MUUZA CHIPS (4) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 18 Mei 2023

MUUZA CHIPS (4)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
"sema mke wangu"

"ebu jaribu kusukuma kidogo kama ntaiweza yote"

Salma alimuomba mumewe azidi kujisukuma mbele aangalie kama ataiweza kuizuia yote, kweli chidi hakutaka kupuuza ombi la mkewe, alijisukuma mbele kidogo

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imeisha"

"bado robo tu"

"mmmhhh jamani mume wangu umekua punda wewe"

"we unamuita mmeo punda"

"nisamehe mume wangu"

Yaani salma alikuwa ni mzuri kila kona, sio umbo sio sura, mbaya zaidi ni mwanamke matirio kama watoto wa mjini wanavyosema,….

KAMA WEWE UNAITWA WIFE MATERIAL ALAFU SIFA HIZI HUNA, BASI UJUE UNADANGANYWA NA HUYO ANAEKUITA MKE MATIRIO… WIFE MATERIAL ANATAKIWA AWE NA SIFA HIZI HAPA CHINI

Uwaheshimu wazazi wa mumeo ile Kiukweli na sio kukejeli, au kuwapenda kisura sura tu, lakini moyoni unatamani wafe tu

Umuheshimu mumeo, na ukitaka kutoka upate ruksa yake na akikataa nawe tulia na usichukie, Misamaha mbele ya mume wako iwe mbele kuliko kununa, tena ukisema hio nisamehe yenyewe sio utoe kama kakushkia panga, itoe huku macho yanasogea huku na kule tena kwa sauti hafifu… Si jisauti kubwa kama redio ya baa,… Mwanaume hua anafarijika sana pindi anapousikia msamaha wa mke wake… Sema hatusemi tu kua tunafarijika, ila tunapenda kuombwa misamaha ile mbaya…

Uwe mcha mungu kutokana na dini yenu, kama ni Mkristo basi hakikisha misa zote au hata baadhi hazikupiti… Kama muislamu basi hakikisha swala zako tano hazikupiti, na sio umche mungu kwasababu ya mumeo… Kwasababu yako na ndoa yako…

Usipende kukaa na marafiki au majirani wanafiki wanaoweza au watakaosababisha kuvunjika kwa ndoa yako.. Mana huko ndio kubaya ila wanawake wa siku hizi hawasikiii.. Kila kukicha ni kwa jirani bila kujua huko ndiko ndoa inapokwenda kuvunjika huko, na wahenga walisema hivi…

MWANAMKE HUIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE

we ulifikiri utapigana na mumeo, wala hupigani nae bali zile shauri shauri mnazopeana huko, ndizo zitakazofanya uachike mana utajazwa kiburi na shostito zako, mwisho unamtukana mumeo, mara unambinulia midomo.. Kesho na keshokutwa kwenu… Unasema nimeachwa kumbe umejiharibia mwenyewe…

Uwapende ndugu wa mumeo, sio kila siku kurushiana maneno, mume anaweza kukuacha kama huiheshimu familia yake, hata kama unampenda au unamuheshimu vipi, lakini wazazi wakisema hawakutaki basi ujue uwezekano wa kuachwa kirahisi upo…

UKIPENDA BOGA, PENDA NA UA LAKE MAMA… NDOA SIO CHUPI UNAIFUA NA KUIANIKA HAPO NJE KILA MTU AIONE, NDOA NI NGUMU YATAKA HESHIMA YA HALI YA JUUUU KUANZIA KWA WAZAZI MPAKA KWA MAWIFI NA MASHEMEJI….

Wife Material hapendagi kutoka toka hovyo nyumbani kwake,.. Katoka sanaaa labda kaenda sokoni,.. Katoka kidogooo labda kaenda suka kwa jirani na kusuka kwenyewe ni fasta yupo ndani kwake kama kulala alale kama kuangalia TV aangalie lakini yupo kwake….

Laiti ungejua kuwa mwanaume akirudi nyumbani jioni anafarijika sana vile anavyokukuta nyumbani, sema hakuambii tu lakini anajiskia raha, kukuta mtoto umejitanda mitandio yako umetulia tuliiiii… Unamsubiri mume alete vitu mle mlale,… Raha sana…. ILA MKE WA AINA HIO YUPOOOOOOOOOOOO…. NYOOOOO HEE ATOKE WAPI? LABDA MIAKA YA 70 HUKO NDIO WALIKUEPO LAKINI SIO KARNE HII YA VIZAZI VYA KONDOM……….

ETI ANAKUITA WIFE MATERIAL WAKATI HUNA HATA SIFA YA UTIRIO ULIONAO LABDA UTIRIO WA SURA, NA HILO SHINDU LAKO…

BAADA YA SIKU HIO KUPITA

Asubuhi salma alikuwa anatabasam tu huku akiosha vyombo, kijana chidi alitoka na kumkuta mke wake anatabasam peke yake,

"we una kichaa nini mbona upo happy hivyo"

"we hujui"

"mmmhh mi nitajuaje furaha yako"

"nakwambia baba king sasa hivi nimekuwa sasa"

"eeeee maakubwa haya, kwani ulikuwa mdogo weye"

"akaa nilikuwa mkubwa sema kuna kitu nilikua sikiwezi"

"nyooooooo ushaanza ujinga wako uoo"

Chidi alianza kupiga hatua mana alishajua mkewe alimaanisha nini,.. Sasa alivyokuwa akiondoka, Salma alimrukia mumewe mgongoni na kumwambia kuwa,

"baba king, unajua toka tuishi wote ndani ya mwaka sasa,.. Nilikuwa siwezi kukumudu mzima mzima, lakini jana nimekumudu yoote, yan nimefrai sana"

"bwana salma utansisimua eti afu mi nataka niingie kwa wazee huku"

"si usisimuke tu ili tuende tena, mana mhhh unanoga"

"bwana salma iv unajua kuwa king bado ni mdogo"

"najua,.. Lakini si unatoleaga nje"

"eti eeee"

"ndio… Vp tutaenda"

"no…. Nitakupa usiku wa mane"

"kweli mume wangu"

"kweli… "

Ghafla simu ya kijana chidi inaita kuangalia jina alikua ni kaka yake,

"heeee broo leo katukumbuka"

Aliongea huku akimfanya salma atamani kuongea na shemeji yake,…

"waoo nataka niongee na shem"

Chidi aliipokea simu ya kaka yake na kuongea nayo

"jamani weka laudi spika nimsikie shemeji yangu nimemisije"

Aliongea salma huku chudi nae akaweka laudi spika ili na mkewe asikie sauti ya shemeji yake…

"haloo broo shkamoo"

"marahaba ujambo chidi"

"sjambo kaka hali yako"

"aaahh huku salama tu mdogo wangu sema kazi nyingi sana"

Salma alikua ana raha sana na alijikuta akipaza sauti ya kumsalimia shem lake

"shem shkamoo"

"aaahhh salma…..Chidi hebu nipe niongee na shem langu ilo"

Chidi anampa simu mke wake ili aongee na shemeji yake,..

"shem salmaaaa habari yako shemeji yangu"

Huyo ni ibra aliokuwa akimsalimia salma

"safi tu shem, umetususa kabisa shem"

"amna sema bize majukumu yanazidi tuu"

"au una mke mwenzangu nini huko"

"mmhhhh we acha tu shem avisemwi hivyo"

"ahahahahaha, anaitwa nani vile"

"unataka kumjua mke mwenzio"

"ndioo niambie jina lake"

"ahahahahaha mapema mnooo"

"bwana staki shem niambie"

"haya bwana usije kulia bure mana hukawiii… Anaitwaaaaaaaaaa, hehehehehe"

"sasa unacheka nini shem"

"anaitwa mwajuma"

"waaaooooo msalimie mke mwenzangu eti ee"

"zimefika izooo sema kingine, nifikishe ujumbe mana mi mbea kweli yani"

"Ebana hahahahahahhahahahahahaha bwana shem, utanivunja mbavu zangu, hebu ongea na ndugu yako"

"Haya mpe simu"

Kama unavyojua utani wa mashemeji ndio huo wala hakukua na madhara yeyote yale, ni utani wa mashemeji huo.. Basi kijana chidi aliipokea simu na kuendelea kuongea na kaka yake,..

"enhee niambie broo"

"safi tu mdogo wangu, maisha yanaendaje huko"

"aaahhh we acha tu kaka maisha ni magumu huku bila kibarua cha kulima hatutokula eti"

"aaahhh poleni sana familia yangu, ila nami najituma tuma sana huku ili niweze kutuma chochote huko"

"aahhh ndio hivyo bwana we pigana tu sii tupo"

"sasa chidi,… Katika kujibana kwangu nimefanikiwa kufungua biashara nyingine, kwaio nilikuwa nataka uje mjini tuseidiane"

"Ati nije mjini"

Pale pale salma alianza kuteremsha machozi ya haraka kwa kuskia tu ibra anamuita chidi aende mjini…. Kuanzia hapo ile furaha ya salma ilimuisha na kubaki kufuta machozi, mana kama ni kutengana ndio hapo panaanza…

"we njoo mjini ushike mtaji mmoja nami nishike mmoja angalau kipato kiwe kikubwa tufanye jambo la maana"

"sasa ebu ongea kwanza na wazee kisha wakikubali basi hata mimi nitakwenda ila sidhani kama itawezekana"

"lazima iwezekane, ebu mpe baba niongee nae"

Chidi anakimbia ndani na kuwapa simu wazazi wake ili waongee na mtoto wao, baada ya kuwapa chidi alikuja huku kwa mke wake mana alimwona alivyobadirika ghafla tu..

