BALAA LA MCHUNGAJI (5)

Sehemu ya Tano, aliongea mama mchungaji, na mke wangu, aliwaza mama mchungaji, anatembea na mke, badala ya kuupunguza, aliongea mama mchungaji
Zephiline F Ezekiel
BALAA LA MCHUNGAJI (5)
Jina: BALAA LA MCHUNGAJI Mwandishi: Unknown SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Akiwa anakaribia kutoka mlango wa chumbani ulisukumwa . ” Eeeeeh!” Alishtuka mchungaji. Haraka akarudi uvunguni . Mlango ulisukumwa wote ,aliingia chale. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ” Unajua mpaka sasa sijakuelewa mke wangu ,unatatizo gani? ” Aliuliza chale. ” Hata mwenyewe sijielewi” Alijibu Halima, woga ulimwingia,alihisi kufumaniwa. ” Tangu tufahamiane sijawahi kuona hata siku moja ukimjibu vibaya shoga yako. Leo nimeshuhudia kwa macho yangu. Kuna nini?” Aliuliza tena chale. ” Mmmmh yaani hata mwenyewe sijielewi,sifahamu ilikuwaje,labda kwasababu ya bridi,unajua nikiwa na bridi uwa nakuwa na hasira sana.” ” Hivi ni kweli unabridi? Mbona ulimaliza juzi tu” ” Ndio nilimaliza juzi,ila imeanza upya ,hata sielewi kwanini.” ” Hili litakuwa tatizo,basi yatupasa kwenda hospitali .” ”…