MUUZA CHIPS (47)

Sehemu ya Arobaini na Saba, mke wa kaka, kwa akina miriam, kaka ndio inaanzia, kule kwa akina, kwenye kile chumba, limama lina akili, mi na wewe
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (47)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI NA SABA ILIPOISHIA... "kakini kama kaka ni freemason .. Mbona wazazi wetu wote wapo hai.. Au mbona mimi na mdogo wangu tupo hai" Chidi aliwaza hayo kichwani kwake bila kupata jibu,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa akiwa ndio anataka kuingia chumbani kwake ili akajioshe uso, alimwona shemeji yake akiwa anaelekea kwenye kile chumba ambacho jana alikuwa akifungue kijana chidi, ila kwa kukatika kwa umeme alishindwa kwasababu alichotaka akione asingekiona kwasababu kuna giza nene,. Sasa leo anamwona Shemela wake anaingia kwenye kile chumba tena akiwa kashika ndoo, chidi akanyata taaratibu kabisa mpaka karibu na kile chumba "atakuwa anawapelekea chakula nini" Chidi aliongea hivyo kimoyomoyo huku akitaka kuchungulia, Lakini ghafla shem katoka "heeeeeee we shem umenishtua&…