MUUZA CHIPS (46)

Sehemu ya Arobaini na Sita, na utajiri wa, dunia ya sasa, utajiri wa mwenyezi, wa kaka yake, wa mwenyezi mungu, chumba chake cha, kijana chidi akiwa
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (46)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI NA SITA ILIPOISHIA... Sarah aliongea huku chidi akilitamani tena denda la sarah,… Kwa wakati huo sarah hakuwa na mamlaka yoyote yale ya kumkatalia chidi kwa kile akitakacho, chidi alitaka kurudia denda,.. Sarah kajilegeza legeee, chidi alifanya kile akiwezachi lakini hakumwingilia kimwili, ila alimshika shika sana mtoto wa watu, mpaka kuchoka bila kuingiliwa KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "chidiiiiiii" "hhhhmmmmm,… " "mbona unaniacha sasa" "usiwe na haraka,… Kwenye gari hua sio vizuri" "chidiiiii…. " "sema mamy" "ndoto yangu imetimia,… Nilikuwa nakuwaza sana na nashindwa kujua ningekupataje" "kwanini usingeniambia mamy" "kwani hata wewe ulikuwa unanipenda" "ndio,.. Ila sema kwa pesa zako, hhmm nikahisi it…