Alimkuta kaketi kitandani analia

"salma mke wangu, mbona hivyo"

Aliongea hivyo huku akimsogeza kifuani kwake

"siwezi kukuzuia mana nyie ni ndugu,.. Ila inaniuma sana"

"salma, mi najua wazee hawatokubali"

Chidi alijipa moyo kuwa wazazi hawatokubali kwasababu yeye ndio tegemezi kuu la familia hii, hivyo kutoka ni ngumu,..

"je wazazi wako wakikubali uende.. Tutaondoka wote au utaondoka mwenyewe"

Huzuni ilianza kutawala ndani ya nyumba hio, salma hakuwa na raha kabisa toka muda ule aliposikia chidi ataondoka kwenda arusha, salma alikuwa akilia tu muda wote, wakiwa wapo chumbani wote na hata chidi pia alikuwa na majonzi lakini chidi yeye hakua akikataa kwenda mjini sema anaweza asiende kwa ajili ya mke wake,

"je wazazi wako wakikubali uende… Tutaondoka wote au utaondoka mwenyewe"

Aliuliza mwanadada huyo huku chidi akishindwa kumjibu…

"ngoja tusikilize majibu ya wazazi mana napenda kufanya vizuri katika maisha"

Salma kuskia hivyo tu akakata na tamaa mana hapo ni lazima kijana chidi aondoke hata iweje, salma aliendelea na majonzi yake vile vile alivyo

"we rashidi, njoo"

Baba wa rashidi ambae ni mzee kingazi (king) alimuita mwanae

"ndio mzee"

"sasa mwanangu, sisi hatujakataa uondoke, lakini tunaogopa unaweza kutusahau kama kaka yako mana yeye ndio anakuita na yeye kutusahau hivyo lazima utafata akili zake"

"mzee, kama ni kuniruhusu mie naomba mniruhusu kwa moyo mmoja na mniombee"

"mwanangu, lakini nauli utapata wapi"

"nauli itabidi atume"

Wakati huo salma alikuwa anachungulia dirishani na kuskia kila kitu kilichokuwa kinaongelewa na baba mkwe wake,.. Hakua na neno la kuongea zaidi ya kitulia kimya,…

"lakini mzee, umekubali mi niondoke na vp kuhusu nyie"

"usijali mwanangu, kikubwa tu usiige ubahili wa kaka yako, mimi sijui kaka yako kakumbwa na nini"

"aahhh mzee kuna mawili, kuna kukosa na kuna ubahili, lakini ni ubahili wa aina gani mpaka kwa wazazi wako"

"mwanangu, nimeongea na mama yako, nae amekubali na tumekuombea na tumekuruhusu kwa moyo wote mwanangu, usiende kuiga akili ya kaka yako"

"mmmhhhh sawa mzee, lakini mke wangu kanuna kweli mzee"

"usijali mwanangu, hata mimi miaka ya ujana wangu siku ya kwanza naenda mjini, mama yako alilia siku nzima, lakini sikujali mbona nilirudi mwanangu"

Mara simu ya kijana chidi ikaita, aliku ni kaka yake ibra,

"haloo"

"Ehh chidi, nimeshamalizana na wazazi, kwahio hapo nitatuma laki moja na nusu, hio nusu ni nauli na hio laki utawaachia wazee elfu 70 na hio 30 utamuachia shemeji, sawa"

"sawa tuma basi nifanue mchakato"

Simu ilikata kisha wakaendelea na mazungumzo ya kifamilia, Chidi alimaliza kuongea na baba yake na kurudi geto kwake ikiwa inafikia mida ya saa 8 hivi mchana,… Siku hio yote salma hakua na raha kabisa, mana anahisi huenda mmewe asirudi kabisa…

Pesa ilitumwa katika simu ya kijana huyo na alitoka kwenda tigo pesa ambako ni sehemu ya senta hivi, kwa kijijini hapo wanapaita town, yan ni sehemu iliochangamka kwa hapo kijijini kwao,.. Kabla ya kutoa kwanza akawacheki masela zake kwanza na kuwapa hai kwa wingi miago mingi sana si unajua ukiwa kijiji afu siku unakuja mjini basi kabla ya safari unakua mtu wa kuaga sana kwa masela wako,.. Sasa jamaa ndio alikuwa katika hali hio, aliwaaga marafiki zake kisha akaenda kwa wakala na kutoa kiasi cha pesa alichotumiwa na kaka yake,.. Chidi kabla hajaondoka hapo senta kulikua na kasoko mjinga, anajua mke wake hana nguo, hasa hasa nguo za ndani hana, mana nguo ya ndani ya mke wake mmmhhh havisemeki, Yaani siku hio alifungasha vichupi vya kutosha vya mke wake, na kanga pea mbili.. Kwenye ile elfu 30 ambayo alitakiwa apewe, afu hapo happ kwa wakala akasajili laini mpya ya tigo hatujui alikuwa ana maana gani kuwa na laini mbili, asije akanunua simu nyingine maana hela inakuongoza bali huiongozi wewe,..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni