BABU UTAMU (10) Jina: BABU UTAMU Mwandishi: Pablo Hernandes SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... "Mmmh karibu tule wali kipenzi." Anna akatuma messeji na kumkaribisha chakula Emmanuel aliyeona kabisa mabadiliko wa messeji za mwanamke yule.Aliendelea kufurahishwa sana akafurahi mno.Akaona kabisa mtego alioutegea utanasa karibuni…. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Hakuwa tena na wasiwasi.Akamrudisha Anna messeji ya kumshukuru tu.Akafika anapoishi na kuzama katika chumba chake kisha akachukua maji ya kuoga na kuzama chooni. "Emmanuel funguaaa!" Wakati anaoga akasikia sauti.Alipoifikiria haikuwa nyingine zaidi ya Rozinta mwanamke aliyepagawa kabisa na yeye kwa utamu aliomuonjesha.Hakuwa na hiyana akaufungua ule mlango na kumruhusu mwanamke yule aliyeingia haraka akiwa na kanga moja tu. "Weee vipi?" Emman…