BABU UTAMU (10) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 17 Machi 2023

BABU UTAMU (10)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA...
"Mmmh karibu tule wali kipenzi." Anna akatuma messeji na kumkaribisha chakula Emmanuel aliyeona kabisa mabadiliko wa messeji za mwanamke yule.Aliendelea kufurahishwa sana akafurahi mno.Akaona kabisa mtego alioutegea utanasa karibuni….

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Hakuwa tena na wasiwasi.Akamrudisha Anna messeji ya kumshukuru tu.Akafika anapoishi na kuzama katika chumba chake kisha akachukua maji ya kuoga na kuzama chooni.

"Emmanuel funguaaa!" Wakati anaoga akasikia sauti.Alipoifikiria haikuwa nyingine zaidi ya Rozinta mwanamke aliyepagawa kabisa na yeye kwa utamu aliomuonjesha.Hakuwa na hiyana akaufungua ule mlango na kumruhusu mwanamke yule aliyeingia haraka akiwa na kanga moja tu.

"Weee vipi?" Emmanuel akamuuliza Rozinta kama vile alikuwa haelewi.Rozinta kabla ya kijibu akamsogelea karibu Emmanuel na Mkono wake ukasogea mpaka kwenye mtalimbo wa mwanaume yule na kuushika vyema.

"Kwani hauji nimefuata huyu."

"Rozinta sikia nikuambie wewe mke wa mtu utanisababishia matatizo jamani."

"Heeee….Mume wangu ameenda kuangalia mpira nipe basi hata kimoja jamani nakupenda usinifanyie hivyo pleasee….." Rozinta aliongea kwa huruma huku akiendelea kuuchua chua mtalimbo wa mwanaume yule.

"Leo iwe mwanzo na mwisho sitaki matatizo." Emmanuel akamwambia Rozinta ambaye alijibu kwa kutikisa kichwa kisha akachuchuma na kisha akaubusu mtalimbo ule na kudumbukiza mdomoni mwenyewe.Akaanza kunyonya taratibu na ufundi zaidi wenye utulivu wa aina yake akamsisimua zaidi Emmanuel aliyepeleka Mkono wake na kuanza kuvuta vuta chuchu za mwanamke yule aliyejaaliwa urembo haswa na kunyimwa mwanaume shababi mwenyewe uwezo wa kukidhi haja zake.

Baada ya kunyonya kama dakika kumi hivi na kumsisimua zaidi Emmanuel Rozinta akanyanyuka na kumpelekea mdomo wake Emmanuel aliyeupokea na wakaanza kudendeka huku kila mtu akimuhemea mwenzie na kuzidisha msisimko zaidi.Mikono ya Emmanuel akatalii kwenye makalio ya Rozinta aliyoanza kuyabinya vyema na alipoona sasa mtangane unatakiwa uanze kutokana na Rozinta kulegea.Akamnyanyua Rozinta kisha miguu yake akipitisha kwenye kiuno chake.Rozinta yeye mikono yake akipitisha katika shingo ya mwanaume yule na kumshika vyema.

"Jamani baby umejuaje napenda style hii ya kubebwa love you mwaaah." Rozinta alipomgenza Emmanuel aliyekuwa hana haja ya kupongezwa kwakuwa mwenyewe aliona kabisa ni wajibu wake kumfanya mwanamke afurahie mapenzi.Baada ya kumfanyia vile akaipitisha mashine yake na kuidumbukiza kwenye ikulu ya Rozinta aliyeshtuka hivi pale mtalimbo ulipoingia taratibu taratibu.Baada ya kuzama mtalimbo ule Emmanuel akamshikilia vyema rozinta kwa kuyashikilia vyema makalio yake na kuanza kujaza upepo kwa kasi ya umeme.Rozinta alipagawa kabisa akaanza kuachia miguno ya kimahaba kwa nguvu hadi kupelekea Emmanuel kumshusha.

"Vipi tena baby?"

"Unajua kabisa wewe ni mke wa mtu kupiga makelele ndio nini?" Emmanuel akauliza kwa hasira.Rozinta akaomba msamaha kwa jambo lile na kujibu kuwa hatorudia.Mpambano ukaendelea wa Rozinta kunyanyuliwa mguu mmoja na kupeleka Begani mwa Emmanuel huku mguu mwingine ukichechemea.Emmanuel akaanza kupiga kwa kasi ya ajabu na kumpagawisha kabisa Rozinta aliyejizuia kuachia miguno ya makelele muda mwingine wa kujiziba mwenyewe mdomo.

