MUUZA CHIPS (51)
ILIPOISHIA...
Sarah aliongea uongo baada ya kuhisi kuwa yule ni kaka yake na chidi, mana alishawahi kumuona siku ileee kule hospitalini.. Hivyo kamdanganya mama yake ili asije akaanza oparesheni ya kumtafuta huyo mtu, mana mama sarah hapitwi na kitu..
"we mtoto mjinga kweli wewe"
"nisamehe mama"
"aaahhhh hebu nitokee hapa"
Mama aliondoka na kuingia ofisini kwake, lakini sarah alikuwa akimuangalia sana mama yake.
"heee mama kawaje tena,…. Mama nae anajifanya mschana kama mimi yani"
Sarah aliongea hivyo, huku akiondoka, lakini hatkujua sababu ya yeye kusema mama yake kawa na tabia za kama mschana, sasa sijui kwanini kasema hivyo… Basi sarah aliachana na jambo la mama yake, lakini bado alikuwa akimuwazia sana kijana Ibrahim..
"yule si atakuwa kaka yake chidi kweli, mana kama vile namkumbuka vile"
Alijisemea sarah huku hapati jibu kabisa
Tukija huku kwa chidi akiwa kalala zake chumbani kwake tuliii hataki shida, mama sarah kaja kamnyegeshaaa kamuacha, japo kampigisha bao la nje,.. Chidi alikuwa kachoka choka na safari ya jana, lakini sio sana kivile,..
Ghafla simu yake inaita, kucheki jina alikuwa ni sarah,
"halooo"
"Eh haloo chidi mambo"
"poa nambie"
"safi tu,.. Chidi samahani, I want to Ask you some question please"
"ok uliza tu"
"no sio kwa simu please"
"watakaje kwani"
"naomba tukutane hoteli moja hivi hapo mjini"
"aaahhh No, Sarah nimechoka mamy wangu, please yaan hapa nilipo nimelala"
"upo wapi, kwa kaka yako au"
"no nipo kwangu"
"nipo tayari kuja huko kwako, please nipe maelekezo jmn"
Basi kijana chidi alimpa maelekezo ya kufika pale alipo, alimpa mpaka namba ya nyumba ambayo kijana huyo anaishi,.. Robo saa tu, simu ya chidi iliita tena,..
"nipo hapa nje kwenye barabara ila sioni namba ya nyumba"
Aliongea sarah kana kwamba keshafika eneo hilo,
Chidi alitoka nje na kuona gari ya sarah ikiwa imepaki pembezoni mwa barabara, Sarah alimwona chidi na kumkimbilia, maskini sarah nae alikufa na kuoza kwa kijana huyo, bila kujua kuwa mama yake nae mmoja kati ya waliooza kwa kijana chidi,…
Sarah na chidi waliingia ndani na kubwagana kitandani huku mabusu yakitawala usoni mwao,
"chidi. Kuna kitu nataka kukuuliza baby wangu"
"kitu gani hicho… "
"ivi yule kaka yako yupogo hapa mjini"
"yes, yupo tena kajaa tele"
"ila ana pesa eee"
"aaahhh kiasi fulani tu, zimemtembelea"
"ila anaonekana ni korofi sana yule"
"afu kwanini umeniuliza hivyo, kuna nini"
"aahhh No nitakuambia, but naomba nikaoge kwanza mana nina joto"
"ok… Bafu lile pale"
"heeeeee hiki chumba kina bafu humo humo"
"ndio"
Basi sarah bila aibu wala haya, alivua nguo mbele ya chidi, na kubakiwa na chupi tu, kisha akachukuwa taulo, chidi alikuwa anameza mate tu, mana sarah alikuwa kabarikiwa umbo kama mama yake, ama kweli nyoka huzaa nyoka tu,
Sasa chidi akiwa bado kalala, kumbe huku bafuni, sarah kashikwa na butwaa kana kwamba kuna kitu aliona, na ni kweli sarah alikutana na chupi iliofuliwa muda sio mrefu, tena ilikuwa ikichuruzika maji kana kwamba imefuliwa hivi punde tu,… Sasa mbaya zaidi ni kwamba, kumbe mama sarah alipoingia kuoga aliifua ile nguo yake na kuianika hapo hapo bafuni, hivyo mama sarah alitoka bila chupi na chidi hajui kama bafuni kuliachwa nguo, mana yeye alikuwa yupo kitandani kalala, sasa Sarah alikuwa anaishangaa hio nguo, na mbaya zaidi ilikuwa ni nguo kubwa yaani hata sarah mwenyewe haiwezi kumuenea
"baby"
Sarah aliita huku akiendelea kuiangalia nguo hio
"nini tena mamy wangu"
"njoo"
Chidi alijua anaitwa kimahaba, mana mpenzi wako akikuita bafuni ni raha kweli, hivyo chidi kaenda na mbwembwe zote,..
"hiki kigaguro hapa ni cha nani"
"haaaaaaaaaaaa"
Chidi alitamaki ila alipoiona aliijua, sema sasa hakujua kama iliachwa huku bafuni,.
"chidi mpenzi wangu, ina maana umetoka kulala na mwanamke sasa hivi tu, tena huyu mwanamke hata sio saizi yako jamani"
Sasa chidi ni mtoto wa kiume ila sidhani kama mawazo yake yataweza kumtuliza sarah,
"aaahhhh babiiii, hio ni sapraizi jamani sarah"
"sapraizi???… Sapraizi ya nini"
"nilikununulia wewe"
Chidi aliongea huku akijiamini kwelikweli,
"ivi we chidi, na akili yako yote hii nguo inanienea kweli hii"
"amnaaa, hio ni saizi kabisa"
"ok.. Haya mbona imefuliwa muda huu"
"ndio.. Coz nilipoileta, ilidondoka hivyo nikawa nimeifua"
"ok.. Kwahio unasema hii chupi ni mpya si ndio"
"haswaaaaaaaa"
"mbona kuna baadhi ya sehemu zimefumuka uzi"
"aaaaaaYaaaaaa…. Huyu fundi atakuwa feki,… Ebu ngoja nitaipeleka kwa fundi"
Sarah alikuwa akimwangalia tu chidi wake,. Anampenda sana lakini roho imemuuma kwa kukuta nguo hio bafuni, tena mwenye nguo hio huenda katoka muda sio mrefu,… Sarah alijua tu anadanganywa,.. Alishikwa na hasira huku akiiangalia ile nguo pale juu,.. Aliivuta na kuitupa chidi kisha akaanza kuikanya kanyaga pale chini,.. Huku akimpiga chidi vibao vya kifuani,..
"sasa mbona unaichafua chupi ya watu we sarah"
Sasa chidi kaharibu, katoboa siri kabisaa
"chupi ya watu???… Nani mmiliki wa hii chupi… Yaani mimi na akili zangu nikute mchupi wa mwanamke mwenzangu unaning'inia hapa niuangalie tu…. Hebu niambie ukweli ni nani mmiliki wa hii chupi"
Sarah alikuwa akimpenda sana kijana chidi, lakini hakuamini kama angelikutana na kitu kama hicho bafuni kwake, na mbaya zaidi ni kwamba bafu hilo ni bafu ambalo lipo chumbani kwa mtu, sio bafu la public kama zilivyo nyumba zingine za kupanga,… Chidi leo kakutana na msala wa kukutwa na nguo ya kike bafuni kwake, sarah aliumia roho ila hakuwa na jinsi,.. Na kitu kilichomfanya sarah asiwe na hasira sana ni kwamba nguo ile ilikuwa ni kubwa hivyo hata huyo mwanamke atakuwa ni mtu mzima, hivyo kwa vyovyote vile, hawawezi kudumu na huenda chidi kampenda kutokana na kitu alichonacho mtu huyo, hayo ni mawazo ya sarah kutokana na ukubwa wa nguo, mana kama ingelikuwa ndogo basi kangelikuwa kascgana ka kumpagawisha chidi,…
Sarah Alishikwa na hasira huku akiiangalia ile nguo pale juu,.. Aliivuta na kuitupa chidi kisha akaanza kuikanya kanyaga pale chini,.. Huku akimpiga chidi vibao vya kifuani,..
"sasa mbona unaichafua chupi ya watu we sarah"
Sasa chidi kaharibu, katoboa siri kabisaa
"chupi ya watu???… Nani mmiliki wa hii chupi… Yaani mimi na akili zangu nikute mchupi wa mwanamke mwenzangu unaning'inia hapa niuangalie tu…. Hebu niambie ukweli ni nani mmiliki wa hii chupi"
Aliongea sarah kwa hasira ya hali ya juu sana
"naomba nikuambie ukweli ila usiponiamini basi"
Aliongea chidi huku akikaa kwenye Jacuzzi la kuogea,
"nitakuamini tu we niambie"
"ok unajua… Hii nyumba, kula mpangaji ana chumba chake na bafu lake na choo chake,.. Lakini kuna mama mmoja namueshim sana kama mama yangu,.. Sasa huyo mama Bafuni kwake kunafanyiwa marekebisho ya kiufundi, kwahio alikuja kuniomba mimi kama mtoto wake, na sikuweza kukataa, nilimruhusu aingie aoge, lakini pia sikujua kama ameacha nguo… Na ndio mana hata nilipokuja hata mimi nilishangaa kuiona… Huo ndio ukweli kama hutoniamini sawa"
Chidi aliongea kwa kirefu japo vyote hivyo hakuna ukweli hata kidogo,.. Sarah alimsikiliza mpaka akalegea mwenyewe na kumuegemea chidi kifuani,… Huku akishuka taaratibu na kuiokota ile chupi ya watu,.. Sarah alipata jukumu la kuifua nguo ile, mana aliikanyaga pale chini, na laiti angelijua kuwa hio nguo ni ya mama yake, duuuu sijui ingelikuwaje,.. Sasa sarah akiendelea kuifua ile nguo huku chidi akiwa anamuangalia sana sarah,… Mara taulo la sarah likafunguka, sarah akawa analifunga vizuri chidi akazuia taulo lisifungwe
"jamani chidi nini tena"
"unalifunga nla nini tena, au mi ni kaka yako?? Ok sawa kama mi ni kaka yako jifunike tu"
Sarah kuskia hivyo akaona mbona kweli chidi ni mpenzi wake sasa yanini ajifunike funike kama kibibi,.. Sarah aliweka taulo pembeni na kubakiwa na chupi tu, sasa sarah akawa ameinama akiwa bado anaendelea kufua lile linguo la mama yake ila hajui kama ni ya mama yake, chidi alitamani kumseidia
"bwana mi staki naifua mwenyewe"
Aliongea sarah baada ya chidi kuisogelea ile nguo ili wawe wanaifua wote kwa pamoja,..
"si nakuseidia jamani"
"staki, ukiishika utamtamani huyo mama, staki uishike shike"
"basi nipe yakwako niifue"
"jamani we mtoto wa kiume mbona una tabu hivyo"
Chidi aliivua kwa nguvu ile chupi ya sarah,. Wakati huo sarah kaanza kujificha na mikono yake ili chidi asione kitumbua
"bwana chidiiii mi sijajiandaa kunaniii"
Chidi alikuwa kama hasikii, alikuwa akimalizia kuivua ili tu na yeye apate kazi ya kufua,.. Chidi aliivua na kuitia kwenye maji, sarah alibakia tu kajificha na mikono huku chidi akiendelea kuifua,..
Dakika tano mbele ile nguo ya mama sarah ikawa imeisha nametungikwa pale pale juu ilipokuwa,.. Sasa chidi bado alikuwa anaendelea na ile ya sarah
"nipe niisuuze sasa heee, umeing'ang'aniaaaaa, waitaka nini"
Sarah aliongea kwa utani huku wakimwagiana povu usoni,.. Sasa Sarah akajisahau kuwa alikuwa kajizima, si akajiachia, chidi kaona kitumbua cha sarah… Kitumbua cha sarah kilikuwa nimepaukaa, afu kikavuu… YAANI UKIKUTA KITUMBUA CHA DEMU WAKO KIMEPAUKA AFU KIKAVUUU, BASI UJUE KUWA HIO KITU HAIGUSWAGI MARA KWA MARA, YAANI ANA MUDA MREFU HAJAGUSWA,.. ILA SIMAANISHI KIMEPAUKA KWA UCHAFU, NO, BALI NAMAANISHA NI KITU NG'ADA,.. YAANI SILDI, KITU KISICHOTUMIKA MARA KWA MARA…. sasa sarah ndio alikuwa hivyo, mtoto wa kike kuona chidi anamkazia macho eneo hilo, sarah aliendelea kujificha na mikono yake… Maskini kasarah kana aibu ya hali ya juu,.. Chidi alimfuata karibu na kumkumbatia.. Wakati huo chidi akiwa na boxer peke yake, tena zakaria yake ilikuwa imesimama haswa.. Chidi hakutaka makuu, alimbeba sarah japo ana kamwili lakini hakushindwa,… Alimbwaga kitandani, huku sarah anajiskia aibu kwa kulazwa kitandani, yaani sarah siku hio alikuwa anaitamani itokee, na leo ndio hiooo imekuja… Sarah alijua kutakuwa na usumbufu wa simu, hivyo aliizima simu yake, na kuichukuwa na ya chidi akaizima mana anajua hapatokosa usumbufu, hivyo simu zao zote wamezima… Sarah alianza kulegeza jicho lake mbele ya chidi,
Tukija huku hotelini kwa mama sarah, akiwa yupo ofisini kwake akiendelea na majukumu yake ya kikazi,
"mungu wangu, ivi sijavaa chupi jamani… Ohhh shit kumbe nimeiacha kwa chidi"
Aliongea mama sarah huku akijishika shika mapaja ili kujihakikisha kweli hakuwa na chupi, na nguo alioivaa ilikuwa ni nyepesi mno,.. Tena ni zile zinazoganda mwilini,..