BABU UTAMU (18) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 19 Machi 2023

BABU UTAMU (18)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Pablo Hernandes

SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
Utamu aliokuwa akiusikia Sakina haukuelezeka alijisikia raha vilivyo na alipagawa sana.Hakuwa mkimya naye alikizungusha kiuno chake kiufundi na kiustadi hadi Emmanuel nafasi yake ikakubali kuwa kwenye uzungushaji wa kiuno mwanamke yule alikuwa akimfikia mama Mariamu.

"Pipiiiiiiiiii……piiiiiiiiiiii….piiiiiiii.." Ghafla mlio wa honi ukasikika.Na mlio ule wa gari haukuwa ukilenga nyumba nyingine bali nyumba ile ya Sakina.

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Akili ya Emmanuel ikaruka akajikuta akitao rungu lake kwenye ikulu ya Sakina aliyeshtushwa na mlio ule na yeye.

"Huuu mlio…..ni waaa ny…uuuuumbaaa gani?"

"Munguuuu wangu atakuwaaaa mpenzii wangu ameruuudi."……..

Sakina akasema na kukurupuka akiwa na wasiwasi mwingi.Maneno aliyoyasema yalimshtusha sana Emmanuel aliyekurupuka na kuanza kutafuta nguo zake alizovua zilipo.Alishidwa amtafsiri vipi mwanamke yule ambaye aliona kabisa siku hiyo alimnashisha mtego ambao hakuutegemea.

"Aaah sasa kwanini nilipokuuliza huna mtu ukuniambia chochote?" Emmanuel kauliza wakati huo akilikuwa akimaliza kurekebisha mkanda wa suruali yake baada ya kuiweka sawa suruali aliyovaa baada ya kumaliza shati.Sakina haraka akatoka na kuelekea chumbani kwake akiwa naye tayari amesharekebisha kila kitu likiwemo kuvaa na yeye nguo zake.Emmanuel haraka akatoka na kwenda mpaka katika geti kisha akalifungua geti lile na gari aina ya altezza new model iliyopachikwa jina la black mamba ikaingia kwa kasi na kupaki baada ya kuingia tu kutokana na sehemu hiyo kutokuwa na sehemu kubwa ya kupaki gari.

Mwanaume mtanashati aliyepangilia mavazi yake akashuka kwenye gari.Usoni alikuwa amepigilia vyema miwani mieusi iliyomkaa vyema na kusababisha uso wake uliobebwa na timbaland kuonekana vyema.Alikuwa pia amepigilia shati kali lenye vyumbavyumba la mikono mirefu na kupiga na suruali kali iliyonyooshwa na kunyoosheka vyema na kumfanya mtu yule kama ukimuona unaweza kuzani alikuwa kiongozi mkubwa nchini.

"Kijaaana nani weweeeeeee mbona sikujui nani wewe?"

"Wooooooooooow baby…..jamani umerudiiiiii nilikumisi ooooooh honey." Wakati bwana yule akimtandika swali Emmanuel aliyekuwa akifikiria cha kujibu Sakina akatokea na kukimbia kuonyesha jinsi gani alivyokuwa na furaha.Alitamka maneno ya bashasha na alipomfikia bwana yule aliyekuwa akimtazama uko uso wake ukiwa unatabasamu akamrukia na wakakombatia kwa hisia na kilichofuata wawili wale wakaanza kubadilishana ndimi zao jambo lililomkera mno Emmanuel.

"Hahaha baby Supriseeeee nimerudiiii mara moja kukuona nilikumisi sana."

"Aaaah hata mimi Hamisi mpenzi nilikumiss mno nina hamu na wewe ile mbayaaa."

"Ndio nimekuja sasa….halafu darling who is this guy?"

"Mmmh huyo ametumwa ameniletea mzigo wa sare ya harusi siunajuaa rafiki yangu anaolewa yule Natasha."

"Ooooh hujambo kijana naona unashangaa shangaa sikia shika nauli uendee haraka." Bwana yule aliyekuwa akiitwa Hamisi akamwambia Emmanuel aliyekosa kuzungumza chochote akabaki kumtazama Sakina kwa macho ambayo Sakina aliyelewa wazi kuwa Emmanuel alikuwa amekasirishwa na jambo lililotokea.Hamisi akazama mfuko na kutoa noti tano za elfu hamisini akamkabidhi Emmanuel aliyezipokea kisha akaongoza kutoka nje ya nyumba ile.

"Khaaaa!….watu wengine baby hata asante hawajui?"

"Aaaah usijali achana naye halafu kaja na kisirani chake huko twende baby yani nina hamu na wewe acha tu." Wawili wale Sakina na Hamisa wakaongoza kueleka ndani wakiwa wenye furaha sana.Emmanuel akatoka ndani ya nyumba ile akiwa amefura kwa hasira.Hakujua ni tusi gani amtukane Sakina ambaye hakumwambia ukweli kuwa alikuwa na mtu.Alikumbuka kumbukumbu zake alipomuuliza kuwa mwanamke yule alikuwa singo alijibiwa vyema.

"Mademu wengine ni wa****e sanaaa." Emmanuel akaongea peke yake na haraka akakwea gari kuelekea nyumbani kwake akiwa na hasira sana.Njia nzima aliwaza mkasa uliotokea yeye alikuwa ni malaya lakini alishangaa aliumia sana jambo lile lililosababishwa na Sakina.Alipofika kwake akaenda kuoga haraka kisha akatoka na kwenda kununua chakula na kurudi kwake ambapo dukani alikutana na Mariamu ambaye alimsalimia lakini hakuitikia akamkaushia kutokana na hasira alizokua nazo dhidi ya Sakina.Alipofika kwake akajifungia zake na kuanza kula.

"Mmmmh ila sio siri yule Sakina yupo tofauti sana.Mlaini sana kwanza halafu anaonekana ni mtamu sana aaah sijui kwanini bwana wake aliwahi mapema kabla sijachinja." Emmanuel aliongea mwenyewe na kujilaumu kwanini pia alichelewa kufanya vitu na Sakina mpaka mwanaume wake akawasili.Wakati akiwa bado anakula simu yake iliyokuwa na missed call kibao za Anna aliyeshindwa kumpokelea naye simu kutokana na hasira alizozitoa kwa Sakina simu yake ikaita.

Mara ya kwanza hakutaka kuitazama simu ile ikaita mpaka ikatika.Lakini simu ikaita tena na kutokana na usumbufu akatamani kuizama asipatikane kabisa.Akaichukua na kuingalia nani aliyekuwa anapiga ili kama alikuwa Anna basi aikate na kuizima kabisa kutokana na kutokuwa na mzuka wa kuongea naye.Mpigaji hakua sio mwingine bali ni SAKINA alikuwa ndio anapiga.Emmanuel mapigo ya moyo yakaanza kumdunda.Hasira dhidi ya Sakina alizokuwa nazo alihisi kabisa taratibu zinapungua.Haraka akaipokea ile simu………

Ukimya mzito ukatanda baada ya kuipokea ile simu.Emmanuel akaingia na wasiwasi hakutaka awe wa kwanza kusema hata haloo akasikilizia Sakina ambaye ndiye aliyekuwa akipiga aanze.

"Emmanuel!" Sauti nyororo ikaita kiunyonge jambo ambalo lilitosha kabisa kumuaminisha Emmanuel kuwa muongeaji alikuwa mwingine zaidi ya Sakina.

"Nambie." Emmanuel naya akajibu kwa mkato na kumsikilizia mpigaji ambaye alipojibiwa vile akashusha pumzi ndefu na kusikika kama analia jambo lililozidi kumshangaza Emmanuel.

"Kipi kinachokuliza Sakina?"

"Aaaah!…Emmanuel sijui nianzie wapi lakini kiukweli naomba unisamehe kwa kilichotokea.Sikujua kabisa kama yule kenge angerudi leo sikujua kabisa yani" Sakina akaongea kwa uchungu na masikitiko sana hali iliyopelekea Emmanuel kutega sikio lake kusikia mengi.

"Yule mwanaume anaitwa Hamisi ndio ameninunulia hii nyumba.Hajanioa sema ni mpenzi wangu ana hela sana yule anafanya kazi uingereza leo amekuja kuniona tu na ameshaondoka.Simpendi mie kinachonifanya nisiachane naye ni pesa zake anazonipa ambazo zinaniweka mjini.Lakini ukweli ni kwamba simpendi na ananihudumia kwa kila kitu lakini sijawahi kufanya naye mapenzi kila muda yupo busy na kazi zake na ana mipango ya kunioa lakini miaka mitatu mbele mpaka afanikiwe mipango yake." Sakina akatiririka na kumwambia Emmanuel aliyekuwa makini kusikiliza maneno ya mwanamke yule.Emmanuel hakuwa na la kuongezea.Hasira zote alizokuwa nazo dhidi ya mwanamke yule zikaondoka kabisa.

"Haya sawa nimekuelewa Sakina."

"Mimi nakupenda Emmanuel nimetokea kukupenda sana nimekuchagua uwe fundi wa kucheza na mwili wangu.Kama kweli unanipenda nakuomba uje nyumbani sasa hivi please chukua taksi nakutumia nauli natumaini hautapasahau ukipasahau nipigie tafadhali Emmanuel njooo!" Sakina akaongea kwa msisitizo na alipomaliza akakata simu na kusababisha Emmanuel kushusha pumzi zake kwa nguvu. Akaangalia saa yake aliyoipachika ukati saa nne kasoro ndio ilisomeka saa hiyo.

Kumbukumbu zake zikarudi kwa kasi mpaka mchana alivyokuwa kwenye kochi na mwanadada yule mrembo kupindukia alivyokuwa akiyanyonya maziwa yake.Fimbo yake yenyewe ikamsimama.Uchu ukamuingia na kutamani sana usiku huo mzima kuutumia akiwa na Sakina mwanamke aliyevutiwa naye zaidi.Haraka akachukua Tshirt yake na jeans akavaa kisha akachukua na simu yake akiweka mfukoni lakini ghafla simu yake ikaita mlio wa messeji.Akaichukua na kuiangalia alikuwa Sakina ndiye aliyetuma.

"Umepokea elfu 50, 000 kutoka kwa………" Ilikuwa messeji ya tigopesa kutoka kwa Sakina ambayo alimtumia kumthibitishia kuwa alikuwa amemtumia pesa ya nauli hata achukua teksi aje hapo haraka.

"Aaah mwaka huu wangu aisee yani mchana tu Anna kanipa milioni huyu elfu hamsini kashatuma babeki wallah nimebadilika nini kwani?" Emmanuel akajiuliza na kujitazama kwenye kioo mwenye na kutabasamu tu.Akakosa jibu sahihi la kujua kwanini kipindi hicho alikuwa na nyota ya wanawake kwa maana hapo nyuma alikuwa na gundu lisiloelezeka dhidi ya wanawake.Alipomaliza kuvaa akatoka na kuchukua kiasi cha fedha elfu ishirini.Akafunga mlango wake vyema na moja kwa moja akaelekea kwa dereva bodaboda aliyekutana naye stendi.

Akaelewana naye bei akapanda pikipiki iliyong'olewa na dereva haraka sana.Dakika thelathini tu akafika mahali husika akamlipa dereva aliyemruhusu aondoke tu.Hakushuka nyumbani kabisa kwa Sakina alishuka mbali kidogo na nyumba hiyo na kuanza kutembea kuelekea katika nyumba ya mwanamke yule.Kadiri alivyozidi kupiga hatua ndio mapigo yake ya moyo yalizidi kuendea mbio.Alishangazwa sana na wasiwasi aliokuwa nao ingawaje Sakina alimtumia meseji wakati alipokuwa katika pikipiki kuwa asiwe na wasiwasi aje anamsubiri.

"Mmmh isije huyu demu ananinasisha mtego ameshabanwa na bwana wake na amesema kila kitu maana wanawake nao sio wa kuwaamini sana unaweza ukaumbuka buree" Kidume akajikuta akisimama mita chache na ile nyumba aliyokuwa akiangaliana nayo.Wakati akiwaza na kuwazua kipi akifanye simu yake ya mkononi ikaita akaipokea alipoona Sakina ndiye aliyekuwa mpigaji.

"Mamboo baby….umefika wapi jamani au umepotea Emmanuel wangu." Sakina akaongea kimahaba ikazidi kumtia kihamu hamu Emmanuel aliyejibu yupo nje.

"Liwalo na liwe bwana mie ndio Emmanuel kama ndio mtego basi mpaka unase na mie nitakuwa nimemnasa na wangu."…….

Kidume akajisogeza na kuikaribia kabisa nyumba aishiyo Sakina taratibu akasogea na kutaka kusukuma mlango.

"Weeeeee!….unataka nini?" Emmanuel akajikuta akishtushwa na sauti ile iliyomfanya ageuke na kuangalia ilipotokea.Alikuwa ni mlinzi aliyekuwa ameshuka bunduki alikuwa amejibanza katika mti ambao mpaka Emmanuel anaupita ule hakumuona mlinzi yule.Emmanuel akajikuta akikosa la kuongea akabaki kimya kumtazama mlinzi yule aliyemsogelea.

"Vipi wewe?"

"Po..aaa…tu naingia humu ndani."

"Anhaa wee ndio Emmanuel sijui."

"Mmmh ndio umenijuaje?" Emmanuel akamuuliza yule mlinzi ambaye alitamka jina lake.Hakujua jina lake amelijuaje hasa ukizingatia yeye ajuani na yule mlinzi.

"Aaah usiogope mama ameniambia kuwa atakuja mtu hapa anayeitwa Emmanuel kwa hiyo shaka ondoa wee ingia tu." Mlinzi akamwambia Emmanuel kisha akaondoka na kurudi sehemu aliyokuwa.Kazi ikawa kwa Emmanuel ambaye bado mapigo yake ya moyo yalikuwa yakimuenda kasi kuliko kawaida.Alijishangaa tu alikuwa bado na hofu kupita kiasi.Hali hiyo haikuwahi kumtokea kabla katika maisha yake.Baada ya kujifikiria kwa sekunde kadhaa mwanaume akasukuma geti na kuingia ndani na moja kwa moja akaufikia mlango wa kuingia ndani ambao aliponyonga kitasa ulikataa hivyo ikambidi agonge mlango ule.

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni