MAHABA NIUE (47)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA AROBAINI NA SABA
ILIPOISHIA...
Waliingia ndani na kuoga wote na kula chakula cha usiku, Leila alianza uchokozi wake na kweli kutaka kupewa penzi la Ramsey hakika alimuona Ramsey ni kila kitu kwake, hakuwahi kuwaza kumchoka hata siku moja iliyoenda Mungu! Kweli Ramsey alikua ndiye mwana ume ana ye mkata kiu yake kupita wana ume wote aliowahi kutembea nao huko awali! Hilo alikiri.
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
Aliaanza kumpapasa kifuani na kushika chuchu za Ramsey na kuanza kuzinyonya huku mkono wake mmoja ukiwa unachuwa chuwa SWITCH ya Ramsey na kufanya ipate moto na kusimama, alishuka chini taratibu na kuanza kuinyonya KONI ya Ramsey huku akiwa na mate mengi sana mdomoni Ramsey alivyo taka kuinuka Leila alimtuliza chini,
“leo niachie mimi uwanja”
Alizungumza Leila huku akiendelea na kibarua kile ambapo aiingiza KOMBOLA hilo mdomoni na kuanza kulamba taratibu sana huku mara nyingine akishika shika GOROLI za Ramsey taratibu hakika siku iyo alimpania sana, alichukua Rimoti na kuwasha tv ya chumbani humo na kuweka CD moja ya X ya wana wake wa kijamaica alimuona mwana mke huyo kwenye tv akinyonya KOMBOLA la mwana ume aliye shiba nayeye kufanya ivyo ivyo kwa Ramsey,
Alienda sawa sawa na dada huyo.
“kwaio leo una kopi na kupesti”?
Aliuliza Ramsey baaada ya kuona Leila ana iga miondoko ile kwenye tv
“ndio SAM, tulia tuli”
Kila kilicho fanywa kwenye tv ndivyo Docta Leila alifanya vivyo ivyo, mpaka waana nza mechi, hakika aliji sikia Raha sana.
Kulivyo kucha asubuhi Leila alimuacha Ramsey kitandani nayeye kwenda hospitali ambapo aliapia kutafuta vidonge vya BRAIN CLOTTER ambavyo vina uwezo wa kuzuia mtu asiweze kukumbuka vitu haraka sana, na hata kupelekea asikumbuke kila kitu, vidonge ivyo baada ya kufanyiwa uta fiti vilizuiwa
visiuzwe ila Dokta Leila aliviiba kwa lengo moja tu kumpa Ramsey ili asiweze kuku mbuka kitu chochote kile aliamini kuwa akifanya vile na kumpa vidonge vile kila siku, angepelekea Ramsey asikumbuke kitu chochote kile, alichukua vidonge mia moja na kuvieweka vizuri ndani ya pochi yake,
Alikua mwenye furaha sana siku hiyo, baadae ilivyo fika jioni muda wa kutoka hospitali alitoka na kurejea nyumbani, ila alianza kupata wasiwasi hasa baada ya kuingia nyumbani kwake na kuto mkuta Ramsey nyumbani, alizunguka kila sehemu na kumkossa. Hakuelewa alikua wapi, sababu alikua ni mgeni ndani ya mkoa huo wa Morogoro.
“Sam. SAM.”
Aliita biila kuji biwa.
SABRINA akiwa tayari kasha fika morogoro aliapia kweli amfuate Ramsey ili ajue ukweli kuwa ni yeye, haku taka kuli fumbia jambo lile ,macho, alianza kupeleleza chini kwa chini , ambapo alipewa jibu na moja wa madakatari anaye fanya kazi na Leila.
“ndio Yule mgonjwa aliletwa na watu hapa., alipoteza kumbukumbu zote, Leila akamchukua ila sasa mwenzangu kamfanya ndo awala ake”
“hao watu waliomleta ni akina nani”?
“walidai wali mkuta ndani ya gari lao la magodoro”
“alafu”?
“alafu kitu kingine, nime sikia tetesi kuwa dokta Leila anataka kufunga ndoa na Yule kaka, kampa mpaka jina Sam, “
“Mungu wangu”!
“kwani vipi dada?”
“noo hakuna kitu nashukuru DOKTA acha mi niende”
Sabrina alitoka haraka haraka na safari ya kuelekea kwa Leila kuanza aliamini kabisa hato mkuta Leila ivyo alienda kwa nia moja tu, kuonana na Ramsey , na kujaribu kitu chochote anacho weza ili kurudisha kumbu kumbu zake. Ali fika na kugonga mlango bahati nzuri a lifunguliwa na Ramsey, moyo ulimuenda mbio sana na kuanza kutetemeka kwa hofu
na kushindwa kuanzia wapi kuongea, alihisi mdomo ni mzito sana kuliko kawaida,
“Leila hayupo dada, labda uje baadae”
Aliongea Ramsey baada ya kumuona Sabrina haongei kitu.
“hapana sija mfuata Leila”
“ume mfuata nani”?
“wewe hapo”
“aya karibu ndani”
“noo sitaki tukae humu nataka tutoke kidogo nje na hapa nataka kuongea na wewe, vitu muhimu sana”
“haitowezakaa bila kumtaarifu Leila, isitoshe mimi huku sio mwenyeji”
“haina haja ya kumwambia Leila, mimi nitaongea nae, hatutochukua muda asana. Tafadhali nakuomba”
“ uwahi kuni rudisha, ngoja basi nikavae viatu”
Baada ya kuvaa viatu waliongozana na Sabrina , walikodi taxi na kuelekea sehemu ambayo hakika Ramsey hakuweza kuifahamu kulikua na miti miti mingi kiasi ambayo ili jipanga kwa namna yake, ilikuwa ni sehemu yenye upepo .,
“Ramsey, mimi ni Sabrina mpenzi wako”
“ndo ulicho niitia mimi sio Ramsey, mimi sio Yule muigizaji, mimi ni SAM”
“hapana wewe ni Ramsey,”
Sabrina alimshika mkono na kwenda nae mpka kwenye mti mkubwa sana na kukaa chini, alianza kumkumbusha zamani kidogo miaka ya nyuma walivyokua wakitoroka shule na kuja kukaa chini ya mti huo mkubwa, Sabrina alifungua pochi yake na kutoa picha nyingi tofauti walizokua wame piga na Ramsey.
“una ona hapa, tulivyo kua shule, hapa, nilivyo kua nina mimba yako, nilivyo taka kuitoa uka kataa nisiitoe hii mimba,. Angalia mkono wangu,nili pigwa na baba kwa ajili yako, ”
Ramsey alibaki kama amepigwa na bumbuazi akiwa bado haielewi nini kina endelea, hakika alikua kama ame changanyikiwa sana, hakuelewa nini kili tokea katika maisha yake. Na kubaki kumwangalia Sabrina bila kuongea chochote, hakika alionekana kuku mbuka kitu.
“Ramsey una alama mgongoni, uli nionesha kuwa baba yako, aliwahi kukupiga na mikanda, kisa alisema ulikula ada, na hio ada ulinipa mimi ili nika jifungue hospitali. Kumbuka Ramsey, ,”
Sabrina aliongea huku akifungua vifungo vya shati vya Ramsey kweli bada ya Ramsey kuangalia ana kutana na kovu lile kwenye kiuno chake nyuma.
“baba,! Mwaaasha”
“Mwasha ndo nani”?
“Usiniue Mwasha, Mwasha usiniue”
Alizungumza Ramsey huku akiangalia huku na kule akiwa na wasi wasi sana, kweli kumbbu kumbu zilianza kumrudia na mtu wa kwanza kumkumbuka ni Mwasha ambapo picha yake iki mpiga sana ili jijenga kichwani kwake.
“wewe ni Ramsey na sio Sam”
“Ramsey Ramsey”
“una tatooo mgongoni ya Simba hii hapa”
Kweli kila aliloongea Sabrina lilikua la kweli kwa Ramsey, alibaki akimtazama Sabrina kiumakini sana, na kutokuelewa bado nini kinaendelea.
“Mama nangaa eeeh! naneli motooo, mammaaaa nangaaa e naleli moto”
Sabrina alianzaa kuimba taratibu nyimbo hio ya Fally ipupa na OLIVIA huku akimshika Ramsey mashavu akijaribu kumbusha nyimbo aliyo kua akiipenda sana. Hakika ili kua ni kazi ngumu kwa Sabrina siku iyo
“Ramsey hii nyimbo ulikua unapenda sana kuniiimbia Ramsey, ya Fally ipupa, ulikua ukicheza kama Fally, come on Ramsey, RAUL RAUL WAKE UP, jina LA Raul nili kupa mimi sabrina”
Ramsey alitabasamu na kumtazama Sabrina huku akiwa kama ana taka kuongea na kushindwa kuongea.
“I like the way you listen to me”
Aliiimba kidogo Sabrina kipande cha mstari wa kwanza cha Olivia. Ila bado Ramsey hakuonesha hali yoyote ya kukumbuka kitu chochote kile, Sabrina alikata tama kabisa, na kugeukia upande wa pili akita fakari kitu kingine cha kufanya.
“sherii oyobokwi, izalela yutu elengi baki namakaleli elay Motema nangai… mama nangai naleli moto”
Sabrina aligeuka haraka baada ya kusikia Ramsey akiiijibu kiitikiio kile kutoka KWA Ramsey alifurahi sana na kumkombatia Ramsey.
“Ramsey”
“Sabri….na”
Sabrina alilia machozi ya furaha, hakika alifurahi sana kurudisha kumbu kumbu za Ramsey na kuji kuta an alia mwenyewe bila kuelewa kilicho mliza wakati huko, walibaki waki kombatiana huku wakilia wote wawili.
“nakupenda sana Ramsey”
“nakupenda pia Sabrina”
Sabrina alimvuta Ramsey na kuanza kumpiga denda kwa furaha sana, hakika alikua na furaha sana.
“SAM UNAFANYA NINI”?
Sauti hiyo ili sikika na kuwa fanya wote washtuke baada ya kumuona Dr, Leila nyuma yao, hawa kujua kafika fikaje mahali pale
Roho ya chuki na wivu vilifura ndani ya moyo wa Dokta Leila kitendo cha kuwashuhudia Ramsey na Sabrina wana pigana mabusu hakika kilimuuma sana. Bila kumsemesha Sabrina ali mfuata Ramsey na kumvuta mkono ila Ramsey alionesha hali ya kutokua tayari kuondoka eneo lile na kumuacha Sabrina mwana mke ambae alimpenda sana kupita kiasi na kurudiwa na kumbu kumbu, hakika hakuwa tayari kukubali swala lile,
“tuondoke Sam”
“twende wapi”?
“nyumbani”
“kwani hapa ndo unapoishi Sam, acha makusudi yako basi”
“kwanza mimi sio Sam, mimi ni Ramsey.”
“hapana wewe ni Sam. Twende nyumbani,”
Ramsey aligeuka na kumuangalia Sabrina ambae alimpa ishara kuwa aende tu na kila kitu kitaenda sawa, kweli Ramsey alisimama na kuongozana na Leila, ndani ya moyo wa Leila alihisi kuna kitu kina endelea na kujua teyari Ramsey kasha rejewa na kumbu kumbu ivyo asipo angalia ata mpoteza mazima
Ndani ya moyo wake hakutaka kumkosa Ramsey hilo ndo lili mfanya atake kumbukumbu zake zisirudi kabisa.
“ulijuaje kua nipo huku”?
“dereva texi alini ambia upo huku”
“Leila asante kwa kila kitu naona nime pona , naomba niende nili pokiua naishi”
“Sam hutaki tubaki wote”?
“hilo swala ni gumu kulijibu Leila”
Ndani ya gari ukimya uli tawala sana, mpaka walipo fika kwa Leila, Ramsey hakuonesha tena hamu ya kuwa na Leila mambo waliyo panga yote yali futika ndani ya akili yake na kumuwza mwana mke mmoja tu Sabrina, mkanda wa
filamu wa picha mbali mbali ulikua ukipita ndani ya ubongo wake , alikumbbuka mambo mengi sana waliyo kua wakifanya na Sabrina, hakika kumbu kumbu zili mrudia na kuwa kumbuka
watu wengi, alimkumbuka Prosper rafiki yake kipenzi na kutamani kurudi Dar ili aka onane nae na kuendela kupiga stori kama kawaida bila kujua kuwa Prosper yupo katika harakati za kuuza mali zake, angelijua hilo hakika asinge taka hata kumfikiria mtu huyo,ambae alipaswa kuwa adui wake mkubwa
“chukua dawa izi meza”
Alizungumza Docta Leila huku akiwa ameshika vidonge vya kumpoteza Ramsey kumbu kumbu zake, pembeni ya mkono wake wa kushoto alishika glass ya maji.
“dawa za nini izo”?
“hizi ni dawa nyingine nimetoa hospitali, zita kusaidia kurudisha hali yako vizuri kabisa”
Bila kujua vidonge vile ni hatari sana na vinge mpotezea tena kumbukumbu alivichukua na kuvimeza huku akinywa na maji aliyo pewa na Leila, baada ya muda mfupi kidogo ALijihisi hana nguvu na kulegea kabisa, na pale pale kulala huku dawa ile ikiendelea kufanya kazi, akiwa usingizini jasho jingi sana lilianza kumtoka kuashiria kuwa dawa zile zina nguvu sana kupita kiasi.
Aliendelea kumpa dawa izo za kupoteza kumbu kumbu siku mbili mfululizo bila kukoma akiamini kuwa kumbu kumbu zake hazitorudi tena, alipania sana hakutaka Ramsey arudi katika hali ya kawaida, mapenzi tele moyoni yalijaa juu ya Ramsey na kutotaka kumpoteza hata kwa sekunde moja.alikua yupo radhi hata kumpa dawa izo zote kwa siku moja ili mradi kumbu kumbu zake zisirudi,
Dawa zile zlikua na nguvu sana na kuanza kkumdhoofisha Ramsey na kumfanya aanze kuopooza mwili wakati mwingine alishindwa hata kuongea chochote.
Loydah tayari alifika Moro goro nyumbani kwa Sabrina, bila kuficha chochote kile Sabrina anamiuua kumuelezea kila kitu Loydah, na kuamua kuweka wazi swala lake juu ya mtoto aliyezaa na Ramsey, hakika hakukuwa na sababu ya kubisha kutokana na Loydah tangu awali alimuwekea mashaka Catherine mtoto wa sabrina.
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni