Sehemu ya Ishirini na Mbili, hivyo mama huyo, ile sketi ya, kidume cha mbegu, la mama huyo, lakini alishtuka sana, mama yake na, milioni moja na
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (22) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ILIPOISHIA... "ndio, naona hii nimeichoka sana" "ok..sawa" Sarah aliondoka na kwenda kununua simu alioagizwa,.. Dakika 15 mbele sarah alirudi mana alienda na gari,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "mama nimekuongezea laki 5, nimekuta inauzwa milioni moja na laki 3" "mmmhhh sawa ahsante" Mama aliipokea ile simu na kuiweka kwenye mkoba wake,… "mbona huikagui sasa" "aahhhh nimepigiwa simu sasa hivi kuna mahari nataka niende" "ooohhhh sawa" Mama saraha alitoka huku, akiwa na furaha ya kumfurahisha mtu anaempelekea simu hio, na si mwingine, bali ni kijana chidi haswaaa…. Gari ya mama inashika breki katika banda la chipsi,… Lakini mbaya zaidi alikuwa yupo na fatu, sema kwakuwa eneo hilo ni karibu na shule, hivyo mama sarah haku…