MUUZA CHIPS (22) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 24 Mei 2023

MUUZA CHIPS (22)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
"ndio, naona hii nimeichoka sana"

"ok..sawa"

Sarah aliondoka na kwenda kununua simu alioagizwa,..

Dakika 15 mbele sarah alirudi mana alienda na gari,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"mama nimekuongezea laki 5, nimekuta inauzwa milioni moja na laki 3"

"mmmhhh sawa ahsante"

Mama aliipokea ile simu na kuiweka kwenye mkoba wake,…

"mbona huikagui sasa"

"aahhhh nimepigiwa simu sasa hivi kuna mahari nataka niende"

"ooohhhh sawa"

Mama saraha alitoka huku, akiwa na furaha ya kumfurahisha mtu anaempelekea simu hio, na si mwingine, bali ni kijana chidi haswaaa….

Gari ya mama inashika breki katika banda la chipsi,… Lakini mbaya zaidi alikuwa yupo na fatu, sema kwakuwa eneo hilo ni karibu na shule, hivyo mama sarah hakuwa na hofu mana chipsi na wanafunzi ni kidole na pete…

Mama hakutaka kushuka kwenye gari kwani hakuwa akitaka chipsi bali kuna kitu kamletea chidi…

Mama alipiga simu pale pale na chidi nae akapokea,

"njoo kwenye gari basi"

Sauti iliotumika hapo, ilimshtua sana kijana chidi

Mana ilikuwa ni sauti iliotakiwa kutaamkwa chumbani,… Chidi alimuaga fatu pale alipo kisha akaenda kwenye gari na wakati huo keshaepua chipsi, zipo kwenye showcase (kabati la kioo) chidi aliingia ndani lakini alishtuka sana kukuta mama amevaa nguo zaidi ya ile ya jana,.. Chidi alitaka kurudi nyuma lakini mama akamlazimisha aingie

"mbona muoga muoga ivyo lakini"

"mmhhh unajua, mamy mi sijalelewa hivyo"

"we wakiume bwana mbwembwe za heshma weka pembeni"

"sawa… Ila leo wataka chipsi za shilingi ngapi"

"leo staki chipsi… Nimekuletea zawadi"

"zawadi gani tena"

"hii hapa"

Chidi kuona simu ya tachi tena ya bei ghali mno,.. Alitoa macho huku akiipokea,

"lakini siijui kuitumia mamy"

"nitakufundisha"

Sasa mama alikuwa ana akili kinoma, mana pale mbele walikuwa wanashindwa kusogeleana karibu kutokana na kile kirungu cha kubadilishia gia, (Gear Liver).. Hivyo mama huyo akapaki gari vizuri kisha wakatoka na kuingia kweny siti za nyuma ambazo zipo free hakukua na kizuizi chochote kile…

Chidi alianza kuingia shule ya kujifunza jinsi ya kutumia simu ya tachi,..

"ngoja nikuwekee WhatsApp na Facebook"

"mmhhhh vina kazi gani hivyo vitu"

"hivyo ni kwa ajili ya kuchati kutumiana meseji na picha"

"aaahhhh ok, poa"

Sasa mama huyo alikuwa akijisogeza karibu na kijana huyo, na kila akijisogeza ndivyo kile kisketi kinazidi kujikunja na kuwa kifupi, kitu kilichokuwa kinampa shida sana kijana chidi,.. Hata maelekezo ya simu hakuwa akiyafuata ila macho yake yalikuwa kule kwenye sketi ya mama huyo, hata mama alijua kua chidi hakuwa makini kwenye maelekezo, na kwakuwa kalijua hilo hivyo mama huyo akazidi kujionheza na mitego zidi ya kijana chidi.. Chidi alikuwa akiteseka tu..

Mara Jimama likajigeuza akawa amempa chidi mgongo ili amfungue zipi kwasababu kulikuwa na joto na gari ilikuwa na A/C lakini hakuifungu,.. Chidi hakukataa kufanya hivyo,… Lakini alishtuka sana pale alipoangalia kiuno cha mama huyo kilichokuwa kimejaa,.. Nanii… Kitu ambacho chidi anakipenda mno,… Baada ya kumaliza kumfungua,…. mama alibaki na kitopu flani hivi.. Basi mama akawa bado anafundisha kijana chidi huku akisogea taratibu,.. Uzalendo wa chidi ulimshinda, ilifikia hatua chidi kalishika paja la mama huyo,.. Mama alifumba macho kuashiria kuwa karidhishwa na hali hio… Kitu Kibaya kwa chidi, ukimuachia mwili wako dakika moja tu, unaweza kujikuta hata chupi huna, mana yupo fadta mnoo…

Mama alishtukia tu anapimwa Oili kama ipo

"heeeeeeeee we mtoto umefikaje huko"

Kijana chidi alikuwa ni kijana mwenye utundu wa mapenzi haswa katika swala la kumsisimua mwanamke, yaani kosa la chidi usikae nae karibu kama mna mahusiano mana ana ushawishi wa kukufanya utake mapenzi bila kupenda, na hakulazimishi wala nini,… Mama huyo alimpenda chidi kwasababu ya kitendo cha kuona paja la mama huyo chidi alianza kupata shida kana kwamba Zakaria wake alisimama kwa kuona moja kati sehemu adimu kwa mwanamke…

Ukishakuwa na mapenzi na mwanamke mwenye umri mkubwa, basi kaa ukijua kuwa hajakupendea sura, bali kakupendea umahiri wako katika 6 kwa 6, sasa fanya mafyongo huko 6 kwa 6 uone kama hujaachwa,… Wavulana wengi hua wanaichosha zakaria yao kutokana na ujinga huu wa sasa,…. Mtu ni kidume cha mbegu haswa lakini kusimamisha zakaria yake, ni mpaka mwanamke awajibike kumseidia mpaka isimame,… KUNA SIKU NITALETA SOMO JINSI YA KURUDISHA HALI HII, ILA KIKUBWA UTATAKIWA KUACHA MASHARTI YATAKAYO WEKWA HUKO

Sasa mwanamke anapoona huyu ni kidume cha mbegu, yaani zakaria yake sio mpaka mwanamke amseidie kuisimamisha, basi huwa wamama wanapenda sana, na hata ikisimama haikai hata dakika 10, Dorooooooo… Acheni kujichua nyie watu, mtaumbuka vitandani ninyi, Oohooo ninyi hayeni

Sasa kijana chidi alipitisha mkono wake ndani ya sketi ya mama huyo, na vile ilivyo fupi mkono ulifika mapema mno na kumfanya mama huyo kushtuka huku akisema

"heeeeeeee we mtoto umefikaje huko"

Aliongea mama huyo huku akiwa ndio kwanza anaivuta ile chupi ya mama wa watu,

"please naomba uwe mpole boy wangu sawa"

Mama aliutoa mkono wa chidi huku akimwambia

"heeee we mtoto ni mwepesi mpaka raha yani"

Mama alimtupia sifa nyingi huku chidi ndio kwanza alimsogelea na kumnyonya denda, mikono ya chidi ilirudi kule kule ilipotolewa na mama huyo,.. Ukichanganya denda, kushikwa matiti, kupimwa Oil,.. Yaani kama ni mwanamke rijali lazima uague kilio, na uzuri wa gari hio ilikuwa na tinted Glass hivyo sauti zilikuwa zikiishia humo ndani ya gari, lakini kutokana na kujiheshimu kwa mama huyo, alipunguza munkali na kumstopisha kijana chidi, ili asije akazidiwa mwisho wakafanya kwenye gari,…

Mama alichukuwa pochi yake na kutoa pesa bila kuihesabu,…

"chukuwa hii, kesho nitakupigia simu nije nyumbani kwako sawa"

"hapana"

"whaaat"

"yes… Coz naishi na kaka yangu hivyo sina nafasi kama hio"

"yaani ulivyo hivi bado upo kwa kaka yako,.. Ebu tafuta chumba bwana"

Mama alifungua tena pochi na kutoa pesa ya kupangishia na yenyewe pia hakuhesabu wala nini,… Jamani nyie wamama ni watamu nyie acheni, na hiki wengi wetu ndicho tunachokifata kwa mijimama kama hii….

Mama alikuwa akijitengenezea chupi yake vizuri mana chidi alishaanza kuivuta vuta,

"skia, tafuta chumba cha maana, hata kama kwa mwezi ni elfu 60 nitalipa, ilimradi chumba hicho kiwe na bafu na choo humo humo"

"mmmhhhh mama huo si utakuwa upande wa nyumba huo"

"pangisha bwana unaogopa nini"

Chidi alinyamaza kimya, huku pesa alizopewa zilikuwa zimebanwa na rababendi, (mpira) hata kuhesabu alihisi hatoweza,.. Mama alijitengeneza vizuri kisha huyoo akaondoka zake, chidi alikimbilia kwenye stoo ya mkaa na kuanza kuzihesabu zile pesa…

Alichukuwa muda mrefu sana kuzihesabu kwani zilifika laki 6, pesa ambayo hajawahi kuishika hata siku moja toka azaliwe, ila leo kaishika laki 6 bila kujua simu yenyewe aliopewa ina thamani zaidi ya hio pesa aliopewa,.. Aliweka pesa ile mahari mana hata mfukoni ilikua haikai kwasababu mifuko ingetuna,… Chidi aliendelea kupiga kazi huku akikumbuka kauli ya mama yake na hata mke wake pia alisema kuwa

"mwanangu,… Fanya kazi yeyote ile uiwezayo, lakini choonde chonde baba, Usiibe, naomba usiwe mwizi baba"

Chidi alipomaliza kukumbuka alikuwa akitabasamu tu huku akihudumia mteja,.

Chidi alikuwa na rafiki yake mmoja hivi, hivyo alimpa kazi ya kumtafutia chumba, mana yeye asingeweza kutoka hapo na kuanza kutafuta chumba, Hivyo taratibu za kutafuta chumba zilianza,….

"jamani chidi mambo"

Alikuwa ni zai yule rafiki yake na saumu na fatuma,

"poa niambie"

"safi tu, jamani chidi naomba chipsi"

"za shilingi ngapi"

"za buku tu"

Zai aliingia ndani huku chidi akiandaa chipsi za zai…

Wakati huo wateja walishapungua mana wateja wake huwa kuna wa kufungiwa na wakula hapo hapo hivyo wakula hapo hapo walikuwa wamepungua…

"hizi hapa, tomato hio hapo"

Yaani hio sehemu ni kama mgahawa wa mama lishe, lakini ni sehemu ya chipsi tu, na nyama ya ng'ombe bila kusahau kuku wa kuchoma,.. Walikuwa wakiingiza pesa nzuri sana kutokana na biashara yao hio ya chipsi,…..

"chidi, samahani baby"

"Ati nini"

"Sorry… Mbona pilipili siioni"

Chidi aliingia na kumpa pilipili, ndani ya dakika tano tu zai alianza kutema chipsi kana kwamba pilipili ilimuwasha, chidi alimzungusha upande wa nyuma ili akatemee huko nyuma,… Chidi alikuwa akipenda kila mtu na hakuwa na dharau, na wala hana ujeuri na mtu yeyote,..

"pole mamy eee"

"usijali chidi"

"ok…. "

Sasa ile chidi anaondoka kumbe zai alikuwa na nia yake,..

"chidiiii mdomo unaniwasha"

"pole zai.. "

Chidi alimpa tu pole mana hajui amfanye nini,..

Ghafla zai anamshika chidi kiuno chake na kufikicha mikono yake, kitu ambacho kwa chidi kilimpa shida, sana katika mwili wake,…

"zai nini bwana"

"chidi… Mtu akikupenda sio lazima aseme, vitu vingi jiongeze chidi"

Chidi akageuka ili kumuangalia zai… Lakini zai alijipanga kuja kumtega chidi kimapenzi, na zai hakuwa na aibu na hakutaka kutumia muda mrefu kumtega chidi, mana anajua udhaifu wa wanaume ulivyo,….

Chidi alipogeuka alikutana na mdomo wa zai ukiwa tayari kwa kubadilishana mate, chidi ni mwana haramu kwani hata hakua na roho ya kukataa, yaani chochote utakachomuomba atakupa, hata ukitaka chipsi bure atakupa, ukitaka pesa kama anayo atakupa…

Chidi alianza kumkamua zai wa watu huku nyuma ya nyumba hio, sehemu iliojaa makabati ya zamani ya chipsi, zai kwa mitego mizuri kwa chidi alijikuta hata hata nguo ile ya ndani alikuja akiwa ameiweka kwenye begi lake la nguo, yaani pale alipo alikuwa na ile sketi ya shule tu, na yenyewe ilikuwa ni nyepesi mno kama unavyozijuwa nguo hizo hua hazina asili ya uzito,…

Chidi kuminya mimya Ukalio wa zai alikuta ni mwepesi mno, kitu kilichomfanya amminye zaidi kuliko awali,

"chidi jamani… Naomba jioni tuondoke wote"

Chidi alitoa ile simu yake kubwa, ya shilingi milioni moja na laki 3 aliopewa muda sio mrefu na jimama flani ambaye ni mama yake na sarah, Sarah yulee aliomseidia chidi siku ya kwanza kuingia mjini…..

Chidi aliangalia saa na kugundua ilikuwa ni saa 11 jioni, mida ya kujiandaa kwenda nyumbani mana hata chipsi zilizobaki zilikuwa ni za kula tu yeye mwenyewe,…

Saa 12 chidi anaondoka taratibu huku kwa pembeni akiongozana na kijana zai,

Chidi alitoa simu na kumpigia kaka yake

"broo vp.. Mi ndio nashuka home ivo"

"poa mi bado nina chipsi za kutosha, hivyo mpaka saa nne nitakuwa nimemaliza"

"sawa broo"

Basi kijana akakata simu kisha wakashuka wote huki wakikumbatiana mpaka nyumbani,… Walipofika tu chidi akaanza kumpalamia zai kwa mabusu huku akiivua ile sketi ya zai, na kwakuwa hakuwa na chupi, chidi alisisimkwa baada ya kuona mashavu ya Nanii ya zai,.. Nanii ya zai ilikuwa imevimba kama kitumbua, tena akisimama wima kwa kubana miguu, hata kale kamstari hukaoni, utaona uvimbe tu,… Chidi alitamani aweke zakari yake mapema, lakini sio silika yake, hua kazoea kuandaa kimapenzi….

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni