MUUZA CHIPS (51)

Sehemu ya Hamsini na Moja, mmiliki wa hii, nani mmiliki wa, chupi ya watu, akaanza kuikanya kanyaga, aakiiangalia ile nguo, akili zangu nikute
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (51)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA ILIPOISHIA... "Enhee kulikuwa na ugomvi gani hapa" Aliuliza mama sarah huku akiwa na hamu ya kuona huyo mgomvi ni nani "aahhh wala tu, kumbe alikuwa ananitania tu, ni classmate wangu tu, sa nilikuwa nimemsahau" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sarah aliongea uongo baada ya kuhisi kuwa yule ni kaka yake na chidi, mana alishawahi kumuona siku ileee kule hospitalini.. Hivyo kamdanganya mama yake ili asije akaanza oparesheni ya kumtafuta huyo mtu, mana mama sarah hapitwi na kitu.. "we mtoto mjinga kweli wewe" "nisamehe mama" "aaahhhh hebu nitokee hapa" Mama aliondoka na kuingia ofisini kwake, lakini sarah alikuwa akimuangalia sana mama yake. "heee mama kawaje tena,…. Mama nae anajifanya mschana kama mimi yani" Sarah aliongea hivyo, huku …