MUUZA CHIPS (17)

Sehemu ya Kumi na Saba, huku kwa akina, akina chidi waliokuwa, chi chi chi, fatu aliamka na, kuivua chupi yake, kwa ajili ya, kwa akina chidi
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (17)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... "sitakiiiiiiiii….tena leo silali na wewe…. Tongozwa mama ukubali, wameumbiwa sisi hao" Sarah alitoka nje huku miriam akibaki chumbani peke yake,… Aliichukua simu yake na kuanza kuangalia video flani za 18+ only…. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Tukiachana na huko tuje huku kwa Ibrahim ambaye keshakubali kutuma pesa, kuliko kwenda, kama unavyojua Ibrahim anapenda sana kupata mtoto hivyo akitajiwa swala la mtoto kumsumbua, basi hua maamuzi yake yanakuwa chini sana na hata mke wake keshajua udhaifu wa mpenzi wake ulipo,.. "sawa, nakubaliana na hilo… Lakini tutatuma nini sasa mke wangu" "mume wangu, hebu jipige pige basi… Hii elfu 60 wacha tukalipe lile deni, lakini ya kituma huko kijijini kwa ajili ya lambi lambi , jiangalie kidogo, nakitegemea wewe mume …