Staili ile haikudumu sana baada ya Emmanuel kuona kama anachoka miguu mwingine kuchechemea ndipo akamshika mwanamke yule ukuta wa kile choo na kuanza kukatika mtalimbo ukiwa ndani yake.Haikuchukua muda Emmanuel akafika mshindo na kumruhusu Rozinta aondoke.Rozinta akatoka akiwa mwepesi na mwenye furaha ns kuondoka zake.Mwanaume akaoga haraka haraka na kutoka.Shauku aliyokuwa nayo wakati huo ni kwa Anna……

Kidume akatoka chooni na kuelekea ndani ambapo akili yake ilikuwa kwenye simu.Akaichukua simu yake na kweli akakuta messeji za Anna pamoja na missed call tena.Messeji zilikuwa za malalamiko tu kwanini alikuwa hapokei simu yake.Mwanaume yule akaanza kujitetea kwa kutumia sms kumuambia mwanamke yule na kumdanganya kuwa alikuwa na yupo kwenye gari.Anna akaridhika na kupiga simu ambayo haraka ikapokelewa na Emmanuel.

"Nambie mrembo Anna."

"Aaaah poa tu usharudi nyumbani?"

"Ndio wangu wewe uko wapi?"

"Mimi nipo kwangu."

"Anhaa kwa hiyo na wewe umepanga kama mimi?"

"Yeah exactly nimepanga najitegemea nafanya kazi hivyo lazima na mimi nijitengenezee maisha sio tu kukaa kwa wazazi"

"Hongera sana mtiwa wangu."

"Hahaha ushaanza hivi Emmanuel unanipenda au unanitamani maana wanaume wengi wanisifiaga tu nina shepu nzuri basi sijui sura nzuri…wewe umenipendea nini nataka kujua."

"Oooh…mimi nimekupendea jinsi ulivyokuwa mkarimu,mstaarabu na mwenye hekima fulani na upole…."

"Hahaha…acha uongo Emmanuel mimi sio mpole mbona."

"Wewe ni mpole sema hujijui tu.Ukisikia mtu mpole eti sio tu kukaa kimya kwake bali zungumza yake na alivyo hulka yake na tabia ndio humfanya awe hivyo.Kigezo cha kwanza kukupendea mimi ndio hivyo na si eti sijui shepu.Mimi nimekupenda moyo wangu umekupenda na si macho.Hivyo moyo ndio umeaanza kukupenda na si macho yenye kutamani tu."

"Hahahaha wee Emmanuel una maneno sasa wewe una mwanamke na kwanini?"

"Nilishawahi kuwa na mwanamke lakini bahati mbaya Mungu alimpenda zaidi.Alipata ajari mbaya akielekea dodoma wote ndani ya basi lile walikufa akiwepo yeye…aaaaah daaaaah!…nililia sanaa kwa maana alikuwa pia na mtoto wangu tumboni." Emmanuel alitunga uongo na kuigizia kama anataka kulia na kusababisha Anna kulivaa jukumu sasa la kuanza kumbembeleza Emmanuel alijisemea 'Huyu kashajaa' kimoyomoyo.

"Samahani sana kwa kukumbusha Emmanuel na hakika Mungu ameshasikia maombi yako na utapata mtu sahihi kwako muda si mrefu."

"Nitashukuru sana Mungu akiniwezesha kukupata wewe." Emmanuel akaendelea kushindilia misumari ya maneno kwa Anna ambaye huko alipokuwa alikuwa hoi kabisa.

"Mmmmh…na wewe je ulishawahi kuwa na wanaume wangapi?"

"Aaah mpaka sasa wawili tu na wote walinisaliti na mpaka leo wananiomba msamaha lakini hakuna niliyempa nafasi tena.Mimi ukishaniumiza huna nafasi tena katika mtima wangu.Kwakuwa ninapokuwa na mtu najichunga sana na kuhakikisha katika mahusiano nacheza pati yangu kama mwanamke."

"Anna jibu langu utanipa lini.?"

"Jibu gani Emmanuel."

"Sinilikuambia kuwa nakupenda na nataka nipumzike ndani ya moyo wako."

"Niache nijifikirie."

"Uhai wetu sisi binadamu ni mdogo na unalijua hilo.Hakuna anayejua kesho je labda kesho nikifa utanijibu wapi.Ni kheri nijue sina nafasi katika moyo wako nikusanye tena mashambulizo ya kutupa ndoano dhidi yako My love.Nijibu tu wala usitetereke….toa kutoka ndani kabisa katika moyo wako yani ndani." Emmanuel akazungumza kwa ustaarabu na sauti yenye hisia ambayo ilizidi kummaliza Anna ambaye alikata simu palepale.Emmanuel alipiga sana lakini mwisho wa siku haikupokelewa na Anna akazima kabisa.

"Namba unayopiga haipatikana kwa sasa tafadhari jaribu baadae the number you called is not available please try again later." Emmanuel alipokumbana na hali ile hakuwa na jinsi.Akafungua chips zake na kuzikung'uta zote kisha akashusia na juice nzito aliyoinunua na kuhifadhi kwenye fridge.Akajitupa kitandani na kuwasha tv na kuangalia movie mpaka aliposhika na usingizi akazima na kulala.Alikuja kushtuka mlio wa simu unaita.Alipotaka kuipokea simu ile ikakata.Akakuta messeji kadhaa na kubonyeza kuzifungua.

"Amka my love uwai kazini nakupenda sana honey!" Macho yakamtoka na kushangaa hadi kupelekea kuyashafisha macho yake vyema kuisoma tena ile messeji……

Hakukosea kabisa kuisoma ile messeji ilivyoandikwa.Kwa hakika hakuamini usingizi uliokuwa bado upo licha ya kuamka ukamuisha kabisa.Akaisoma ile messeji aliyoifungua kwa mara nyingine na akaangalia vyema aliyoituma hakuwa mwingine zaidi ya Anna.Mwanamke ambaye siku iliyopita alimtemea cheche baada ya kumtamani kwa jinsi alivyoumbika kuanzia shepu mpaka sura.Mwanamke ambaye alimpa namba yake mwenyewe kabla ili awe anamshtua atakapokuwa anafungua mzigo mpya wa nguo kali za kike.Hakupata nafasi ya kumkagua mara ya kwanza kwakuwa alikuwa mteja wake mpya.Emmanuel baada ya kuisoma ile messeji na kuripukwa na furaha simu bado ilionyesha kuwa na sms zingine haraka akaitoa ile na kuanza kuzisoma zingine.

"Emmanuel nimekubali kuwa na wewe.Lakini nachokuomba sana usiniumize,usiwe kama wale waliopita waliniumiza kisha wakaniacha na maumivu.Nakuomba uwe mwanaume bora kwangu na si bora mwanaume nakuomba tena nakuomba sana." Emmanuel alisoma messeji hiyo na kuachia tabasamu pana kisha akaitoa na kuifungua tena messeji iliyotumwa na Anna huyo huyo.

"Pia my love nakuomba kabla ya yote.Mimi na wewe twende tukapime afya zetu tushakuwa watu wazima ili tuweze kuenjoy naomba uniambie lini twende kwenye kituo cha afya." Emmanuel akairudia ile messeji na kushusha pumzi ndefu kwa maana maneno yale yalileta ugumu kidogo kwake.Akaanza kufikiria ni muda mrefu alikuwa hajapima na alitembea na wasichana wengi kidogo na wengine alienda nao kavukavu.

"Mmmh aisee hapa amenishika kweli.Kitambo sijapima aisee.Mama Mariamu nimeenda naye kavu,Mariamu naye kavu,Rozinta kavu naye mmmh nitakuwa salama kweli.." Emmanuel akajiwazia mwenyewe na kukosa raha kabisa.Haraka akanyanyuka na kwenda kuoga kisha akatoka pasi na kumjibu chochote Anna mwanamke ambaye alimuomba nafasi ya kuwa naye na kumkubali.Alipofika ofisini kwake kama kawaida aliendelea na shughuli zake.Mida ya mchana ndio wakati akipata chakula ndio akachukua simu yake na kuingia uwanja wa messeji.

"Nimekubali ombi lako mpenzi kesho sitofungua hapa mapema.Asubuhi tuwahi mapema twende tukapime." Emmanuel akaiandika ile Meseji na kuituma.Kwa hakika alijishangaa kwa maana haikuwa mipango yake kwenda kupima kutokana na wasiwasi mkubwa aliokuwa nao.Palepale simu ikaita hakuwa mwingine zaidi ya Anna.

"Asante sana mume wangu mtarajiwa kwa hakika nimekuwa mwenye kufarijika na urejeshi wa jibu lako nakupenda sana Emmanuel na hakika hautajutia kuwa na mimi." Akaongea Anna kwa madaha na bashasha kubwa.

"Haya usijali kama nilivyokuambia." Emmanuel akajibu na kuruhusu mazungumzo mengine yaendelee.Anna alionekana kuwa mwenye furaha na kweli alikuwa na furaha sana.Ilipita kitambo hakuwa na mtu kutokana na hofu aliyokuwa nayo katika mapenzi kutokana na kuumizwa.Hakutaka tena litokee hivyo kwa jinsi alivyoonekana Emmanuel katika macho yake aliona kabisa atakuwa mwanaume atakayemfuta machozi.Pesa alikuwa nayo.

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni