MUUZA CHIPS (15) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 21 Mei 2023

MUUZA CHIPS (15)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA KUMI NA TANO
ILIPOISHIA...
Sasa kosa la saumu la kuwasimulia wenzake jinsi alivyofanywa na kijana chidi kwa kugeuzwa geuzwa kama samaki, kumbe mmoja kati ya hao alitamani naye ageuzwe kama saumu, na hakuchukuwa muda, Kutokana na udhaifu wa mwanaume kwa mwanamke, Fatuma alifanya kila mbinu mpaka akafanikiwa kumnyaka kijana chidi,… Tena bila kuchelewa alifanya juu chini mpaka akamnyonya denda,

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sasa wakiwa wapo gizani ndani hapo hapo pakulia chipsi,… Fatuma na chidi walikuwa wakinyonyana denda huku mikono yao ikisambaa kwa kila mmoja wake,…

"chidi jamani, Bado upo mpaka saa hizi… Afu mbona kuna giza hivi humu ndani"

Alikiwa ni saumu aliokuwa akija ili aondoke na chidi, bila kujua chidi alikuwa ndani na Fatuma,… Chidi alishtuka ila fatuma hakutaka kushtuka kwa sauti hio kwani nia yake ni saumu ajue kuwa chidi ana mpenzi ambaye ni fatuma ili saumu aachane na chidi, ili fatuma ainjoi nae,..

"fatu, please naomba ukimbie kwenye mkaa pale"

Alikuwa ni chidi akimwambia fatuma kwa sauti ndogoo ambayo haikusikika popote zaidi ya kusikilizana wao wenyewe tu,..

"sataki, mi nataka kila mtu ajue kuwa wewe ni mpenzi wangu"

"no no,… Saumu ni wa kwanza kabla yako sasa akijua huoni utaniharibia fatu"

"sitaki, nataka namimi nijisifu kuwa na wewe"

"please please fatu nipo chini ya miguu yako"

"chidi, mi nataka kila mtu ajue uhusiano wetu, na sitaki uwe na saumu"

Walikuwa wanaendelea kubishana kwa kunong'onezana kwa maskio tu, huku fatu akiwa kasimama pale nje ya chipsi,

"siwezi kumuacha"

"chidi, kwani mimi na saumu nani mtamu kwako"

"wewe sijakuonja, ila unaonekana ni mtamu kuliko saumu"

"Eti ee… Na leo utaenda kulala na nani"

"hata wewe ukitaka sawa tu"

"sio hata…. Mimi nataka iwe hivyo"

"sawa.. Nenda basi kajifiche kwenye mkaa kwanza"

Sasa wakiwa wanabishana hapo mara zikasikika sauti za watu wakiushangilia umeme uliorudi kwa muda huo,…

"Huooooooooooooo"

Chidi alikuwa kachanganyikiwa kwa kusikia neno huoooo, lakini kwa bahati nzuri kumbe Luku ilikuwa imekwisha, hivyo kwenye chumba hicho bado kumeendelea kuwa na giza, lakini umeme umesharudi,… Chidi alipumua kwa nguvu sana, kwa kudhani labda wangeonekana, na kama sio luku kuisha, lazima wangeonekana na saumu….

"please fatu, naomba ufanye hivyo"

Chidi alimbembeleza sana fatuma mpaka akakubali kwenda kutulia pale kwenye mkaa ili akampige saumu maneno ili atangulie,…

"aaahhhh, saumu umeshafika… Mbona unachelewa kutoka namna hii"

Chidi alimuuliza saumu baada ya kutoka pale nje,

"nachelewa kwasababu yako chidi wangu"

Hajakaa vizuri saumu kamvutia chidi ndani huku akianza kufungua vifungo vya shati la shule,…

Wakati huo chipsi zimebaki kidogo tu kwenye kabati la chipsi, na mishkaki kidogo, hivyo ilikuwa ni kumalizia tu na kuondoka, Lakini saumu alianza kumvutia chidi ndani tena kule kule alipokuwa fatuma,..

Chidi alikuwa anakataa kataa kwenda kule, mana ndio anajua kuwa fatu yupo huko ndani japokuwa fatu anajua kuwa chidi na saumu ni wapenzi, ila mbaya ni pale saumu atakapojua kuwa kumbe Fatuma amekuja kumgeuka rafiki yake,.. Chidi alikuwa hataki kwenda sehemu yeyote yenye giza,

"saumu, nenda nyumbani, leo sijiskii kwakweli"

"chidi jamani, hata kimoja tu"

"No, No… Kumbuka hapa ni sehemu ya biashara haifai kufanya mapenzi humu"

"chidiiiiiiii jamaniii, fanya juu chini, popote pale mi nipo tayari"

Saumu alishikwa na hamu siku hio, na wakati jana yake alikuwa nae,…

Mwanamke ni mtu mwenye ushawishi mkubwa sana katika mapenzi, yaani hata iweje, tena mwanafunzi mtoto mbichi, hata kama ni wewe mwanaume una msimamo vipi, ukikutana na kimwanafunzi kibichi afu kinataka hapo hapo, mmmmmhhhh pagumu hapo,.. Chidi alianza kuupata msisimko wa kimapenzi mana saumu alikuwa akimkumbatia akiwa tayari keshavua shati la shule,… Saumu alikuwa akimrukia chidi huku wakipeana mate, kitoto kilikuwa na mzuka mnooo, hajakaa vizuri mara kafungua zipu ya sketi, chidi aliposhusha mkono chini, alikutana na chupi peke yake,….

Tukija huku kwa Ibrahim tunamuona anapokea simu ya mpenzi wake rehema, ambae ana ujauzito wake na ndio mke wake mtarajiwa,

"vp leo utakuja kulala kwangu"

Aliongea rehema huku akitamani Ibrahim aje kulala kwake,..

"mke wangu, jana nililala kwako, na leo tena nilale kwako mke wangu"

"kwani mi nani wako"

"sawa,… Wewe ni mchumba wangu, na bado hatujaidhinishwa mimi kuja kulala kila siku mke wangu"

"nasema hivi njoo ulale kwangu, nina hamu na wewe"

"mmmhh ok sawa.. Ngoja nikutane na mdogo wangu kwanza, kisha nichukue toyo"

"hapana, usikutane nae…. We njoo tu mume wangu jamani, upendwe vp lakini Ibrahim, kodi ulipe wewe, kwanini ukatae kulala kwako"

"sawa basi nakuja"

Ibrahim alikuwa haongei juu ya mke wake huyo, yaani Ibrahim amependa mpaka kapitiliza, kana kwamba ananyanyaswa lakini haoni….

"nakusubiria baby, sjui nikupikie nini"

"pika chochote tu mpenzi wangu"

"ok… Nakupikia wali samaki eti ee"

"sawa, pia napenda samaki"

Ibrahim alikata simu kisha akampigia mdogo wake chidi…

"Ee haloo chidi… "

"yes.. Shkamoo kaka"

"marahaba ujambo"

"sijambo broo vp, unakuja hapa kazini kwangu"

"hapana,… Ebu ukimaliza kila kitu hapo, funga milango yote, kisha nenda nyumbani, ufunge vizuri sawa"

"sawa kaka, kwaio huji"

"siwezi kuja leo,… Ila asubuhi subuhi sana nitakuja ili tuwahi sokoni kuchukua viazi sawa"

"sawa broo"

Simu ilikata kisha Ibrahim akaanza kuingiza vitu ndani, mana yeye alikuwa keshamaliza kuuza chipsi, hivyo alikuwa anaingiza vitu ili akalale kwa mke wake,

Tukija huku kwa akina miriam na rafiki yake kipenzi, sarah wakiwa wanarudi kitoka kumsindikiza mama yake na sarah kwasababu gari ya mama yake sarah ipo gereji, hivyo walimpeleka nyumbani na muda huo walikuwa wanarudi…

"vp, tumpitie huyo jambazi wako"

"miriam, spendi uninyanyase na mpenzi wangu, mi spendi"

"lakini, si wako jamani unamkataa wa nini sasa"

"sawa, we subiri siku akuibie ndio utaamini kuwa ni jambazi"

"Aaahhh ahahahahaha, aisee siamini kama, ume fall in love kwa jambazi kama hilo"

"sasa si wangu kwani ni wako"

Hapo yenyewe sarah anaongea tu kuwa ni mpenzi wake lakini bado hata chidi hajui kama ana mpenzi anaitwa sarah japo dalili kaziona lakini hajaweza kumalizia kama inavyotakiwa, hivyo mahusiano yao yapo moyoni kwa kila mtu, lakini hakuna anaejua wazi kuhusu mahusiano yao,

Sasa tukija huku kwa chidi, ambako yupo na saumu

"chidi jamani, kwani hii chupi yangu ina kufuli"

Saumu alikuwa na hamu mno hata haijulikani kaitoa wapi jioni jioni hii, fatuma alikuwa anajishika shika mwili wake kutokana na sauti za mahaba zilizokuwa zikimtoka saumu, Maskini Fatuma hakuwa na jinsi ya kutulia huku stimu zikimpanda na yeye kutokana na mihemko iliokuwa ikimsisimua mwili wake,…

"chidi jamani… Nilaze hata kwenye benchi"

"saumu, utaumia ukilala hapo"

"sasa itakuwaje jamni chidi, au twende kwenu basi"

Saumu alikuwa ana tabu mno,

Chidi alimkusanya mtoto wa watu hata chupi tu hakuivua, Kuliskika kikelele tu cha kuashiria kuwa tayari Zakaria keshaingia ndani na anafanya kazi yake ya kutoka na kuingia,… Dakika chache mbele chidi akawa kamaliza hamu yake,

"sasa si tayari saumu"

"jamani chidiiiiiii…. Niongeze kimoja tuuu"

"saumuuuuuu, mi nimechoka mwenzio eti"

"kama umechoka mbona nanii yako bado imesimama"

"aahhhh hizo ni damu tu"

"chidiiii… Please nipe kamwisho"

Chidi alianza kumchukia saumu kwasababu alikuwa msumbufu mnoo

"saumu… Naomba uondoke nifanye kazi"

"unasemaje"

"ondoka ofisini kwangu"

"heeee chidi upo siriasi au unatania"

"toka bwanaaaaa"

Chidi alikuwa kakasirika kweli na hakua na utani kwa wakati huo, ninachompendea chidi ni kwamba anachoamua hua hakibadiliki,… Saumu alianza kuogopa mtoto wa watu alivaa sketi haraka haraka, hata haikukaa vizuri kiunoni, chupi yenyewe ilikuwa ipo upande upande,.. Kachukua begi lake na kuliweka mgongoni huku akisunya, na alikuwa kakasirika mnooo…

"safi sana"

Fatuma Aliropoka bila kujua kuwa saumu alikuwa bado hajaondoka,. Na alijua kaondoka kumbe yupo,…

"chidi…. Unanifokea niondoke haraka haraka, kumbe una mwanamke ndani"

Saumu hakutaka kubahatisha, alirudi mbio ili aingie huko kwenye stoo ya mkaa,

Hakuna marefu yasio na mwisho, na mwisho hua ni ncha kali,… Katika mapenzi kina Fumanizi, Fatuma ambaye ndio mpenzi mpya wa kijana chidi, ambae alikuja hapo ndani na kuanza kumseidia kijana chidi, Kumbe nia yake ni kutaka kuondoka nae, na yote ni kutokana na simulizi waliosimuliwa na saumu akiwa na rafiki yake tifa,.. Subiri subiri hio ilimponza fatu, huku saumu nae akiwa anategea shule ili atoke na chidi wake, kumbe fatu ndio kwanzaa keshatangulia,…. Ilifika mpaka usiku fatu kamganda kijana chidi, huku akitamami sana kutoka nae kwenda nyumbani kwake,… Mwanamke ni mwanamke tu na hua mwanaume haruki kwa mwanamke, yaani ikifikia sehemu kama hio ya kitegana kimapenzi, hakika kidume yeyote rijali hawezi kuepuka hilo swala,..

Chidi alitegwa kwa kila njia na akakubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi bila hata ya kutongozana,…

Tena fatu kwa kujipa uhakika kuwa chidi keshakuwa wake, alimpa mate huku mikono yao ikiwa kama wazungu wakiwa serengeti,….

Fatu alitegea eneo hilo mpaka saumu nae akaja,

Fatu alijificha katika stoo ya mkaa ili saumu asije kumuona,… Saumu alimlazimisha chidi ampe angalau kimoja tu akalale, chidi kwa urijali wake na uzuri wa saumu na ulaini wa umbo lake, alikubali kumlaza kwenye kisofa kilichokuepo hapo na kumpa kile alichotaka,…. Sasa saumu akawa hajaridhika kwa kile alichokitaka, alikuwa akitaka kitu cha pili ndio aondoke, Hapo ndipo kijana chidi akakasirika na kumtimua saumu kwakua anaendelea kumchosha kimapenzi

Sasa kufukuzwa kule kwa saumu, kule fatu akawa anafurahi mpaka akapitiliza kwa kutoa sauti iliosikika, akisema

"safi sana"

Sauti hio saumu aliisikia na kurudi kule kwenye mkaa, ili akaangalie hio sauti ni yanani,…

Kule kwenye stoo ndio kulikuwa na giza haswaa kana kwamba hata saumu mwenyewe alikuwa anaogopa kuingia,..

"hakuna kitu bwana, hao ni watu wa huko nyuma ndio waliosema safi sana"

"chidi jamani, sema kweli hakuna mwanamke huku ndani"

"hakuna… Kama huamini, chukua hii simu yangu, mulika huko ndani shika nenda"

Chidi aliongea kwa kujiamini sana, lakini saumu alikuwa akiogopa na kuamini kuwa, kweli huenda ni watu wa nyuma ya nyumba hio ndio walitoa hio sauti

Saumu aliamini hivyo kuwa kweli huenda ikawa ni sauti ya huko nyuma,…

"ok, nisamee basi"

"we nenda nyumbani tutajua kesho,… Umeniuzi sana we nenda"

Saumu alijua kweli alimuuzi chidi, hivyo hakutaka kubishana nae, aliondoka taratibu na kupanda daladala kwenda kwao,

Fatu alitoka kule kwenye stoo ya mkaa, na kuendela kukaa na chidi mana alijificha kwasababu ya saumu,

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni