MUUZA CHIPS (47)
Sehemu ya Arobaini na Saba, mke wa kaka, kwa akina miriam, kaka ndio inaanzia, kule kwa akina, kwenye kile chumba, limama lina akili, mi na wewe
Zephiline F Ezekiel
5 min read
Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA AROBAINI NA SABA
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
"kakini kama kaka ni freemason.. Mbona wazazi wetu wote wapo hai.. Au mbona mimi na mdogo wangu tupo hai"
Chidi aliwaza hayo kichwani kwake bila kupata jibu,..
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
Sasa akiwa ndio anataka kuingia chumbani kwake ili akajioshe uso, alimwona shemeji yake akiwa anaelekea kwenye kile chumba ambacho jana alikuwa akifungue kijana chidi, ila kwa kukatika kwa umeme alishindwa kwasababu alichotaka akione asingekiona kwasababu kuna giza nene,. Sasa leo anamwona Shemela wake anaingia kwenye kile chumba tena akiwa kashika ndoo, chidi akanyata taaratibu kabisa mpaka karibu na kile chumba
"atakuwa anawapelekea chakula nini"
Chidi aliongea hivyo kimoyomoyo huku akitaka kuchungulia, Lakini ghafla shem katoka
"heeeeeee we shem umenishtua"
Aliongea jasmini lakini kuna macho yalianza kuonekana hapo
"nisamehe shem,.. Ila shem huku ndani kuna nini"
"hakuna kitu, ni mkaa tu… Hiki chumba ni stoo ya mkaa tu, na ndio mana jana nikakwambia usikifungue ili usije ukachafuka mana kuna vumbi sana huko"
"khaaaaa, kwaio chumba chote hiki mnaweka mkaa tu"
"ndio si unaona"
Chidi hakutaka kuamini, aliingia mpaka ndani ili kuhakikisha,..
"shem angalia usichafuke"
Chidi alifanikiwa kukiona chumba kilichokuwa kikimuumiza kichwa, kweli chumba hicho kilikuwa kimejaa mikaa mingi sana, magunia kwa magunia yamepangana….. Basi chidi aliingia zake kuoga huku akicheka tu mwenyewe akikumbuka lile jicho la mke wa kaka yake, lakini sio kuwa lilikuwa baya, walaa lilikuwa zuri tu…
Tukija huku katika hoteli ya mama sarah na mtoto wake sarah, wakiwa wapo kazini kama kawaida yao… Ikiwa ni mida ya saaa tano hivi,.. Sarah alimuaga mama yake kuwa anaenda kwa Miriam
"mama ngoja nienda kwa shost mara moja"
Alionge sarah huku akifungua mlango ofisini kwake, na hata mama yake alikuwepo hapo
"shost nani huyo"
"si miriam jamani mama, kwani nina shost nani zaidi yake"
Mama kuskia hivyo alikasirika sana huku akimkazia sarah macho,…
"sasa sikia, iwe mwanzo na mwisho kwenda kazini kwa miriam. . Na nikisikia umekwenda utanitambua"
Sarah alishangaa kuskia hivyo mana miriam ni rafiki tena kama ndugu, na licha ya miriam na sarah kuwa kama ndugu bali hata mama zao pia wapo hivyo hivyo kama wao walivyo,… Sasa iweje leo amkataze??… Aisee huyu mama ana akili mingi kama mchwa, yaani limama lina akili hili, duuu sijapata kuona
"mamaaaa, leo unanikataza nisiende kwa rafiki yangu"
"sarah mwanangu, mimi sina maana mbaya"
"sasa kama huna maana mbaya mbona unanikataza"
"sikia mwanangu,… Unajua ukiwa unaenda huko, mama miriam atakufikiria vibaya, kwasababu siku sio nyingi mama miriam atatuuzia hii hoteli yetu, sasa ukienda mara kwa mara, ataona unajipendekeza kwa mtoto wake ili tupunguziwe bei,… Ila mimi nakukataza kwa huko kazini tu usiende ila kama ni nyumbani we nenda tena hata kulala we nenda… Kwasababu tukishainunua hoteli hio, tutaanza kushindana kibiashara… Hivyo ukiwa unaenda kule utaonekana unaenda kuiba aidia ya biashara yao,.. Mwanangu sarah, tuna pesa nyingi sana, kwanini na sisi tusimiliki hoteli yetu"
Mama sarah alionge kwa kirefu ili kumwelewesha mtoto wake asiwe anaenda huko,…
Sasa kwakuwa sarah nae ni mtu mzima hivyo alimsikiliza mama yake na kumkubalia
"lakini kulala kwa akina miriam nikitaka naenda au?"
Aliuliza sarah huku mama akimjibu kuwa
"ndio mwanangu,.. Yaani kwa kulala kule nyumbani kwa akina miriam we kalale tu hata kila siku au hata kuhamia huko hamia… lakini zoezi la kwenda hotelini kwao kule life kuanzia leo"
"sawa mama nimekuelewa,.. Tena hata sasa hivi siendi"
"Ah No we nenda kwa sasa hivi, but iwe ni mwisho kuonekana pale"
"sawa mama"
Basi sarah alikubali kisha huyoo akawasha gari yake na kuondoka zake kwenda kwa rafiki yake miriam,…..
Sasa huku kwa mama sarah… Ndio mana nikakwambia hili limama lina akili mingi sana, ona sasa linavyoongea hapa
"safi sana,… Mpaka hapo nimefanikiwa, Chidi wangu nitampeleka kule kwa akina miriam, mana huyu mtoto nishamstopisha kwenda kule, hivyo mwanaume mwenye sifa kama za chidi atamuota tu kwenye ndoto, hatokaa kumpata…. Najua Miriam hanaga hisia na wanaume, yule ni mtafutaji hayo mambo hayamuusu, kwanza ataanzia wapi na mama yake alivyo mkali vile"
Ona sasa akili ya grace, jamani mjini shule nyie oohooo hayeni,… Kumbe mama hana kinyongo na mtu yeyote yule sema penzi la kijana chidi ndilo linalomchanganya mama huyo, yaani hataki kuibiwa, anahisi mwanae sarah ni kipenda penda, hivyo angemleta chidi hapo hotelini kwake, basi sarah angelivutiwa na kijana huyo,… Sasa ili ampe chidi kazi ya kufanya ni bora ampeleke kule kwa akina miria… Kwahio tatizo la sarah ni kutaja sifa za mwanaume anaemtaka kuwa nae kimapenzi, na sifa zote hizo chidi au kipenzi cha mama anazo, hivyo mama akashtuka mapemaa asije akaliwa yeye na mtoto wake,…
Mama alinyanyua simu yake na kumpigia mtoto wake wa kiume,… Nadhani unamjua mtoto wa kiume wa huyu mama
"haloo chidi wangu mambo"
"poa mamy shikamoo"
"shikamoo apewe mie ama wewe"
"kwani mi na wewe mkubwa"
"nami nakuuliza kwani mi na wewe nani anamliza mwenzie"
"mi sijui mana hata mie naliaga"
"hhhhmmm unalo babuu shikamoo yako hio"
"Hahahahahahahaha, ok poa"
"wacheka nini sasa jamani"
"aku nimefrai tu"
"ok… Sasa mi nakuja kwako, nikupe mchongo wa kazi sawa"
"sawa we njoo tu"
"Ok but utanipa kama nusu saa hivi"
"ok poa"
"alafu… Nikuambie kitu"
Mama sarah alikuwa akitaka kuongea kitu kwa kijana huyo,…
Sasa tukija huku kwa chidi akiwa ndio anakunywa chai meza moja na shemeji yake pamoja na mdogo wake halima, wakati huo Ibrahim keshaenda kazini toka asubuhi ya saa moja, mana kwa sasa ni saa tano asubuhi… Sasa chidi akiwa anaongea na simu ambayo ilipigwa na mama sarah,…. Chidi hajui hili wala lile, kumbe shemeji yake alikuwa akimwangalia sana kijana huyo kana kwamba haamini kitu flani hivi katika macho yake,.. Chidi akimuangalia shemeji yake anamkuta anamwangalia, . Na wakati huo simu ipo hewani
"Alafu… Nikuambie kitu"
Aliingea mama sarah katka simu huku mama sarah akiingia ofisini kwake..
"sema tu mamy, kuwa huru"
Aliongea kijana chidi huku akinyofoa kipande cha chapati ya mayai,…
"leo nimekuvalia chupi nyepesiiii zile uzipendazo baby"
"Aaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jamani mamy why unaitaja saa hizi"
Sasa ukumbuke chidi ana Aleji na nguo hizo, yaani sio kuziona tu, bali hata kwa kusikia pia inampaga shida kwa kumuamsha hiasia zake, yaani chidi ukita umuweze mpe taarifa ya nguo hio alafu isifie hio nguo,.. Mungu wangu mtoto wa kiume ana laana huyu, wenzake wanasisimkwa kwa kuona vitu Original, eti yeye akiona au kusikia tu kufuli likitajwa yeye hoi,..
Sasa chidi saa ngapi hapo mezani hajaanza kujibana bana,… Alikaa hapo lakini akaona haelewi ikabidi aamke huku akishika pale mbele, huku shemeji mtu anaangalia tu na kutabasamu kwa mbaali,
"mamy we njoo nayo hivyo hivyo tuu"
"sasa si ndio nakuambia kabla"
Sasa kumbe shemeji nae ni mbea kweli, saa ngapi hajaacha kunywa chai akawa anamfuata chidi kwa nyuma,… Sasa akawa anamsikiliza kwa ukaribu, ilikuwa ni kwenye kakodro hivi na chidi alikuwa kageukia nje, afu jasmini yupo kwa nyuma ya chidi, tena karibu karibu mno, yaani hapo chidi hata akinyoosha mkono kuja nyuma anaweza akamgusa…
"mamy unanipa joto la mapenzi eti"
Aliongea kijana chidi bila kujua kuwa shemeji yake alikuwepo hapo hapo nyuma yake na alikuwa akimsikia..
"chidi, njoo boy wangu mie naumia"
"usijali,.. Ila we wataka vingapi leo"
"leo, nataka wewe ndio uchoke, leo nitakaza"
"mamy"
"abeee"
"umevaa chup* rangi gani jamani"
"nimevaa blue bahari"
"kubwa au ndogo"
"weeeee, hee unaweza kutengeneza zakwako mbili"
"hehehehehehehehehe, una vituko mamy"
"unanicheka eee? si ndio chidi"
"wala ata nimefrai tu mamy wangu"
"njooo basiiiiiiii"
"we si umesema unakuja kwangu, na nikupe nusu saa"
"oooohhh ok… Nimeelewa nipe nusu saa"
"ok… Poa"
"mchupi unakusubiri babaa uuvue mwenyewe kwa mikono yako"
"basi jamani mamy mpaka hamu iishe"
"mwaaahhhh boy wangu"
"ok nawe pia"
Chidi alikata simu, lakini alipomaliza kuongea na simu, kuna sauti alikuwa akiziskia nyuma yake,..
OooooHooooooo kumbe shemeji mtu alikua akijifia mwenyewe kwa yale maneno ya chumbani chumbani,… Yaani aumwe mwingine,.. Afu uharishe wewe, inahuu?? lakini kwa Shemela wa chidi ilimhusu,… Huezi amini shemeji mtu alikuwa hoi kwa yale maongezi ya wawili hao, na yeye alikuwa ni msikilizaji tu, lakini limempata… Na sasa amekuwa mchangiaji badala ya msikilizaji…
Sasa mawazo ya kijana chidi yakawa tofauti kabisa,.. Kwasababu kila akisikiliza hio sauti anahisi inatokea kwenye TV, na tv hio ipo sebuleni, na sebuleni hapo yupo mdogo wake wa kike tena mdogo,
"yaani shemeji anaweka Chaneli ya kijinga mbele ya mdogo wangu??, haiwezekani"
Chidi alijisemea kimoyomoyo huku akigeuka kwa hasira ya hali ya juu….
NDUGU WASOMAJI WANGU, MKUMBUKE KUWA SEHEMU YA KWANZA NILISEMA KUWA SIMULIZI HIZI ZIPO MBILI NDANI YA MOJA,.. SIMULIZI YA KWANZA NI MUUZA CHIPSI, NA SIMULIZI YA PILI NI MKE WA KAKA,… SASA MKE WA KAKA NDIO INAANZIA HAPA RASMI, ILA ITAENDA KWA JINA HILO HILO LA MUUZA CHIPSI, HIVYO NAWAPA VITU VIWILI NDANI YA KIMOJA,.. SIMULIZI HIZI ZILIKUWA ZIPO MBILI TOFAUTI, ILA KUNA VIPENGELE VIMEFANANA KATIKA SIMULIZI HIZI,.. HIVYO KUFANANA HUKO NDIO NIMEAMUA KUIWEKA SEHEMU MOJA, HIVYO HAPO MNASOMA SIMULIZI MBILI KATIKA MOJA… TWENDENI KAZI NANKUIENDELEZA, ILA MKE WA KAKA NDIO INAANZIA HAPA, SASA OLE WAKO UIKOSE,… MAMBO YA HAINAGA USHEMEJI NDIO HIOOOOOOO
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni