MUUZA SUPU (28)

Sehemu ya Ishirini na Nane, mtalimbo wa sonki, hivyo glad huku, kwenye bukta na, aangalie ili mizuka, mtalimbo wake, wa sonki, mtalimbo wa, wa glad
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (28)
Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... Sonki aliishiwa pozi ambapo moyoni alikiri kuwa Gladness ni mzuri kupita kiasi kuliko hata Celline,,,,, Gladness alimfikisha Sonki sebuleni ambapo walimkuta Celline akimbembeleza mtoto wao,macho ya Sonki hayakuisha kushangaa ndani humo jinsi palivyo pazuri WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ,,,mmh,dada unajua kuchagua wewe,,!,Glad alimtania dada yake ambapo Sonki alitabasamu ,,,na wewe!,ushaanza hivyo,,,! ,,,ukweli kusema jamani,umechagua bonge la Handsome,hongera zako,,, ,,,ahsante,,haya umefurahi,,? ,,,sana,nimewapenda kiukweli na mahusiano yenu,mmependeza,si unaona hata mtoto wenu alivyo mzuri,,? ,,,haya bwana,tunashukuru,,, ,,,lakini si mume wetu wote eti dada,,? ,,,unataka nikutoe shingo hiyo,,!,,yalikuwa ni Maongezi ya utani s…