Masue,
aliji kuta analia kwa uchungu, alilia machozi japo hakuelewa kwanini analia, japo alikua mtoto mdogo wa miaka kumi na mbili, ila alijua fika kwamba mtu aliye gongwa na kaka yake aliikua katika maumivu makali sana ambayo yasiyo ya kawaida!

*******

"Mimi nadhani, mkatafute, huo mwili MONCHWARI , kwa sababu gani ujue, kuna ajali zili tokea hapa kati kati, ndo maana na waambia ivyo, jaribuni kumtafuta mahospitali mbali mbali, huku sisi tukiendelea kufanya kazi yetu"

sauti ya upande wa pili kupitia simu ili sikikika, RPC MKumbo ndiye aliye towa wazo hilo baada ya kusumbuliwa sana na LOydah, dada yake na Ramsey.
"ina maana kwamba ata kua amekufa,?"
"sija sema ivyo mwanangu, ila nime kushauri"

LOydah alijikuta ana lia machozi tena, alikata simu huku akilia na kumta futa Kway, aliamini huyo ndiye ata kua msaada pekee, kweli alimpa taarifa zile na kupanga kesho yake asubuhi sana waonane ilii waanze kupita monchwari zote,

asubuhi ya kesho yake kuli kucha na kuaanza kila hospitali kuulizia, walizunguka hospitali zote na mwisho kufika hospitali ya AMANA , Kway aliingia chumba hiko maalumu kwa ajili ya kuifadhia maiti, huku pembeni akiwa na daktari

wakiwa wana fungua mafriji ya maiti za watu, kweli aliji vika roho ya ukatili, kitendo cha kuangalia maiti hakikuwa cha kawaida kiliiihitaji moyo sana wala si vinginevyo, hakuwa na jinsi alichotaka yeye ni kujua jambo moja tu kupata uhakika kama rafiki yake RAmsey kweli alifariki dunia,

mafriji yalizidi kuvutwa huku LOydah akiwa nje , hakuthubutu kuingia hata mara moja,
sababu aliogopa sana.

Macho ya kway yalitua juu ya maiti moja, baada ya friji hilo kuvutwa, alihisi ana ishiwa nguvu hakuamini mtu aliye muona ndani ya jokofu lile, nguvu zili muishia na kutamani kutoa chozi, ila alijikuta akiji kaza kiume, moyo ulimuuma sana alihisi ume pigwa na ganzi ya ajabu kupita maelezo,

"ndo huyu"?

DAktari yule alimuuliza Kway, ila hakutoa jibu kutokana na kuishiwa nguvu hata alivyotaka kujibu alihisi mdomo ume pigwa na ganzi,



Tamaa za mali zili zidi kuusonga ndani ya ubongo wake, hakujua hali hiyo ili toka wapi, lakini tayari shetani alimuingia prosper na kuwaza kitu kimoja tu auze shamba ya Ramsey pamoja na duka lake alita ifishe au ikiwezakana aliuze kabisa, akimbie mbali, alitamani muda wowote asikie Ramsey ame fariki dunia, au hata akijua alipo aende akammalize kabisa,

siku iyo akiwa kitandani kwake amelala aliwaza sana juu ya mali za rafiki yake huyo, hasa alijua kivyovyote vile

shamba la Ramsey ili kua siri sana ambayo walijua watu wawili tu,yeye na ramsey, hivyo hali iyo haikumuumiza sana kichwa hata akiliuza hakuna atakae jua, kutokana na uwaminifu wa RAmsey juu yake aliji kuta ana muonesha hati zote zilipo, alimuamini sana rafiki yake prosper kuliko mtu yoyote yule duniani, hakuwaza hata siku moja Prosper atakuja kumgeuka,

hakuna kitu chochote cha RAmsey ambacho alikua hakijui, alikua ni zaidi ya rafiiki kwake pengine ni zaidi ya ndugu lakini leo hii hakuelewa kwanini ana waza yote hayo.

"potelea mbali nauza kila kitu nasepa, au ikiwezekana nimuuwe kabisa!"
aliwaza Prosper huku akiji funika na kugeuka upande wa pili hakika alisahau fadhila zote ambazo alifanyiwa na RAmsey , hayo ndiyo mawazo ambayo yalikua yakimtesa siku chache zilizopita.

****

Kway hakuamini alicho kiona ndani ya friji lile ili kua ni maiti ambayo ili umia vibaya sana, ili tolewa macho yote mawili na kubaki fuvu, kwa haraka haraka maiti hiyo ili kua imechomwa moto,
na kukauka kama mti

Kway bila kuuliza tena chochote ili bidi atoke nje mbio mbio, hakutaka tena kuendelea kubaki mule ndani, kweli alionekana kuogopa sana kupita kiasi ,

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
41 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni